Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Ummy Mwalimu alijiharibia kwa tabia yake ya uswahili kumsengenya boss wako kwa njia ya simu

Ombeni Sefue aliwahi kutimuliwa ikulu usiku wamanane baada ya kudukuliwa akimsimanga JPM kwa JK.saa nane na dk 25 usiku akapigiwa simu na jiwe na kuambiwa YOU ARE FIRED

Ummy Mwalimu hakujifunza akarudia kosala Balozi Sefue.
Pamoja na kuomba msamaha na kumtuma JK ila mama amekaza fuvu hataki kumuona wala kumsikia
Watu ni wanafiki mm uwa nabalance minzani siku zote coz devil are everywhere in fact gossiping somebody ain't good idea coz Google goes both ways.
 
Ummy Mwalimu alijiharibia kwa tabia yake ya uswahili kumsengenya boss wako kwa njia ya simu

Ombeni Sefue aliwahi kutimuliwa ikulu usiku wamanane baada ya kudukuliwa akimsimanga JPM kwa JK.saa nane na dk 25 usiku akapigiwa simu na jiwe na kuambiwa YOU ARE FIRED

Ummy Mwalimu hakujifunza akarudia kosala Balozi Sefue.
Pamoja na kuomba msamaha na kumtuma JK ila mama amekaza fuvu hataki kumuona wala kumsikia
Alisemaje katika umbeya huo?
 
Tunahitaji reforms
 
..Ombeni Sefue kuwa frustrated na Magufuli sio jambo la ajabu.

..viongozi waliomlea Sefue ni watu tofauti sana na Magufuli ndio maana wawili hao wakashindwana.

..Sefue amelelewa kikazi na Rais Mwinyi, na Rais Mkapa, kama msaidizi na muandishi wa hotuba za Rais.
 
Back
Top Bottom