Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 529
- 1,621
Bado nampenda 100% and she knows it! 😘😘😘😘
takataka🚮Mwanamke Huwa haachwi anapunguzwa kutoka kuwa important person,Kisha unamfanya kuwa Sex partner
Siku yoyote unaweza kushikwa na genye nayeye akakupa utelezi
So mae-x zangu wengi hatukuachana Kwa ubaya so Kwa style hiyo ni rahisi ukitaka kupasha kiporo unapewa tu ,
Haya mambo ya kugombana na maex Mimi nimekuja kuyaona miaka hii ya vitoto vya 2000
Sisi millennium ma-ex zetu Tulikuwa tunaishi nao vizuri tu na anytime tukitaka kugusanisha vikojoleo tunagusanishana
Hee! hii ni maajabu😀Ninayo, siwezi kumpigia kwa kuwa hataki tu nimpigie,ila bado mampenda sana, na sina mpango wa kurudiana naye.
Wakikupa gono ipo siku utatuliza kikojoleo!Mimi Nina ma- ex zaidi ya 25.
Lakini Nina number za ma- ex kadhaa kwenye simu yangu kwa sababu hao nawachukulia kama okoa jahazi.
Yaani simu moja tu ex huyu hapa tunapasha kiporo afu kila mtu anarudi kuendelea na hamsini zake.
Haijalishi 😆Kutoka kuwa mapenzi aliyeichakata hadi urafiki ?
Sorry 😐Sijapenda
Sema Suu !😄😃💞💘Sina no.ya x,na yeye sitaki awe na yangu!
Wewee 🚀🤣🍎Mimi sina na sitaki! Uwe tulizaa au la!
Ufute ili iwejeeee??? Hahaha Sijui kwanini nacheka
Hii mada ni ngumu sana... haina miongozo... hahahahUfute ili iwejeeee??? Hahaha Sijui kwanini nacheka
Miongozo itoke wapiiiiii...mwongozo unatoa weyeeeeHii mada ni ngumu sana... haina miongozo... hahahah