ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,521
- 41,525
Je, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe?
Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe.
Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa nje kuziona au hata akiziona asikuambie moja kwa moja Wengine wanaamini wewe ni mtu mzima unajitambua hivyo wanakuacha bila ushauri
Lakini ukweli ni huu tabia mbaya (wengine huiita dhambi) huanza kidogo kidogo, halafu zinakutafuna taratibu mpaka siku unakuja kushtuka tayari umechelewa Mfano wa tabia ambayo unaweza kuanza kuijirekebisha mwenyewe
1. Umalaya kwa jinsia zote
Hii ni tabia ya kuwa na wapenzi wengi bila utulivu wa kuchagua mmoja huu ni ufsika🤨
Tabia hii huleta madhara mengi
Kukosa amani ya moyo
Kuishi kwa hofu mda wote macho jujuu unahisi kufumaniwa au kuumbuka mda wowote
Hatari za kiafya
Kupoteza heshima binafsi
Ni muhimu kujithamini mwili wako
Mbali na hapo Azuma ni deilee
Badala ya kuishi maisha ya mchanganyiko usio na mwelekeo tafuta mwenza anayekufaa na utulie nae hakuna mkamilifu, lakini kuna mtu ambaye mapungufu yake unaweza kuvumilia tulia nae
Kwa wanaume pia tabia hii huathiri nguvu muda na hata uchumi wako Unajikuta unatawanya nguvu na kipato chako bila mwelekeo
Mwanaume unataka kushindana k utaweza ?
Wewe mwanamke una haribu kiungo hicho mwisho kiwe kama sikio la tembo 🙌
Jiambie leo
Nataka kubadilika Sitaki tena hii tabia
Je, wewe unajiongelesha mwenyewe ili kubadilika?
Ni tabia gani ungependa kuacha?
Karibuni
Tabia zingine nitazitaja kwenye comment 😊
It's me again ShesRise_1 🖐