😂😂😄 Huwaga hampendi ukweli mnapenda kudanganywa ndio asili yenutakataka🚮
Njoo nidanganye mimi mbuzi ww😂😂😄 Huwaga hampendi ukweli mnapenda kudanganywa ndio asili yenu
Suuu,suu,suu,suuuuuuuuuu!!!Sema Suu !😄😃💞💘
Ni wanawake wachache sana wanaokubali watoto wao kuwakabidhi kwa baba zao.Atakaa kwa baba yake!
Ni kweli mtoto anauma sana, inakubidi ufunge roho , sio rahisi mwanzoni unaweza kukonda kabisa na kuugua na kulia kila siku lakini ikipita kama miaka miwili unaaanza kuzoea!Ni wanawake wachache sana wanaokubali watoto wao kuwakabidhi kwa baba zao.
Uzi ufungweEndeleeni kutunza namba za simu za maex wenu ili waje kuwavunjia mahusiano yenu mapya, na ili;
Waje kuwaambukiza magonjwa, mlitengana na ex wenu mkiwa negative miaka 5 iliyopita
Leo miaka 5 baadaye mwenzio kaukwaa then anakutafuta mje kupasha kiporo
Alikuona hauna Uchumi mzuri wa kuweza kuishi naye, leo hii miaka 7 baadaye umefanikiwa kununua gari yako ya kwanza, huku uwanja wako wa Makongo mafundi wapo site, anakuja mpashe kiporo
Kama hakuna sababu za maana za kutunza mtoto/watoto pamoja msitunze namba za ma-ex wenu
Kwa utafiti usio rasmi, kwa Kila ma-ex 10 wanaotafutana kupasha viporo, 9 kati ya 10 wanakubali
Na kwa Kila maambukizi mapya 10 ya HIV, 4 hutokana na viporo vya ma-ex girlfriend/boyfriend/wife/husband 🙌
Same here, sina No hata moja, kwa kawaida huwa sishiki namba za watu kichwani ever (zaidi ya No ya mama yangu).Mimi sina na sitaki! Uwe tulizaa au la!
Dear x, namba yako mbona nilishafuta muda mrefu sanaSina no.ya x,na yeye sitaki awe na yangu!