Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,908
- 2,566
sababu za kuachana mfano asilimia kubwa ni kuhama nilihama mkoa mie nilitoka mkoa x na kwenda mkoa y zaidi ya kilometre 1200 na hapo ndio mapenzi yamekufa na nikaaa kama miaka 5 ila tunawasiliana basi baada ya kurudi nimekuta wote wamebebwa japo hadi Leo tunaongea na tena tumekuwa kama Ndugu na kila mtu ana mtu wake lakn hatuachani nikiwaambia nimemic mzigo analetewa bila ya wasi na sasa hivi ni zaidi ya mapenzi ni kama Ndugusasa mmeachana nn