Kwanini Bado una namba ya EX wako?

Kwanini Bado una namba ya EX wako?

Seran, hiyo ya kupeleka mtoto kwa bibi yake, ulimshauri vibaya mshikaji. 😊
Angemwacha kwa mama yake; ila awe bandidu, hela itumwe ila isiwe nongwa!
Mimi huwa siamini sana malezi ya mabibi, wanadekeza sana watoto. 😊
Sio mabibi wote wako hivyo, mama yangu mfano mzuri tu, nilimshauri kwasababu hakuwahi ona huyo mtoto, na akiomba kumuona naambiwa sina simu tuma ela ninunue umuone! hakuwahi muona mpaka mwaka mzima unaisha, na mwisho kabisa mtoto hakuwepo!
 
Back
Top Bottom