X haachwi ,wengi wanaweka kama backup Simu moja tu IMOOOOOOOOOO.Naomba jibu
Ila mi naona inategemea mmeachana kwa staili gani, kuna wengine wanaachana kwa matusi na kejeli kubwa, then kuna wengine unakuta ni ishu ndogo ndogo zinazoweza kusolviwa hapo siku za mbeleniHii ndio sababu kubwa napinga kubaki na no za x wako, unamtunza kama spare tu hakuna cha urafiki wala biashara hapo! urafiki gani huku mnachapana?![]()
Sasa kama tuliachana kwa mimi kutomtafuta au kutojibu meseji yake hapo unategemea niniMnakuwa hamjawa serious kuachana
Haijalishi mmeachana vipi, sio sababu ya kurudiana labda kama hujaoa na huna mahusiano yaliyo serious!Ila mi naona inategemea mmeachana kwa staili gani, kuna wengine wanaachana kwa matusi na kejeli kubwa, then kuna wengine unakuta ni ishu ndogo ndogo zinazoweza kusolviwa hapo siku za mbeleni
Unaweza kuachana na Ex wako ukaoa au kuolewa ukaingia kwenye ndoa na mtu mwenye gubu, kejeli, dharau au asiyejali ukajikuta automatically unammiss Ex wakoHaijalishi mmeachana vipi, sio sababu ya kurudiana labda kama hujaoa na huna mahusiano yaliyo serious!
Usicheke ni huzuni.
Kwanini niwe na namba yake?Uongooooooooooooo
Hatari mkuu ,wake zetu bado maX zao wana namba zao 🙂🙂🤣😀🤣 Acha uhuni
Ndio mjifunze kuchukulia watu, unamuacha mwanamke mnyonge kwa dharau zako unakutana na moto mkali vinakushinda unaanza kucheat, huyo ex naye atakuwa hajitambui sio siri, mwanaume ana choose mtu mwingine kumuoa over you halafu vikimshinda anakutafuta kipozeo wewe umpe 🐱 alambe! 🚮Unaweza kuachana na Ex wako ukaoa au kuolewa ukaingia kwenye ndoa na mtu mwenye gubu, kejeli, dharau au asiyejali ukajikuta automatically unammiss Ex wako
I wish u were team Capricorn! 🥰Kwanini niwe na namba yake?
😆 Upendo wa kweli ni kama sumaku muda wowote ukikutana na chuma unavutana automaticallyNdio mjifunze kuchukulia watu, unamuacha mwanamke mnyonge kwa dharau zako unakutana na moto mkali vinakushinda unaanza kucheat, huyo ex naye atakuwa hajitambui sio siri, mwanaume ana choose mtu mwingine kumuoa over you halafu vikimshinda anakutafuta kipozeo wewe umpe 🐱 alambe! 🚮
Mpaka kawa X ina maana kuna current mubebezi,Sasa mawasiliano na yeye ya nini?kwanin
Endelea kujichanganya mkuu!😆 Upendo wa kweli ni kama sumaku muda wowote ukikutana na chuma unavutana automatically
Basi Sena wazi kuwa hunaga exMwanamke Huwa haachwi anapunguzwa kutoka kuwa important person,Kisha unamfanya kuwa Sex partner
Siku yoyote unaweza kushikwa na genye nayeye akakupa utelezi
So mae-x zangu wengi hatukuachana Kwa ubaya so Kwa style hiyo ni rahisi ukitaka kupasha kiporo unapewa tu ,
Haya mambo ya kugombana na maex Mimi nimekuja kuyaona miaka hii ya vitoto vya 2000
Sisi millennium ma-ex zetu Tulikuwa tunaishi nao vizuri tu na anytime tukitaka kugusanisha vikojoleo tunagusanishana