Kwanini Bado una namba ya EX wako?

Kwanini Bado una namba ya EX wako?

Same here, sina No hata moja, kwa kawaida huwa sishiki namba za watu kichwani ever (zaidi ya No ya mama yangu).
Tukiachana namna yangu ya kumove on ni huwa nassume ume-dead, then kwenye simu yangu nafuta kila kitu 😎
Mimi siachi doa lolote! yani nakutoa akilini na assume u never existed in my life.. sio chuki/bifu just kila mtu atafute ustaarabu wake! kwasababu tutaongea nini tusiishie flirting, nikaze uone nakudharau? ukiachana na mtu basi, hajashikilia hatma ya maisha yako!
 
Nishawahi kuachana na mtu nikahama na mkoa, najijua hasa kama mtu nilimpenda.
Sitaki mazoea kabisa na maEx.
 
Uzi ufungwe
Kama nimeandika vizuri basi zishukuriwe Kiko nilizovuta asubuhi hii 🤪

Uzoefu unaonesha ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro na kuvunjika kwa sababu za hao hao ma-ex

Kama mliachana na kila mmoja ali-move on kuna haja gani kuendelea kusalia na namba ya simu ya ex wako

Kama uliachana na huyo ex wako kwa sababu Ile ama hii, vipi miaka 6 baadaye amebadirika Nini?
 
Endeleeni kutunza namba za simu za maex wenu ili waje kuwavunjia mahusiano yenu mapya, na ili;

Waje kuwaambukiza magonjwa, mlitengana na ex wenu mkiwa negative miaka 5 iliyopita

Leo miaka 5 baadaye mwenzio kaukwaa then anakutafuta mje kupasha kiporo

Alikuona hauna Uchumi mzuri wa kuweza kuishi naye, leo hii miaka 7 baadaye umefanikiwa kununua gari yako ya kwanza, huku uwanja wako wa Makongo mafundi wapo site, anakuja mpashe kiporo

Kama hakuna sababu za maana za kutunza mtoto/watoto pamoja msitunze namba za ma-ex wenu

Kwa utafiti usio rasmi, kwa Kila ma-ex 10 wanaotafutana kupasha viporo, 9 kati ya 10 wanakubali

Na kwa Kila maambukizi mapya 10 ya HIV, 4 hutokana na viporo vya ma-ex girlfriend/boyfriend/wife/husband 🙌
Asante mkongwe Kwa ushauri makini
 
Kuna mda hua nafinya kiaina isitoshe aliolewa tu sio jambo kubwa
 
Endeleeni kutunza namba za simu za maex wenu ili waje kuwavunjia mahusiano yenu mapya, na ili;

Waje kuwaambukiza magonjwa, mlitengana na ex wenu mkiwa negative miaka 5 iliyopita

Leo miaka 5 baadaye mwenzio kaukwaa then anakutafuta mje kupasha kiporo

Alikuona hauna Uchumi mzuri wa kuweza kuishi naye, leo hii miaka 7 baadaye umefanikiwa kununua gari yako ya kwanza, huku uwanja wako wa Makongo mafundi wapo site, anakuja mpashe kiporo

Kama hakuna sababu za maana za kutunza mtoto/watoto pamoja msitunze namba za ma-ex wenu

Kwa utafiti usio rasmi, kwa Kila ma-ex 10 wanaotafutana kupasha viporo, 9 kati ya 10 wanakubali

Na kwa Kila maambukizi mapya 10 ya HIV, 4 hutokana na viporo vya ma-ex girlfriend/boyfriend/wife/husband 🙌

Binafsi nkiachana na mtu nafuta mawasiliano yake sitakag ukaribu au mazoea na maex
 
Mimi siachi doa lolote! yani nakutoa akilini na assume u never existed in my life.. sio chuki/bifu just kila mtu atafute ustaarabu wake! kwasababu tutaongea nini tusiishie flirting, nikaze uone nakudharau? ukiachana na mtu basi, hajashikilia hatma ya maisha yako!
Tena unakuta ana mtu wake serious na wanaofanyaga hiv ni wale unakuta ulimpenda sana mpaka akajiona huwez ishi bila yeye...baads ya kuachana akiona humlilii umemove on unanawir unapendeza una furaha wanaanza usumbufu
 
Ni hawapendi kabisa upendeze, wanaumia kichizi! Raha yake akutumie anapojisikia na kukuona hukubaliki popote! sasa tu wa hivi unabaki naye kufanya nini? utendelea kumpelekea mnofu in the name of eti hatuna bifu wacha tu tuendelee kuwasiliana mpaka usikie anaoa ndio utulize wenge na presha juu, mimi akale anapopelekaga mboga aisee!
 
Dawa ni kukaa nao mbali tu
 
Back
Top Bottom