Shauri yakoMimi sina na sitaki! Uwe tulizaa au la!
NetworkingMara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako kwanini bado una namba ya ex wako
Naomba jibu
Kwamba?Shauri yako
Duhh hatari!Mtunze namba mi Kuna Mmoja tuliachana kwa ugomvi mkubwa nilifuta namba zake, ikapita miaka kama minne hivi tukaonana akaomba namba Tena nikampa ila sikuwahi pokea akipiga, juzi kati nimekutana na rafiki yake ndo ananipa habari kwamba alifariki miaka mitatu iliyopita na Bora tuliachana maana ningekuwa mjane saizi
Duhh hatari!
UtajuaKwamba?
Ili nigundue nini?Na ww unatunza no. Za ma X?
Nitajua niniUtajua
Ili nigundue nini?
Sitaki kwani watu wameisha!Kupasha kipapiro 😂
Sitaki kwani watu wameisha!
To hell bwana, watapatikana wengine!😎Shida ni mitetemo, kuna ma X wana pepo yao kwenye hayo mambo 😅
Mi ex zangu wote huwa tukiachana hatugombani karibia wote ninao namba zao na wananikubali hadi leo kitu ambacho nafurahi nikiomba game hakuna anaekataa basi hapo urafiki wetu umekuwa kama ndugu