Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Mtaji kabisa huoutapigwa 7 hadi 10 kiongozi!
Mtaji kabisa huoutapigwa 7 hadi 10 kiongozi!
Hujui mkuu. Pole Sana.mi naona km namuokoa tu kutoka katika kila aina ya shutuma, ilibidi ajishikie
huyu kasema pia muislamu maa ndio mana nikamjibu hivo sababu naelewa sie tumerahisishiwa mno ila sio kwa watu wote naamini wapo pia waislam na hawafuati hivoMamy hiyo ya kuchagua hiyo waislamu mpenzi
shukraniKila la heri kamanda. Kama ni mwanamke anayejielewa utakuwa umeokota lulu na mtaishi maisha mema sana. Single mother akiwa amekata dhamira kabisa ya kutulia, kulinda na kuendeleza familia yake huwa hawatetereki. Wanajua walikopitia. Dharau walizozipata. Na hawataki kurudi huko tena.
Kila la heri !!!
Hao wanao kejeliwa kuwa hawafai yaani ni wanawake Safi tu Kama wanawake wengine.Huo unaoitwa u single mother sijui nini ni kejeli tu zinazo lenga kuwadhalilisha,lakini hazina uhusiano wowote na uhalisia.Wapo waliopo kwenye mahusiano na mahusiano yao Yana afya ya kutosha kuliko hata hao ambao sio ma single mother.nimeanguka kwa single mother, nimejiandaa kukabiliana na changmaoto zote zinazosemwa humu. kwakuwa la kuambiwa changanya na akili yako, nimeamua kuendelea.....maneno yapo humu, vitendo mtaani. wengi humu, tena wengine ni wapostaji wa kila siku wa threads zinazoponda single mothers, wanadeal nao vizuri tu; ni eidha wake zao au wapenzi wao. nikiwa muislam, najua ndoa hainibani sana.....asipotia akili, sioni tabu kuivunja hata kesho.
nimemzidi kipato maana hana kazi wakati mimi ni muajiriwa. yeye amenizidi, kwa mbali tu, akili ya ujasiriamali....amenizidi sana. mipango yake inaonekana na ipo dhahiri (wakati yangu ninapoilinganisha kimyakimya ipo dhaifu kweli dhidi yake).....nataka kuvuna hiki kipaji, km sio mimi basi mtoto wangu (tukijaaliwa kuzaa), km ambavyo nae najua anataka kufaidika nami. aliolewa lkn mume ukicheche ulimsumbua baada ya kupata mtoto wao huyo....akamtelekeza na harakati za kudaiana talaka zikafanyika.
nimepeleka barua, wananijibu kuwa wanataka laki nne. PUMBAVU!!! nimewaambia wapunguze hadi nusu km hawataki basi. natoka na nipo maeneo ya pwani, huku ndoa ni ibada zaidi kuliko fursa....ukizingatia na umama wake, naona km nataka kupigwa. nimewapa hadi kesho kuamua hilo.
nilileta thread ya kukimbiwa na binti na kwenda kuolewa na tajiri flani,...ameolewa kwa laki mbili na nusu tu!
karibuni.....