Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 450
- 934
Nakuombea upone na uishi umri timilifu, ujumbe wako umeniuma sana! Pole sana dada
Hii ni kweli kabisa, nina uzoefu na hili.madokta na ubora wa vifaa vya hosp vinatofautiana.
DahBro me sikutishi, nimekupa uhalisia uliotokea kwetu..
pia madokta na ubora wa vifaa vya hosp vinatofautiana. Sie kwa baba, Hosp M.. walipomaliza operation na matibabu kuna dawa wakamzuia baba kuzitumia (hiyo ni last year) akawa fresh kabisaaa.
Huo mwezi kuelekea week yake ya mwisho alianza kupoteza hamu ya kula. Nyama ikichemshwa tu anakula fresh, ikiungwa akila anatapika.. akawa anabagua vyakula.. tukaona anadeka, tukawa hatumuamini.. maana alikuwa fresh haumwi .. ni kama sahvi hapa ambavyo hatukuamini..
Hali ilikuja kubadilika ghafla mno… kwenda hosp Lu.. kwanza wakasema kule M walikosea.. zile dawa hakutakiwa kuziacha..
Hizi hosp baadhi bana ni Mungu tu atusaidie
Namjua mtoto wa mtu ambaye alifanyiwa OP ya kidole tumbo. Kumbe hakuwa na hiyo shida, ikapelekea watingishe utumbo. Imagine mtoto anamaliza miezi 3/4/5 bila kupoop.. akitaka kupoop ni lazima apigwe bomba.. wakabadili hosp sana sana mpaka wakaja kuponea hosp X
So nakushauri.. rudia vipimo bro
Kisha washirikishe familia yako
Mwenyezi Mungu akutangulie…
JoanahHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Pole sana kipenzi Joanah. Hiyo cancer ni ya eneo gani la mwili? Na huduma ya mionzi imeshindikana kabisa?Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Mhhh 🙄🙄Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Wengine mitume wa mazimwi?Hamia kwenye uislamu kabla mauti hayajakukumba.
Miezi uliyobakisha mrudie muumba wako na umkiri Mtume Muhammad S.A.W kuwa ndiye mtume pekee wa mwenyezi Mungu na hakuna apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah S.W.T
Upo kwenye maumivu makali dogo?🥲Familia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
Pole! Kajaribu vipimo hospital nyingineNakufa ndoa yangu ikiwa changa ambayo hatujapata uzao wowote 😭😭