Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,159
- 3,860
M-ngu akutie nguvuHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
M-ngu akutie nguvuHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Oooh duh, hadaiwi? Asije kufa na madeni ya watuJoanah anatuaga eti anakufa😭
Kasema madeni sio shida zake😂😂Oooh duh, hadaiwi? Asije kufa na madeni ya watu
Sio wote mkuu watapitia mateso.. mf. Si baba yetu niseme week yake ya mwisho ndio alipitia maumivu ya kiuno wkend.. j3 akafanyiwa vipimo.. hata majibu hayajatoka akapumzika mazima. Na hiyo siku alimka fresh.. vikabadilika ghalfa na ndani ya masaa matatu akapumzika.Kwa kweli wale wa karibu yangu waliokufa kwa cancer nikawashuhudia sio kitu cha mchezo, miezi ya mwisho ni ya mateso makali sanaaaa!
Na mimi nakiomba mkuu, ni mdau wa elimu lishe wa Dr. SEBI. Kim Jong JrAnko nitumie message please
Hiki swali hata mimi nimeuliza hajajibu.Sasa si utambie unasumbuliwq na kansa ya nini,,labda tutakupa alternative.
Na pia unaweza toa ushauri kwa wengine ilikuwaje kuwaje
Sio wote mkuu watapitia mateso.. mf. Si baba yetu niseme week yake ya mwisho ndio alipitia maumivu ya kiuno wkend.. j3 akafanyiwa vipimo.. hata majibu hayajatoka akapumzika mazima. Na hiyo siku alimka fresh.. vikabadilika ghalfa na ndani ya masaa matatu akapumzika.
Maybe inategemea na aina ya cancer..
Huu uzi niliusoma alfajiri kikawaida.. now nasikia hadi moyo unauma
Sijui anayefariki anajisikiaje.. kazi ipo kwa wanaobaki.
Joanah kama uzi wako una ukweli.. basi wape taarifa nduguzo wa karibu. Vifo vya ghafla vinaumiza sana wanaobaki 🙌
Mungu akutie nguvu..
Sawa sawa.
Sawa sawa.
Je hiyo taarifa ya ugonjwa imekuja ghafra bila kuona dalili zozote au kuna dalili ulikuwa unaziona.
Take heart mkuu!🥲Umenitisha rasmi
Nilikuwa na hopes kwamba vipimo vitakuwa vimekosewa kwasababu sijisikii kuumwa, kumbe naweza kupitia maumivu wiki za mwisho 🥺
Ndio huyohuyoNi joanah huyhuyu ninayemfahamu au kuna mwingine?
Kama unavyosema, huenda zinatofautiana.Sio wote mkuu watapitia mateso.. mf. Si baba yetu niseme week yake ya mwisho ndio alipitia maumivu ya kiuno wkend.. j3 akafanyiwa vipimo.. hata majibu hayajatoka akapumzika mazima. Na hiyo siku alimka fresh.. vikabadilika ghalfa na ndani ya masaa matatu akapumzika.
Maybe inategemea na aina ya cancer..
Huu uzi niliusoma alfajiri kikawaida.. now nasikia hadi moyo unauma
Sijui anayefariki anajisikiaje.. kazi ipo kwa wanaobaki.
Joanah kama uzi wako una ukweli.. basi wape taarifa nduguzo wa karibu. Vifo vya ghafla vinaumiza sana wanaobaki 🙌
Mungu akutie nguvu..
Taarifa nzito inatolewaje?I think unatania taarifa nzito kama hii hauwezi kuitoa Kwa wepesi to this extent