Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,567
- 83,053
That’s not a big dealThe problem is the deceased isn’t serious.
That’s not a big dealThe problem is the deceased isn’t serious.
Dead Nigga Alive (DNA)Kwani wewe mwenzetu sio mtu?
Huruma sio malezi , lazima useme kwanin unadanganya umma wa jeiefu au wew ni eiayi?
real mumy sote tunapita ila bro kajiamulia mambo kusema pumzi yake inakata hivi karibuni kama vile yeye ni Mungu,, kifo ni fumboJamani
ulikua mtu mwema sanaKabla sijaandika uzi nilishawasiliana na mods
Mimi sio mtu wa drama
Kimsingi nipumzike kwa amani, sijawahi kudhani kama nitapata mwanga wa kifo changu namna hii
Rambirambi zote napokea mimi.
Joanah kama unatuigizia it's okay. Nachojua mtu anapoambiwa kansa yake ipo terminal basi anakua katika hali mbaya ambayo hata yeye kutumia simu hawezi kivile. Usifanye mchezo na huu ugonjwa.
Bro mtoto wa mamkubwa Kafariki kwa Ini
Nimefiwa na wengine wawili kwa kansa wote hata kuongea na simu ilikua tabu. I wonder wewe unaweza kuwepo na kujibizana. Naongea kwa experience ya kuwaona wahanga wa ugonjwa huu hasa wakiwa Terminal Stage
Nimeishiwa power huku.real mumy sote tunapita ila bro kajiamulia mambo kusema pumzi yake inakata hivi karibuni kama vile yeye ni Mungu,, kifo ni fumbo
pole, hebu aseme yupo wapi tukamchambe saivi kwanzaNimeishiwa power huku.
Hadi wine naiona Chungu.
Girl what are you talking about??? 😭 😭 Mimi sikuelewi ujueFamilia yangu hakuna anyejua naumwa nini
Nataka nife kimya kimya kama ikiwezekana before mwisho wa wiki inayoanza, sitasubiri miezi miwili
Kuna member mmoja humu nae aliwahi kufungua uzi wa aina hii,alisema ana cancer na kaambiwa hawezi kumaliza miezi 6
Watu wakafikiri anatania,baada ya miezi 6 tu ID yake ikawa R.I.P
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huruma sio malezi , lazima useme kwanin unadanganya umma wa jeiefu au wew ni eiayi?
JoanahRambi rambi naomba apewe yule aliyeomba mkopo wa 20K jana
Girl what are you talking about??? 😭 😭 Mimi sikuelewi ujue
Kabisaa aibu ataona yeyebro mbona umeamua kuficha siri nzito namna hiyo?,, yamkini wangeweza kufanya jambo asee au ulipanga kufa? umefurahi sio?,, basi Mungu alivyo wa ajabu hauwezi kufa aibu utaona wew
huruma sio maleziNi kwa nini wanawambia watu kabisa hivo.
Wanatakiwa wasiseme.