The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,872
- 117,004
Kumbe hata huelewi unachojadili hapa,Hatujamuwakilisha yeyote tunajisemea sisi
Au huyo niliyemuuliza ndio ID yako nyingine sio? Naona umerukia hii issue ghafla tu!
Kumbe hata huelewi unachojadili hapa,Hatujamuwakilisha yeyote tunajisemea sisi
we inabidi nikuokotee mawe tu hamna namna,,Kwa hizi essay mimi marehemu nitapumzika kweli?
Utani pembeni hapa nilipo i feel lost .
Nipo katikati ya mshangao,huzuni na ajabu wakati huo huo nipo excited kufa ...sijui nipo sawa ama nimeshaanza kuchanganyikiwa
Kuhusu kuambia watu wangu hapana, mwenzangu tu hana anachojua sitaki kupanikisha watu
Sawa acha tukubali. Ila kumbuka tunakupenda sana, tunatamani kama ikimpendeza Baba kikombe hiki kikuepukeMimi sinywi pombe wala kilevi chochote situmii so obvious muda hautabadili kitu
Yeah. Ni Id yangu nyingineKumbe hata huelewi unachojadili hapa,
Au huyo niliyemuuliza ndio ID yako nyingine sio? Naona umerukia hii issue ghafla tu!
we inabidi nikuokotee mawe tu hamna namna,,
naomba ujitulize kidogo ushushe pumzi unywe maji alf uwavutie taswira watu wakupendao esp familia yako na huyo mwenzio watakua kwenye hali gani? tena huyo bby dady wako ndo utamtesa zaidi maana ndugu zako watahisi na yeye kachangia kumbe si kweli,, kuna nafsi zitabaki na majonzi kwa ajili yako broo,
basi kama hautaki kufanya kwa ajili yako, do for them
Basi punguza shobo ya kutusemea wana JF,Yeah. Ni Id yangu nyingine
SawaBasi punguza shobo ya kutusemea wana JF,
usijipe umuhimu ambao wala huna.
chanzo ni wew bro utafanya kesho nichelewe kuamka kwenda kutafuta ugali, hata sijui kwanini nakufeelBro leo hulali kwanza? 😂
Mkuu ikiwa nitaanza mimi kufa au laa..Kabla sijaandika uzi nilishawasiliana na mods
Mimi sio mtu wa drama
Kimsingi nipumzike kwa amani, sijawahi kudhani kama nitapata mwanga wa kifo changu namna hii
chanzo ni wew bro utafanya kesho nichelewe kuamka kwenda kutafuta ugali, hata sijui kwanini nakufeel
kwani do i know you? au umeniwekea ka kitu😅
Mkuu ikiwa nitaanza mimi kufa au laa..
Natamani nishiriki mazishi yako ikiwa utanitangulia mahali pa giza.
Nitafanyaje kujua mahali utapofia na taratibu za manziko yako.
Hii kama nitabaki hai kabla yako, natamani japo niguse jeneza lako.
Mkuu Joanah Toa mwongozo
sawa rambi rambi tutakusanya ila fanya kama tulivyo ambiana hapo juu,, ikitokea nimetangulia ya kwang utaikusanya wew na crush wako mshamba_hachekwi ili mkailie mihogo na samaki wa kuchoma cocobeach 😅Skia we kesho chelewa kwenda kutafuta ugali kwani rambi rambi si utakusanya wewe na The Icebreaker ? Mkizikusanya chukua hapo na yule jamaa wa 20K wa mkopo wa jana nae mkopeshe
sawa rambi rambi tutakusanya ila fanya kama tulivyo ambiana hapo juu,, ikitokea nimetangulia ya kwang utaikusanya wew na crush wako mshamba_hachekwi ili mkailie mihogo na samaki wa kuchoma cocobeach 😅
The truth is difficult to bear when heard from a close friend like joanah, fight strong, never lose hope+Faith. You will come through this ordeal victoriously.
🔥🤣🤣🤣🤣🤣Sio wewe unitunuku kinyeo ili nikachomwe moto wa milele?
si ndio😅 kuna mda mpka ikakuniga kwa uroho wa kubugia,,Asee leo nimeshinda cocobeach na mihogo nimekula
Umeniona nini wewe kachawi? 😂
🔥🤣🤣🤣🤣🤣
mkabidhi maisha yako Mungu tu kwa sasa!! Ye ndiye mjuzi wa Kila kitu joanah.
Kinachoniumiza zaidi you are too young.