Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Hahaaa hebu usinichekeshe shem nyie wanaume hamna lips kumbe mbona mi wangu anazo nene hizo😂

Tweezers zinatumika kutoa vivz vilivyootea kwa ndani🫢, zipo za kuwekea lashes kwa sisi wanawake sijajua za kiume kama zipo aiseeew🤔

Anafikirisha sana binafsi mwanaume wa aina hii sitawezana naye☹️
Mhm shem
 
Nimelia sana baada ya kuona mwanaume anawaza dressing table
Tena ameweka na malip nini sijui huko na anaona hayamtoshi. Ukitaka kulia mpaka uzimie jaribu kumuuliza kabatini kwake kaweka vitu gani. Anaweza akaja na uzi wake wa vitu vya kabatini.
 
Mashoga hawa wapo tu labda kwa sasa tuseme wamefumuka.
Lishoga limoja Mbaraka liliniingiza kwenye hii kashfa miaka ya 90 huko,
Sikuwai kulitafuna,ila ilikua Company kula bata sana "smart boyz" pale mtaani,
Jamaa alikua na mawe haswa ukifika week- end ni kazima tutoke lilikua toto la mama.
Pesa kibao kumbe Lina basha wa kihindi anahonga km mkewe.
Siku Billz pale namkuta ana muitaliano kapakatwa aloo kalegeea namuuliza "we vp mambo gani tena?
Jibu "n"do mambo yangu haya we si hutaki"
Du urafiki wetu ukaishia hapo,
Sidhani km atakua mzima yule jamaa maana ni miaka 33 sasa imepita
 
Mm hujali kitana, perfume na mafuta ya ngozi tu na nina prefer coconut oil cos ni multipurpose 🧰⚒️
 
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
  1. Perfume
  2. Nail cutter
  3. Lotion
  4. Body spray
  5. Lip gloss
  6. Aftershave
  7. Tweezers
  8. bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
Duh mwanaume na dressing table ya nini? 53🐴🥳
 
Watu wachafu wachafu ndio wanashangazwa na hayo. Kwani man kuwa msafi kuna shida gani, mimi kuwa msafi kunaondoaje uanaume wangu

Mezani kwangu hapakosi perfume Club De Nuit, Dove hand oil(hii nakuwa nayo kwenye beg la kazini), serum ya Anua 10+, St. ives shower gel, Afro American, Jergens na skin doctor scrub.

Ishi maisha yako
 
Back
Top Bottom