Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kwa namba 1 naongeza
Jewellery
Make-up powder au/na
Foundation
Lipsticks
Mascara
Nail polish
N. K.

Namba 6
Hiyo nayo why?

Nimejaribu 😊

xxxxxx

... Kichwa ya uzi imebadilishwa kuwa ilivyo sasa.... 👁️‍🗨️
Basi iwe cologne.. 😊
Unajipaka rangi mwenyewe halafu wapaka rangi tushinde njaa?
 
Wangekubunia km hi wangemaliza kila k2
1746039939825.jpg
 
Umesema kwenye dressing table yako kuna nail polish..kwa ajili ya kujipaka mwenyewe? Ukijipaka mwenyewe wapaka rangi hela tutapata wapi? Hapo umenielewa sasa!

Hiyo umetunga wewe kichwani... Pokea 💉💉💉
Ungesoma alichoandika aliyeanzisha uzi sifikiri kama ungekazania juu ya niliyoandika

Na hapo pia alikuwa na kichwa ya uzi ingine na naamini either mods wanabadili kama kawaida yao au yeye alitaka

Hili jambo lizoeee humu JF yakibadilishwa posts zinazofuata usomeka kutokana na cha mwanzo

Haya rudi kusoma na nimekufundisha kitu ya humu pia
 
We wanaku drill kama Longhole , mwanaume rijaalun dressing table ya nini..?

Mimi pembeni kuna ka stuli kadogo chenye

1. Pakti ya embassy
2. Kiberiti cha gesi
3. Mafuta ya ng'ombe (nayo napaka mara moja kwa wiki)
4. Kitana kilikuwepo tena naona siku mbili hizi hakionekani nitakuwa nimekitupa
Mimi huwa sikosi kondom ambayo kila asubuhi huitia mfukoni ilikusudi nikikutana na demu yeyote katika mishe zangu ningonike naye.
 
Hiyo umetunga wewe kichwani... Pokea 💉💉💉
Ungesoma alichoandika aliyeanzisha uzi sifikiri kama ungekazania juu ya niliyoandika

Na hapo pia alikuwa na kichwa ya uzi ingine na naamini either mods wanabadili kama kawaida yao au yeye alitaka

Hili jambo lizoeee humu JF yakibadilishwa posts zinazofuata usomeka kutokana na cha mwanzo

Haya rudi kusoma na nimekufundisha kitu ya humu pia
Umepanick bure mdada! Mimi nimeongea kama utani jikte kupata context toka nimekuquote mara kwanza.. reply yangu haina uhusiano na mtoa mada! Mimi nilitania hapo kwenye suala la nail polish ubaya upo wapi hapo ! Nimefafanua nimekumbia mimi ni mpaka rangi( nafanya kazi ya kupaka akina dada/mama rangi kwenye) kama na hapa hujaelewa tena basi!
 
Jamani leo ntasema ukweli..
Mwenye hii id ya haszu yupo hapa hapa wakuu yupo hapa..

Wakuu huyu mtu namjua na namtaja hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wachafu wachafu ndio wanashangazwa na hayo. Kwani man kuwa msafi kuna shida gani, mimi kuwa msafi kunaondoaje uanaume wangu

Mezani kwangu hapakosi perfume Club De Nuit, Dove hand oil(hii nakuwa nayo kwenye beg la kazini), serum ya Anua 10+, St. ives shower gel, Afro American, Jergens na skin doctor scrub.

Ishi maisha yako
Thank you for this, hawa watu wanaona kunuka jasho ndio ujanja
 
Back
Top Bottom