Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,600
- 19,866
Mwanaume unakuwaje na pigo za kike like namna hiyo?
Dressing table ya kazi gani sasa?
Dressing table ya kazi gani sasa?
Ndiyo kwanza nimeiona kupitia huu uzi.Nunueni tweezer mueke kwenye hizo DT zenu vijana🥱
Kijana mwenzenu kawapa mwanga sasa mnaweza kuproceed..Ndiyo kwanza nimeiona kupitia huu uzi.
Kama mwanga wenyewe ndo huo bora nikae giza.Kijana mwenzenu kawapa mwanga sasa mnaweza kuproceed..
Mambo yamebadilika sana.. kuna wadada hapa hawana DT tayari kijana anayo ndaniKama mwanga wenyewe ndo huo bora nikae giza.
Kama sina mke ndani hiyo haiwezi kaa kwangu.Mambo yamebadilika sana.. kuna wadada hapa hawana DT tayari kijana anayo ndani
Ataikuta huyo mke we iweke tu!Kama sina mke ndani hiyo haiwezi kaa kwangu.
Haina kazi kwa sasa.Ataikuta huyo mke we iweke tu!
Mmmmh, Mungu nifundishe kunyamaza 😂 .Ngoja Binti wa zamani aje akupe maelekezo