Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Labda ameita jina la kizungu.

Ila ndio uweke nail cater na lip gloss kweli? .
Kwan Sisi wanaume kucha zinarefuka na kwan tuna Lips sisi 😂😂😂😂

Alaf Tweezer ni nini?.
Eti shem Seran
Hahaaa hebu usinichekeshe shem nyie wanaume hamna lips kumbe mbona mi wangu anazo nene hizo😂

Tweezers zinatumika kutoa vivz vilivyootea kwa ndani🫢, zipo za kuwekea lashes kwa sisi wanawake sijajua za kiume kama zipo aiseeew🤔

Anafikirisha sana binafsi mwanaume wa aina hii sitawezana naye☹️
 
Kwenye kikao cha wanaume kinachofata uwe tayari kutoka kwa kundi la wanaume pumbavu sana yan makolokolo ya wanawake unasema we mwanaume. Sisi hata kuoga hujifuti na taulo bali unajikisa kama mbwa alonyeshewa unavaa unaenda zako. Yaani wewe kikao kinakuhusu mwajuma
 
43488E45-A75C-4FAA-B6E3-698424542799.jpeg

Castle_Lite
 
Mwanaume una dressing table serios au wewe mvula mwanaume unamka unaoga tena bafuni dakika tano nyingi unatoka uko unapaka mafuta unavaa nguo wife ndio anakwambia baba chacha ebu njoo anakurekebisha kidogo au baba nyangema hiyo seruali au hilo shati au hicho kiatu au vipi hapana unatoka zako uyo kwenye mishe saa mwanaume unapaka mafuta umevua nguo zote, unajiangalia kwenue kioo, unapaka poda haaa haaa mambo ya mapooda aaah mnaferi wapi wazee
Duh sema swala la kupaka tako mafuta kwa mtoto wa kiume lina ukakasi sana.
 
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
  1. Perfume
  2. Nail cutter
  3. Lotion
  4. Body spray
  5. Lip gloss
  6. Aftershave
  7. Tweezers
  8. bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
Dah you guys mna dressing table 🤣
 
Back
Top Bottom