Pedi au pampas?Umesahau pedi
Mimi najuaga huyu ni mwanamke. Basi kasahau vyote.Pedi au pampas?
Kama kutokuwa dressing table ni ushamba acha tu niwe nao .. vinasaba vyangu haviruhusu kabisa kuwa dressing table.Wengi dressing table ni kitu kinawasumbua kwa sababu mmezoea madem ndo wanatumia, ukimuuliza jina la sehemu anaweka mafuta ya kujipaka na perfume na mashine ya kunyoa ndevu au vuzi atasema kabati...ng'ombe ww sema dressing table tu...unafungaje tai bila kioo...tatizo ni ushamba. Kuna jamaa analalaga kwenye nyumba za wageni kwa sababu guest house ni za wazinzi,😂😂😂
Kua na dressing table ni kawaida sana , ila hili lina force ni mwanaume ila lina pigo za kike kikeKama kuwa dressing table ni ushamba acha tu niwe nao .. vinasaba vyangu haviruhusu kabisa kuwa dressing table.
Unapaka ili iweje uzuri wetu ni kutokimbia majukumu ya familiaTena ukipaka mafuta ni marufuku kupaka kwny makalio.