Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Kwa wanaume: Dressing table yako ina nini na nini?

Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
  1. Perfume
  2. Nail cutter
  3. Lotion
  4. Body spray
  5. Lip gloss
  6. Aftershave
  7. Tweezers
  8. bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
Vya nini sasa kwa mwanaume hivo?
 
wewe lazima utakua na sura mbaya
Wewe unazidi kujidhihirisha kwamba wewe ni gay siyo bure! Mwanaume unataka sura nzuri, sura laini ili ugundue nini huko? Utakuwa unapumuliwa hutaki kupoteza soko!
 
We wanaku drill kama Longhole , mwanaume rijaalun dressing table ya nini..?

Mimi pembeni kuna ka stuli kadogo chenye

1. Pakti ya embassy
2. Kiberiti cha gesi
3. Mafuta ya ng'ombe (nayo napaka mara moja kwa wiki)
4. Kitana kilikuwepo tena naona siku mbili hizi hakionekani nitakuwa nimekitupa
 
Mwanaume una dressing table serios au wewe mvula mwanaume unamka unaoga tena bafuni dakika tano nyingi unatoka uko unapaka mafuta unavaa nguo wife ndio anakwambia baba chacha ebu njoo anakurekebisha kidogo au baba nyangema hiyo seruali au hilo shati au hicho kiatu au vipi hapana unatoka zako uyo kwenye mishe saa mwanaume unapaka mafuta umevua nguo zote, unajiangalia kwenue kioo, unapaka poda haaa haaa mambo ya mapooda aaah mnaferi wapi wazee
We ni mchafu a.k.a msela nya! Nyie ndio mnaonuka vikwapa kwenye daladala
 
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
  1. Perfume
  2. Nail cutter
  3. Lotion
  4. Body spray
  5. Lip gloss
  6. Aftershave
  7. Tweezers
  8. bila kusahau mafuta ya nywele
So what am I missing here?
Hapo no. 6 niaje?
 
haszu my wangu nilijua umekufa 29/10, usisahau ahadi yangu ya kugharamia birthday party yako ya mwaka huu ipo palepale uje na mashost zako wote wakina ELI COHEN Chizi Maarifa Castle_Lite Kinyungu Echolima1 Yoda hamis77 loose Nut

Bro Munch wa Annabelle .
Dah haya bana.

Nina meza yenye draw 2 kwa chini ambayo kwa juu naweka saa zangu, funguo , mafuta ya nazi kwa ajil ya nywele. Pafyumu na pia nikilala ndio naweka sim hapo ili ichaji.

Siwez ita dressing table maana haina kioo na situmii kujipamba. 😎😎😎😎
Tuite tu kameza ka chumban ka kuwekea vitu.
 
Hakika nimestaajabu, hivi huko mijini kuna wanaume wana mpaka dressing table. Huku kwetu mwanaume ukimiliki hata lotion then wanaume wenzako tukagundua tunaanza kukutazama tofauti na kwa ukaribu zaidi maana hayo mambo tumezoea ni ya kina mama.

Hiiiiiii, Baghosha!!!
 
Back
Top Bottom