kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 tangu kutekwa na kuuawa Mzee Ali Kibao, mpaka leo hakuna taarifa ya nani alihusika!

    Leo, Septemba 6, 2026, inatimiza miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tukio hilo bado hayajawekwa wazi. Pumzika kwa amani, Ali Kibao, tutakukumbuka daima. ===== September 6, 2026, marks two years since his death, but to this day, the results of the...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA:- Buluba James amepatikana akiwa amekufa baada ya kupotezwa/ kutekwa mwezi wa sita

    TANZIA Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026) Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani Morogoro kununua Kinanda(used) kwa watu aliokubaliana nao. Kinanda hiki kilikuwa ni sehemu ya...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu asimulia kutekwa, kuteswa na kuachana na siasa: “Nilijua naenda kufa”

    Agosti 4, 2026, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bakari Kazungu, alitekwa na watu wasiojulikana jijini Tanga na baadaye kupatikana akiwa amepigwa na kuteswa vibaya. Kabla ya tukio hilo, Kazungu alikuwa akitumia mitandao ya kijamii kukosoa baadhi ya mwenendo ndani ya chama chake na kueleza...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tulimpinga Nyerere bila hofu ya kutekwa~ Lumuli Alipipi Kasyupa

    Mmoja wa waasisi wa kundi mashuhuri la Wabunge 55 (G55) na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kyela, Lumuli Alipipi Kasyupa, amefunguka kuhusu ujasiri waliokuwa nao wa kumpinga Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, huku akibainisha kuwa tofauti na zama za sasa, mazingira ya kisiasa ya kipindi hicho...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Kazungu ni unyama unaoichafua nchi- Ado Shaibu

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amemwaga povu zito akilaani vikali utekaji, utesaji na ukatili aliofanyiwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kazungu Bakari, huku akitahadharisha kuwa wimbi hilo la kihalifu linaiweka nchi kwenye taswira mbaya mno kisheria na kimataifa. Kupitia...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Kiroho: Kutekwa kwa Nafsi badala ya msukule

    Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku. Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...! hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki kwa kutekwa na watu wasiojulikana Mzee Ali Kibao taifa lina mpasuko mkubwa

    Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana? Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa kinyama taifa letu limegawanyika na kupasuka. Leo hii watu wanashangilia hadharani kwenye majukwaa ya...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Raphael Tuju aliyedaiwa kutekwa alikuwa amejificha kukwepa madeni

    Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imemtia nguvuni Waziri wa Zamani Nchini Kenya, Raphael Tuju, ambaye Familia yake ilidai ametekwa kabla ya kujitokeza na kukiri alikuwa mafichoni siku ya Jumamosi baada ya kuhisi kuwa kuna watu waliokuwa wakimfuata. Akizungumza baada ya Tuju kuonekana...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  15. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

    Mange ameeleza tukio zima la mfanyabiashara kutekwa, ambapo analeza tukio hilo lilifanyika karibu na ofisi za mkuu wa wilaya
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
Back
Top Bottom