William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #581
Huu mjadala unatuaibisha kama jamii. Hivi sisi na hao waheshimiwa wanaoogopa kuingia bungeni kwa imani za kishirikina tuna tofauti gani na wale wanaoua vibibi kizee, albino, wanaouchuna ngozi n.k? Aibu tupu!
Mkuu Fundi hatuwezi kukwepa kujadili yanayojiri kwenye tifa letu kwa kuogopa aibu, yaliyotokea na tunayo yajadili ndio hasa uwezo wetu wa-Tanzania kiakili ulipo, kwa sababu look watu waliosoma Harvad kina Obama sasa wako wapi na hawa wenzetu waliosoma Harvad kina Chenge na Mungai walipo?
Hatuwezi ku-denial uwezo wetu wa kufikiri na kuona mambo kitaifa, mkuu Fundi haya tunayoayajadili yana-reflect us as a nation, kuyakwepa kwa sababu ni aibu ni kujaribu kuyafukia sio solution yatakuja kurudi tu mbele ya safari!