Nimeshakwambia ACHA USHOGA!
ONDOA HIYO KAULI YAKO YA "KUMPA KIKWETE"Ulishampa 2006 bado umenogewa tu?!
Kwa hiyo sasa mimi ni shoga tena... unhhha!
Nimeshakwambia ACHA USHOGA!
ONDOA HIYO KAULI YAKO YA "KUMPA KIKWETE"Ulishampa 2006 bado umenogewa tu?!
....NAKUBALIANA NA WEWE JAMBO MOJA ...MIAKA YA MWANZO YA UHURU AFRIKA ..VIJANA WALIOKUWA WAKITOKA MAREKANI KUSOMA WALIKUWA WAKIOGOPWA SANA....HASA KUTOKANA NA WIMBI LA CIA ...KUWATUMIA KUANGUSHA SERIKALI ....AU HAWA VIJANA WALIKUWA NA MUAMKO NA UFAHAMU MKUBWA AMBAO ULIKUWA TISHIO KWA MAMLAKA .....HATA HAPA TANZANIA MIFANO IPO MINGI YA VIJANA WALIORUDI BAADA YA UHURU WALIVYOKUWA SILENCED NA MWALIMU.....TENA HASA KAMA AKIWA NA MKE MZUNGU WALIOGOPWA ZAIDI......kuna ndugu yangu yeye alirudi na TUNTEMEKE SANGA wote wakiwa na wanawake wa kizungu....ndugu yangu akiwa na black american..enzi hizo ukirudi na masters unaweza kupewa audience na rais.....wote hawa waliwekwa home detention kwa kuhofiwa ni CIA......
LAKINI HATA HIVYO KUHUSIANA NA issue ya OBAMA sr....ilikuwa tofauti..pamoja na kuwa na akili sana sana ...jambo lililowavutia hata wakwe zake ....babu wa obama kwa mama....ulevi uliendelea kuwa tatizo lake kubwa ....na sidhani kama angeweza kuwa tishio kwa kenyatta kiasi cha kuuwawa....ALIGONGWA NA GARI AKITOKEA KWENYE POMBE....lakini pia labda na mimi nikuambie kuwa huyu ndugu yangu aliyerudi na tuntemeke sanga naye ALIKUJA KUWA FRUSTRATED BAADA YA KUNYIMWA KAZI STAHILI NA SERIKALI ILIYOPELEKEA KUJIINGIZA KWENYE ULEVI....NAYE ALIKUJA KUFA KWA COMPLICATION YA ALCOHOLISM.........so pia inawezekana kulikuwa na kitu kama frustration kwa watu wa aina hii....and they where over AMBITIOUS..!!!
Kama ni hizo so called "over AMBITIOUS" Mbona ziko nyingi tu?
Kolimba,Kambona,Obama sr, na wengineo wengi yaliwakumba!
Sasa mbona Mkapa hakufa kwa ulevi?
Huyu mtu alikuwa na Scholarship na alipograduate aliamua kurudi nyumbani lakini alikuwa ni tishio kama ilivyokuwa kwa wasomi wengine kama kina Sanga walipokuwa wakirudi!
Umesahau serikali ya Awamu a kwanza ilipowatonya wakenya kuwa Ouko alikuwa amejificha hapa TZ na alipokuwa akifikiri anaingia Kenya kwa siri wakamuua!

Ni Ouko mwingine..Ila huyo wa Moi naye si ni hayo hayo tu?KAMA UNAONGELEA ROBERT OUKO ..ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA NJE ..YEYE ALIUWAWA NA MOI.....CHINI YA OPERESHENI ILIYOSIMAMIWA NA MKUU WA USALAMA EZEKIAH OYUGI....baaada ya kumuuwa walimtupa kwenye shamba la miwa...naye kisa cha kuuliwa kilianzia kwenye kutokuelewana na rais moi kulikoanzia kwenye ziara ya rais MOI marekani....RONALD REAGAN alionekana kuwa interested zaidi na ouko kuliko YEYE RAIS[MOI]......THE STORY IS LONG.....
.....WALIOCHOMWA NA MWALIMU KWA MOI ...ni kina SGT OCHUKA aliyetoroka na ndege .....if i am not mistaken ambao waliongoza mapinduzi yaliyoshindwa ya mwaka 1982....nyerere aliwachoma makusudi baada ya moi naye kuwashikilia kina captain maganga..et al ili awatumie kama njia ya kuwapata wabaya wake......waliamua kubadilishana wahaini!.....MASTERMIND WA MAPINDUZI TANZANIA UNCLE THOM LUGAKINGIRA...yeye naye alikuwa kenya na alishtukia mpango wa MOI akatoroka...
KAMA UNAONGELEA ROBERT OUKO ..ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA NJE ..YEYE ALIUWAWA NA MOI.....CHINI YA OPERESHENI ILIYOSIMAMIWA NA MKUU WA USALAMA EZEKIAH OYUGI....baaada ya kumuuwa walimtupa kwenye shamba la miwa...naye kisa cha kuuliwa kilianzia kwenye kutokuelewana na rais moi kulikoanzia kwenye ziara ya rais MOI marekani....RONALD REAGAN alionekana kuwa interested zaidi na ouko kuliko YEYE RAIS[MOI]......THE STORY IS LONG.....
.....WALIOCHOMWA NA MWALIMU KWA MOI ...ni kina SGT OCHUKA aliyetoroka na ndege .....if i am not mistaken ambao waliongoza mapinduzi yaliyoshindwa ya mwaka 1982....nyerere aliwachoma makusudi baada ya moi naye kuwashikilia kina captain maganga..et al ili awatumie kama njia ya kuwapata wabaya wake......waliamua kubadilishana wahaini!.....MASTERMIND WA MAPINDUZI TANZANIA UNCLE THOM LUGAKINGIRA...yeye naye alikuwa kenya na alishtukia mpango wa MOI akatoroka...
Ni Ouko mwingine..Ila huyo wa Moi naye si ni hayo hayo tu?
Tuna historia nzuri ya Ouko huyu wa karibuni kwasababu ni wa juzi wakati wa Moi..Unajua hawa watu familia zao zilianza siasa muda mwingi!Mimi nafikiri issue ya kenya ni OUKO tu huyo mmoja aliyeuawa kipindi cha Moi!kINA Raira Odinga walikuwa wanalia kila siku iundwe tume nafikiri matokeo ya tume sijui ilikuwaje
issue ya mauaji ya Ouko inaishia kwa Nicholus Biwott...na sijui Jonah Anguka ameishia wapi..Scotland Yard walienda kufanya uchunguzi mpaka leo report haijulikani iko wapi.
Hakuna anayejua kila jina la mwanamapinduzi aliyeuwawa kwa siri zama za nyuma!
Nani siyejua assumptions za kifo cha ajali cha Sokoine?
Nani anayejua kwa uhakika kuwa Obama sr hakuwa tishio kwa serikali na kama si kweli walimuuwa?
Pia taarifa nilizokuwa nazo ni Ouko mwingine aliyekuwa mwanamapinduzi kipindi cha Kenyatta.
Usishupalie kukosoana ili kukatishana tamaa...Wewe njoo na data ili kukanusha.Mimi nilipewa habari na mimi nimeiwakilisha...Ni historia ambazo kama tungekuwa na watu wanaopenda kutoa kama wewe unavyoendelea kumpa Kikwete then habari nyingi tu tusingezipata...However umechelewa na nitapambana na wewe matopeni,majini,angani na kila mahali kwa kutumia silaha za kila aina ili tuweze kukushinda fisadi MKUBWA WEWE na Kikwete na Chenge, Rostama AZIZI Ballali,Mramba MGONJA,KARAMAGI,Nimrod Mkono,Basil Mramba wengineo ambao utanilazimisha niendelee kuwataja!Kama kawaida yake ameshajikanyaga kwa kusema kuwa kuna Ouko aliyeuwawa wakati wa Kenyata. hakuna Ouko yeyote aliyeuwawa wakati wa Kenyata. Yaani wewe sasa unatisha kwa pumba.
Bado kuiona Mama...Ila nitaipitia kwani sasa majukumu yaenda yakiongezeka na muda ni mfupi wa kuwatambua wazalendo watakaotuwakilisha ifikapo 2010.Mushi eeh, ile report ya kamati ya Jaji bomani (ya madini) iko hapa JF, umeiona?
Bado kuiona Mama...Ila nitaipitia kwani sasa majukumu yaenda yakiongezeka na muda ni mfupi wa kuwatambua wazalendo watakaotuwakilisha ifikapo 2010.
Mbona ni kiclick hiyo link inaniletea info tofauti?
Mbona ni kiclick hiyo link inaniletea info tofauti?