Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

Mkuu Field Marshall ES, Kama unampango wa kuoga kutokana na majasho kila unapoingia JF basi endelea kujibishana na Mushi.

Labda nimuambie kuwa nitaendelea kuleta dataz, nilizonazo sijafanikiwa kuzi-verify ya yaliyojiri huko ndani jana, zaidi ya hiyo ya rais kunawa mikono baada ya kushambuliwa sana na wabunge, na mpaka azimio lao likakubaliwa, tatizo ni kama litafanyiwa kazi,

Unajua kumuacha ni kumpa kichwa halafu atafikia mahali hataelewa anachotakiwa kufanya hapa kuwa ni kushambulia ishu au hoja, sasa hivi najua tabia za watu kama yeye anasubiri support, isipoktokea basi, ikitokea utamuona, that is pathetic!
 
This thread is being monitored, irrelevant posts will be deleted !
 
Mushi,
Nataka kuwa na wewe kwa asilimia mia moja. Ila nashindwa ndugu yangu ingawa mie si Mchaga. Unachosema na unachotaka kusema au kukifanya kama ungelikuwa Rais ni kwamba ungeishia kuwa Joseph Stallin. Unayoyataka wewe ni sawa na UKOMINIST. Kumbuka hakuna system nzuri duniani kama hii ila tatizo ROHO na tamaa za watu. Haya unayoyataka wee kwa kweli HAYAWEZEKANI. Mie nilisema tupigane ili YAPUNGUE na si kwamba YAISHE. Nasema hivyo kwa sababu moja ndogo sana.
KIKWETE HAWEZI KUKATA TAWI ALILOKALIA. Mwite au muweke kwenye fungu utakalo ila jamaa HATANYEA KAMBI.
Kikwete yuko kati A au B. Sehemu A ni ile isemayo kuwa MAFISADI walitafuta KIWETE na kumpa Urais ili issue zao zifanikiwe. Ndiyo maana hawezi kuwagusa hawa jamaa. Hapa imekuwa kama biashara ya DANGULO. Rostam Azziz alitoa hela na sasa anadai huduma. Wee unataka kikwete aanze kusema "Ohh, unajua mwenzio leo niko mwezini?" uimbe na ucheze jamaa ni KIWETE. Huyu hata UFISADI hauwezi. Ila hii ni kama yuko A. Sasa juu ya B ni kuwa NA YEYE NI FISADI. Hapo hawezi sema kitu maana akiwatosa wenzie basi WATAMSHIKA MGUU waende wote. Na ogopa kushikwa mguu ndugu yangu. Nyingine ni kuwa yuko kote kwenye A na B. Hii ndiyo wengi wanasema jamaa yupo. All in all zote mbili ni kuwa Kikwete KAMBA ya Mafisadi anayo. Ili kulikwepa hili nafikiri naungana na aliyesema kuwa "Alitakiwa kuwaua MAFISADI wote waliomuingiza Madarakani. Ila Mafisadi inawezekana walilijua hili na wakatafuta KIWETE wa kisiasa na UONGOZI. Kama na yeye ni FISADI basi inabidi mikakati mipya.
 
No matter what sasa hivi Kikwete yumo kwenye mtihani mgumu sana, kwa sababu haijawahi kutokea nguvu za wananchi zikaanza kudai haki na kuzimwa hivi hivi, toka wananchi walipoanza kuwazomea viongozi wa CCM, it was over!

Kwa sababu wananchi walikuwa wana-respond na kitendo cha Zitto, kufukuzwa bungeni, since then serikali ya Kikwete imekuwa iki-struggle na kujaribu kuukwepa upepo wa mabadiliko, ambao kwa kawaida ya historia ya siasa ukianza kuvuma kama unavyovuma sasa bongo hauwezi kuzimwa, no question kuwa anajaribu kuwa pande zote mbili, lakini ninasema kuwa upande wa wananchi hauwezi kushindwa this time,

Maaana kama ingekuwa inawezekana kushindwa toka Zitto, aliposimamishwa bunge mpaka leo ungekuwa umezimwa tayari, lakini the fact kwamba bado unawaka sasa mpaka ndani ya CCM, ninasema kuna makubwa yanakuja this time mafisadi thier days are numbered, kwa sababu pamoja na juhudi zote za Makamba kuitoa ishu ya mafisadi, lakini imesemwa anyways!

Kwa kweli tuko kwenye the right track, ingawa sio kwa speed ambayo tungeitaka!
 
Kijana Rama mla Vichwa na Andereya si wawekwe pamoja? Kijana akinywa damu basi Anderea anachukua mwili na kuukausha na KUUPONDA dawa. Ila wasiwasi wangu kuponda dawa ya kunyunyizia ukumbi mzimainabidi nyingi sana huu unga. Isije kuwa ndiyo maana Zeluzelu sasa wana HAHA maana wanatafutwa kwa udi na uvumba wakaNYUNYIZWE bungeni katika form ya UNGA UNGA. Hiii kwa Kinyantuzu nafikiri alikuwa akisema " twende tukatumukiamo bungeni tunyunyiziage viji-dawa ..."
Ngoa wengine tuamini jamaa ni mwanga. Hii issue kweli ngumu. Kweli Rais hata kama angelikuwa Mushi angelisimama katikati na KUKUBALI kweli jamaa kaonekana? Si ni aibu kwa nchi na kwake maana kila akienda nje watamuuliza kulikoni nchini kwako . Nafikiri kweli hii ya uchawe tuiiache ingawa ukweli UJUMBE UMEFIKA... hadi kwetu huku.
 
Tuna historia nzuri ya Ouko huyu wa karibuni kwasababu ni wa juzi wakati wa Moi..Unajua hawa watu familia zao zilianza siasa muda mwingi!....

!

Hakuna Ouko mwingine aliyeuwawa wakati wa Kenyatta. Naona umepatikana kwenye Kinyaga moment nyingine. Kwi kwi kwi...
 

Kwa kweli tuko kwenye the right track, ingawa sio kwa speed ambayo tungeitaka!

Hiyo speed aliyonayo Muungwana ndiyo ambayo inatufanya sisi wengi ambao tulimpa kiti tuwe na mashaka na mwelekeo wake...maana sasa kila kukicha habari tunazosikia,tunazozisoma ni ufusadi hakuna tena maendeleo,elimu au kilimo bali ni ufisadi tuuuu.


......hatawakinga tena na kwamba hakuna sheria yoyote inayowalinda wasifikishwe kwenye mkondo wa sheria..................

Je ina maana hapo mbeleni alikuwa akiwalinda?Tujiulize

Na muungwana amekubali kama mwenyekiti, mafisadi wote kuchukuliwa hatua za kichama kama ilivyotakiwa na wabunge, lakini amehimiza wajumbe kusubiri matokeo ya kamati ya Waziri Mkuu, ile ya miezi mitatu na kwamba watakaohukumiwa na CCM, lazima wapatikane na makosa kweli...................

Hapa si tunazugwa tu,Mimi nilidhani walishapatikana na makosa sasa tusubiri makosa gani mengine?

Na inasikitisha zaidi tunaposikia Muungwana badala ya kukemea anajaribu kupooza.

NEC nayo inajaribu kuwasafisha wameanza na Lowasa na tunasubiri na hawo wengineo


Na Mwandishi Wetu, Dodoma

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa, ametetewa na wajumbe wengi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

Habari za ndani ya kikao hicho kilichojadili juzi pamoja na mambo mengine uhusika wa Bw. Lowassa katika sakata la mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Richmond, zilisema baada ya Bw. Lowassa kujieleza wajumbe waliuona ukweli na kubaini kuwa uhusika na Richmond si wa moja kwa moja.

"Sisi tunaamini kuna vikundi ndani ya CCM ndivyo vinavyoshinikiza hali hii itokee ili Bw. Lowassa aonekane mbaya mbele ya jamii, lakini tulifikia muafaka kuwa alijiuzulu si kwa kuhusika moja kwa moja na Richmond, bali aliwajibika ili kukiokoa chama kwa wadhifa wake," kilisema chanzo chetu cha habari.

Chanzo hicho kilisema kilichojitokeza ni kuwa Bw. Lowassa alionewa katika sakata hilo na kwamba la muhimu ilikuwa ni kuwasilisha ushahidi muhimu, kama upo, katika kujihusisha moja kwa moja na Richmond.

.......Mmoja wa wanachama wakongwe na kada wa siku nyingi wa CCM ambaye pia ni mjumbe wa kikao hicho, alisema maelezo yaliyotolewa na Bw. Lowassa katika NEC juzi, yalitosha kumwondoa katika kashfa ya moja kwa moja ya Richmond.

Habari zaidi zilisema wajumbe hao wa NEC walikubaliana kutoendeleza hoja hiyo na kutaka Serikali iachiwe majukumu yake na badala yake CCM ijiimarishe na iendelee kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa maslahi ya wananchi.

Jamani hebu nisaidieni yaani mimi ndio nazidi kuchanganyikiwa haya mabo yatkwisha lini kweli kuna dalili hapa ya kiongozi kuwajibishwa?Mungu ibariki TANZANIA
 
Huu mjadala unatuaibisha kama jamii. Hivi sisi na hao waheshimiwa wanaoogopa kuingia bungeni kwa imani za kishirikina tuna tofauti gani na wale wanaoua vibibi kizee, albino, wanaouchuna ngozi n.k? Aibu tupu!
 
....

huyu ndugu yangu aliyerudi na tuntemeke sanga naye ALIKUJA KUWA FRUSTRATED BAADA YA KUNYIMWA KAZI STAHILI NA SERIKALI ILIYOPELEKEA KUJIINGIZA KWENYE ULEVI....NAYE ALIKUJA KUFA KWA COMPLICATION YA ALCOHOLISM.........so pia inawezekana kulikuwa na kitu kama frustration kwa watu wa aina hii....and they were over AMBITIOUS..!!!

Huyu ndugu yako alikuwa anakaa Temeke Kota? Maelezo yako yamelandana sana na mjomba wa wadogo zangu, alipata masters kutoka USA miaka ya mwanzo ya 1960, lakini akafanyiwa "undava" na watawala wa enzi hizo, alikuwa anashinda sebuleni kwake anasoma tu novel na kubugia konyagi na kuvuta sigara kutwa nzima, kwa kweli alikuwa very frustrated. Alifia kwenye hiyo nyumba ya "kota" ya chumba kimoja, hakuwa na chochote, hata wanae hawakufaidi chochote katika elimu ya baba yao.
 
Mkuu Mushi, Shimboni!

Mkuu Field Marshall ES, Kama unampango wa kuoga kutokana na majasho kila unapoingia JF basi endelea kujibishana na Mushi.

Kwa ukweli nimeshamzoea alikuja na kitu moja hapa watu wenye akili timamu wakamtuliza Thanks to MZEE MWANAKIJIJI NA REV KISHOKA alikuja na issue yake ya Balali kwamba hajafa na kuna message amezipata ZABA SEARCH hili ni moja katika mlolongo wa mambo yake tata na sasa kawa mpole kwahiyo ndio hivyo hivyo mchukulie maana sio kosa lake na wala Hajaomba kwa Mungu awe hivyo.

Kunta!Ulishawahi kuleta ukabila kama unakumbuka uliponiponda na kusema mimi na MKJJ ni watu tofauti licha ya kwamba mwana JF uliyekuwa ukibishana naye hakumaanisha kujuana kikabila kati yangu na MKJJ!Hata mjifiche vipi mtajulikana tu!Na haendi mtu mahali hapa...Kwani siwezi kukaa pembeni na kuona UPUUZI ukiendelea!
 
Take looters to court or forget aid, donors tell Dar By JOSEPH MWAMUNYANGE Special Correspondent Tanzania government is under pressure to turn the screw on firms and individuals that defrauded the central bank through receipt of dubious payments. Already the government has shown bank of Tanzania Governor Daudi Balali the door, but donors are now demanding legal action against those implicated, and threatening to freeze aid. One way for Tanzania to move ahead on this is to join hands with governments such as the United States, Italy, South Africa, United Arabs Emirate, Switzerland and United Kingdom to freeze the money deposited in Swiss banks. Chief Secretary in the President’s Office Philemon Luhanjo told The EastAfrican that the government has directed the Attorney General to lead a team comprising the Inspector General of Police and the Director of Criminal Investigation (DCI) and Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau in taking action against individuals and phantom companies that illegally benefited from the External Payment Arrears (EPA) account. Mr Balali’s former deputy, Dr Benno Ndulu, was appointed the governor while the board met to discuss how to deal with those implicated. President Jakaya Kikwete has already directed the AG and his team to use all powers vested in them to bring to book all those involved within six months. Mr Kikwete said that assets belonging to the accused would be frozen and confiscated and that they would be prosecuted. Some of the companies mentioned belong to individuals with strong connections with the ruling party and government, but insiders have told The EastAfrican that “Nobody will be spared if and when they are found to have illegally benefited from the EPA funds.” The government said that more than $133 million was improperly paid to 22 local firms through the Bank of Tanzania EPA account during the period 2005/06. According to special audit findings, 13 out of the 22 firms were paid $90 million by using forged documents. These include Bencon International Ltd, VB & Associates, Bina Resorts, Venus Hotel and Njake Hotel & Tours Ltd. Others are Maltan Mining Company, Money Planners & Consultants, Bora Hotels & Apartment, B.V. Holdings, Ndovu Soaps, Navy Cut Tobacco, Changanyikeni Residential Complex, and Kagoda Agriculture Ltd. A further nine firms received $42 million for which there was no documentation of why they were paid. These were G&T International, Excellent Services Ltd, Mibale Farm, Liquidity Service Ltd, Clayton Marketing, Rashtas Ltd, Malegesi Law Chambers, Kiloloma and Brothers and Karnel Ltd. The audit further revealed that two companies’ registration documents were missing from the Business Registration and Licensing Authority. These were Rashtas (T) Ltd and G&T International. Mid last year Minister for Finance Zakia Meghji told The EastAfrican that the government would undertake an audit at the central bank. Ms. Meghji had said that the findings by external auditors would be made public as a sign of transparency. In the notice issued by the Minister, she had said, “The government has been informed of an alleged impropriety in the management of external commercial debt account at the bank of Tanzania. “Given the seriousness of the allegation, the government has asked the Controller and Auditor General to appoint an independent auditor to conduct a special audit, and report results of the audit to the government,” she said. Originally, Deloitte and Touche, former auditors of the Bank of Tanzania, had alerted the bank’s top brass, only to have their contract terminated. The US embassy in Dar es Salaam welcomed the exit of the governor of the Bank of Tanzania as well as the fact that the government ordered a prompt investigation.
 
Hivi wewe ndo mwendesha mashtaka,judge na mlinzi wa gereza?Chenge kaonekana anahusika na ufisadi gani?jamani subiri uchunguzi wa SFO na sio kutoa hukumu hapa!
Chenge kamroga nani?kamuua nani?Jamani hata biblia inasema msihukumu!
Haya maneno mnayosema mtalipa gharama yake!

Kuna watu wala uhitaji kufika darasa la pili kuwaelewa na kutosoma hata waandikayo.

Huyu ni mmoja wapo, woote mnaojibu maandiko yake mnapoteza muda. Nimeona wengi wanamwelewesha lakini inaelekea hawezi kuelewa milele.

Kama ni kupinga au kuwa wakili wa shetani basi PINGA KWA KUTOA HOJA NA SIO VIHOJA.

Asanteni
 
Kikwete ni FISADI!Na kama sivyo...Then nina machache na kwa kuanzia naanza na EPA!Mama Meghji aliandika barua tarehe 15th september 2006 kuelekea BOT kuwapa maelezo kuwa pesa hizo zitakwenda kwene kampuni ya Kimafia ya Kagoda Agricultural!Wakaifukuza ile kampuni ya kwanza ya SA iliyokuwa ikitaka kuweka ukweli wa umafia wao!Wakaja wakombozi wengine Ernest & Young!Wakambana Mama na kumwambia mbona kuna signature yake wakati Kampuni ni feki?Akaanza visingizio mara eti sijui DF mara Ballali mara Mgonja...!Alipobanwa zaidi akaanza kusema labda ni Mgonja ameandika barua hiyo kwasababu ndivyo alivyokuwa anafanya mara zote!Halafu kwasababu watu walikuwa wanasema wapewe muda..Wakaja na sababu kuwa hata Mgonja naye hausiki kwasababu hakuwa nchini wakati wa kusaini barua hiyo kutoka huko ofisini kwa Mama!
 
Kifungu namba 2.15 kwenye ripoti ya EPA kinaeleza wazi kuwa...Mama kuna wakati alikubali kuwa ni utaratibu wa kawaida ulitumika na hivyo watu wasishangae hiyo barua ake ya kusema Kagoda wapewe pesa kwasababu ya Usalama wa Taifa.Alipoona anabanwa zaidi ndipo kifungu namba 2.16 kinapofanya kazi pale alipoona amsingizie Mgonja kama katibu na huku wote yeye na Mgonja wakijua wazi kuwa tarehe hiyo huyu jamaa ana ALIBI!Kwahiyo akatoa kauli nyingine rasmi baada ya kumsubiri Mgonja atoke safarini ili amwulize kama ni kweli!Mgonja aliporudi...Mama na yeye ndiyo akasema kuwa barua haitambuliwi na yeye wala Mgonja!
 
Painkiller,

Mimi ningeomba wala usiulize. Mtu akienda personal tu delete.

Ila kweli kuna vihoja humu duniani.
 
Mama na Kikwete wanajua...Mwezi mmoja tu mara baada ya kusaini barua ambayo inaonyesha ule ubingwa wa KUKANUSHA KUWA HAKUKANUSHA...Kifungu cha 2.18 kwenye ripoti hiyo ya EPA kinawabana tena Mama,Kikwete na CMM yao...Dolloitte ambayo ni kampuni ya audit ya SA walimwandikia barua a kumweleza kuhusu ufeki wa Kagoda na kwanini walipewa pesa!Mama akachukia...Kwa kusaidiwa na Kikwete wakawafukuza kazi..Lakini...Walimwandikia Mama barua tarehe 10th october 2006 na hii ikiwa ni baada a ile barua yake aliyoiandika na kuisaini 15th september 2006...Ikiwa ni mwezi tu baada ya kusaini UMAFIOSO!
 
Kampuni hizo za KIMAFIOSO ZA CCM na serikali yake hazikuwa na 1)incorporation documents2)Document chache sana na zile za muhimu hazikuhitajika!3)Makampuni haya ambayo ni ya CCM na usalama wa MAFIOSO MAFISADI Haakuwa na Original invoices,Bill Of lading,delivery notes pamoja na cancelled letters of credit...Kwa kifupi ni wazi kuwa yalikuwa FEKI hata kama huna knowledge ya kutosha kuhusu hayo mambo utajua...SASA SI UMAFIA HUO NI NINI?Kwanini hawajakamatwa na wakaundiwa uchunguzi na mikamati kibao huku sasa tukijadili UCHAWI wa CHENGE?Tunawaacha vipi MAFIOSO KAMA KINA SIR ANDY CHANDE?
 
Kwa kuanzia wafuatao WAKAMATWE MARA MOJA...1)DEP-Director for Economic policy 2006/05(2)DF-Director of Finance.(3)DDDD-Deputy Direct Debt Dept.(4)Head of Billateral and commercial Debt- HBC5)Acting Director Of Internal Audit ambae alikuwa incharge during that period and time.(6)Director of Bank Supervisions also aliyekuwa kwenye madaraka hayo wakati wa kashfa hiyo!7)Wamiliki wote wa Bank M ambayo ni ya KIMAFIA na ilianzishwa kwa sababu mahsusi ili kuweza kuzituliza hizo pesa kabla hawajazituma kwenye akaunti zao za nje(kina Ballali na wenzake) Muungwana ananishangaza sana kwasababu wakati UMAFIA huu unaendelea..Thamani ya shilingi ilishuka kwa asilimia zaidi a 25 na hivyo yeye kujua kwani sababu iliypelea kushuka huko kwa thmani ya shilingi ni utoaji wa zaidi ya dola za kimarekani 150 kwenda nje na huku ikiwa wazi kuwa soko la TZ lina dolla milioni 15 peke yake at any given time!
 
Mods naomba msaada wenu kwasababu napata shida hata editing siwezi na kila nikiposti maandishi siwezi kuyarekebisha na yanakuwa yanasongamana!
 
Huyu ndugu yako alikuwa anakaa Temeke Kota? Maelezo yako yamelandana sana na mjomba wa wadogo zangu, alipata masters kutoka USA miaka ya mwanzo ya 1960, lakini akafanyiwa "undava" na watawala wa enzi hizo, alikuwa anashinda sebuleni kwake anasoma tu novel na kubugia konyagi na kuvuta sigara kutwa nzima, kwa kweli alikuwa very frustrated. Alifia kwenye hiyo nyumba ya "kota" ya chumba kimoja, hakuwa na chochote, hata wanae hawakufaidi chochote katika elimu ya baba yao.


...DEFINATELLY YES THAT IS!...ONE OF MY BROTHERS IS MARRIED TO THAT CLAN....NA KUNA WAKATI NIKIPIGA KAZI NJE ..NAFIKIRI MWAKA 2000 YULE MZEE ALIKUFA AKIWA LOFA KABISA...MASKINI!!!....THAT WAS A PRODUCT OF US GRADUATES OF MID 60"S....

KITHUKU ANA PICHA NZIMA SASA!!!
 
Back
Top Bottom