Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

Kikwete kama si FISADI AWAKAMATE WAMILIKI WOTE WA BANK M...Kina Sanjay KumarK Bhasker Narayan,Noble Azania Investments ltd,Napster Group Incorp. Inayomilikiwa na ndugu za Ballali pamoja na wanasiasa wengine.Sunjay Mehta na Vimal Mehta ambao ni kaka na kisheria tayari hiyo Bank M ilitakiwa iangaliwe kwani ni MAFIOSO! Allied & Equity Gen.Zen Advertising,BV holdings ltd,V&B Assoc ltd,New Malallaln mining co ltd,Navy cutt tobbaco ltd,Bora Apts,Noble motors ltd,Noble Azania grp
 
....fisadi Kikwete Amemsafisha Fisadi Lowassa Kwenye Azimio La Halmashauri Kuu Ya Taifa Kuwa Hakuhusika Na Kashfa Ya Richmond ...aliwajibika Tu...hii Ni Kabla Hata Ya Tume Ya Pinda Aliyoiunda Kuwasilisha Ripoti....
 
Mafioso wengine wali kiwakilisha chama chao tawala kwa kuwatumia kina Nimrod Mkono na familia ya Lukaza kwa connections za kiongozi ambaye alikuwa mwenyekiti wa CCM WAZAZI!Kiongozi ambaye alitumiwa na Malegesi amabaye ni mwanasheria fisadi wa CCM ambaye ni kaka wa Huyo aliyekuwa Kiongozi wa Wazazi CCM.Malegesi kwanini hakamatwi wakati yeye ndiye aliyechonga hizo documentes feki?Document za kampuni feki za mafioso wenye makampuni yenye kumilikiwa na yeye MALEGESI mwenyewe,Lukaza,Vimal Mehta na Jeetu Patel wakiwa baadhi!
 
Ambassador Kazaura AKAMATWE MARA MOJA!Yeye alikuwa kama Chairman of Tanzania Investment Bank!Idii Simba aliyekuwa Mwenye kiti wa CCM WAZAZI naye vipi?HBCD Ambaye alikuwa ni Mr Mwakosya mbona hawakamatwi?Mrs Chaula aliyekuwa anamanage database ya AKWERA YA KIMAFIA AMBAYO NDIYO ILIYOKUWA NA NYETI ZOTE ZA EPA!Hii database ilikuwa inaongozwa kimafia kama vile ni mali ya mtu binafsi na ikapewa..."Debt Clerk Debt Department.SB...Ama Sectretary Of Bank amabaye aliusaini UOZA WOTE WA KIMAFIA MAKUSUDI na kuurudisha kwa MAFIA MWINGINE AMBAYE HAJAKAMATWA...DEP.
 
Mkandara na Muondoa maumivu (Pain Killer)

Nimepekenyua kurasa takriban 16 nikitafuta substance ya kikao cha NEC ya CCM nimekuta tujivumbi cha yule Mtusu, kimelevya JF kwa utitiri wa upupu!

Naona ulozi wa Mtusu umeingia hapa jamvini! vumbi limewapagaza watu wanaanza kuongea kwa lugha za Mataifa!


FMES,

Mtoto akililia wembe mpe, asiyefunzwa na Mamaye, ulimwengu utamfunza, Kijana keshafundwa hafundiki, labda Amba Kabwe atakusikia weye. Miye, Bin Maryam na Mwanakijiji tulishasalimu amri.
 
Kwa kifupi hii connection ya kimafia ambayo sasa ni kama FORMULA YA KUANZIA YA WAZALENDO....DEP-DF-KIKWETE-DDDD-HBCD...etc etcTunataka A. Mtengeti akamatwe,Juma Reli AKAMATWE...Kwanza bado anafanya nini huko BOT? Yeye kama AIC(Administrative Internal Control) aliusimamia UMAFIOSO HUU WA KIFISADI wapi Mohammed H Mbaye?Mafisadi na Mafia mtaipata this time uchawi,nguvu za giza,mauwaji,propaganda na intimidation havitasaidia!
 
....fisadi Kikwete Amemsafisha Fisadi Lowassa Kwenye Azimio La Halmashauri Kuu Ya Taifa Kuwa Hakuhusika Na Kashfa Ya Richmond ...aliwajibika Tu...hii Ni Kabla Hata Ya Tume Ya Pinda Aliyoiunda Kuwasilisha Ripoti....

•
Kikao cha NEC CCM Dodoma...Wajumbe: Lowassa hakuhusika moja kwa moja Richmond

Habari Zinazoshabihiana
• Lowassa, Karamagi chupu chupu ! 16.06.2008 [Soma]
• Kamati ya Bunge kujadili ripoti ya Richmond 18.01.2008 [Soma]
• Mhina achukua nafasi ya Maregesi Wazazi 14.08.2007 [Soma]

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa, ametetewa na wajumbe wengi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

Habari za ndani ya kikao hicho kilichojadili juzi pamoja na mambo mengine uhusika wa Bw. Lowassa katika sakata la mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Richmond, zilisema baada ya Bw. Lowassa kujieleza wajumbe waliuona ukweli na kubaini kuwa uhusika na Richmond si wa moja kwa moja.

"Sisi tunaamini kuna vikundi ndani ya CCM ndivyo vinavyoshinikiza hali hii itokee ili Bw. Lowassa aonekane mbaya mbele ya jamii, lakini tulifikia muafaka kuwa alijiuzulu si kwa kuhusika moja kwa moja na Richmond, bali aliwajibika ili kukiokoa chama kwa wadhifa wake," kilisema chanzo chetu cha habari.

Chanzo hicho kilisema kilichojitokeza ni kuwa Bw. Lowassa alionewa katika sakata hilo na kwamba la muhimu ilikuwa ni kuwasilisha ushahidi muhimu, kama upo, katika kujihusisha moja kwa moja na Richmond.

"Hata Mwenyekiti wa Kamati teule ya Bunge, Dkt. Harrison Mwakyembe alipokuwa anahitimisha hoja yake, alisema Kamati haikubaini kuwa Bw. Lowassa alihusika moja kwa moja mbali ya kuwajibika kama Waziri Mkuu," kilisema chanzo hicho ndani ya NEC.

Mmoja wa wanachama wakongwe na kada wa siku nyingi wa CCM ambaye pia ni mjumbe wa kikao hicho, alisema maelezo yaliyotolewa na Bw. Lowassa katika NEC juzi, yalitosha kumwondoa katika kashfa ya moja kwa moja ya Richmond.

Habari zaidi zilisema wajumbe hao wa NEC walikubaliana kutoendeleza hoja hiyo na kutaka Serikali iachiwe majukumu yake na badala yake CCM ijiimarishe na iendelee kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kwa maslahi ya wananchi.

Kauli ya wajumbe hawa ambao hawakutaka kutajwa majina yao gazetini kutokana na sababu za kisiasa, zilikuja kutokana na mgawanyiko ambao awali ulishajitokeza ndani ya NEC.

Mgawanyiko huo ulitokana na baadhi yao kutaka waliotuhumiwa kwa ufisadi wachukuliwe hatua za kichama ikiwa ni pamoja na kuvuliwa nyadhifa zao ndani ya chama; lakini kutokana na mjadala mkali, ikabainika kuwa papara zinaweza kukiathiri chama hicho na kusababisha mgawanyiko mkubwa

KWELI INASIKITISHA NDUGU YANGU PHILEMON.....TUTAFIKA KWELI?????
 
kwani Hii Bado Ndio Ile thread ya "Muhimu Kutoka Dodoma"?Mbona naona imegeuka kuwa Thread ya watu wawili au watatu?
Mkuu JMUSHI,na wabishani wako hebu punguzeni kulumbana muache watu wenye vitu vinavyolandana na aliyeanzisha thread waweke mabandiko yao.

Sasa mambo ya Ouko,Obama na akina Kenyatta yanahusiananje na hii thread?It's boring unapokuta kuna page 57 wakati ulipo log in mara ya mwisho uliacha 32 na kuja kuhangaika kutafuta yaliyoandikwa mwisho kukuta ni ubishani mtupu.

Mkuu wa heshima mbele waachie hii thread wabishanao!!!
 
kwani Hii Bado Ndio Ile thread ya "Muhimu Kutoka Dodoma"?Mbona naona imegeuka kuwa Thread ya watu wawili au watatu?
Mkuu JMUSHI,na wabishani wako hebu punguzeni kulumbana muache watu wenye vitu vinavyolandana na aliyeanzisha thread waweke mabandiko yao.

Sasa mambo ya Ouko,Obama na akina Kenyatta yanahusiananje na hii thread?It's boring unapokuta kuna page 57 wakati ulipo log in mara ya mwisho uliacha 32 na kuja kuhangaika kutafuta yaliyoandikwa mwisho kukuta ni ubishani mtupu.

Mkuu wa heshima mbele waachie hii thread wabishanao!!!

Acha mambo ya ushabiki hapa!Kama na wewe umejiunga JF ili uburuzwe ni kivyako tu!Na usinipangie posting na nini cha kuandika!Haya yote yanayoletwa ya CCM si tuliambiwa yatakuja bila maslahi?Sasa licha ya kwamba ni kweli TD waliziposti taarifa za CCM baada ya hapa...Bado zile za hapa hazikuweka wazi ile pointi ya kumtetea Lowassa ya Kikwete!Halafu issue ya Ufisadi haizungumziwi hapa eti sasa ni kivipi CCM wanatujali mambo ya uchawi nk!Bado sana...Inaelekea mlikuwa mmepata FARAJA SANA!Siendi mahali
 
Acha mambo ya ushabiki hapa!Kama na wewe umejiunga JF ili uburuzwe ni kivyako tu!Na usinipangie posting na nini cha kuandika!Haya yote yanayoletwa ya CCM si tuliambiwa yatakuja bila maslahi?Sasa licha ya kwamba ni kweli TD waliziposti taarifa za CCM baada ya hapa...Bado zile za hapa hazikuweka wazi ile pointi ya kumtetea Lowassa ya Kikwete!Halafu issue ya Ufisadi haizungumziwi hapa eti sasa ni kivipi CCM wanatujali!Bado sana...Inaelekea mlikuwa mmepata FARAJA SANA!Siendi mahali

basi kukuambia nimekumiss ndio iwe tabu!
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=4H6CeimlVMM&feature=related[/media]


BURUDIKNI WADAU NA CHAKACHAKA SANGOMA
 
Hakuna tabu wala kuchoka!This time niko ready kwa lolote!

nilishakwambia kwa mtaji huu utakufa siku si zako ama utafeli vibaya, chukua kitu moja go into details, compose your self and get focused. Hushauriki mtoto gani wewe?huwezi sana sana kuwa mkodoleaji kama sie hapa (optional) na sio kuchanganya mchele na chuya wakati wote. Ushauri wa bure no hate.
 
nilishakwambia kwa mtaji huu utakufa siku si zako ama utafeli vibaya, chukua kitu moja go into details, compose your self and get focused. Hushauriki mtoto gani wewe?huwezi sana sana kuwa mkodoleaji kama sie hapa (optional) na sio kuchanganya mchele na chuya wakati wote. Ushauri wa bure no hate.

Jishauri mwenyewe na usiniite mtoto!Uliulizia kama nimeisoma ripoti ya Bomani...Nikakwambia si ya Bomani...Ukarekebisha kuwa ni ya EPA...Na sasa ndiyo niliyoiongelea kwenye posting zangu...Kwamba Ballali kafa ama kupotea lakini kesi bado iko...Hapa haendi mtu mahali hata iweje!Usiniite mtoto maana hujawahi ninyonyesha!
 
Jishauri mwenyewe na usiniite mtoto!Uliulizia kama nimeisoma ripoti ya Bomani...Nikakwambia si ya Bomani...Ukarekebisha kuwa ni ya EPA...Na sasa ndiyo niliyoiongelea kwenye posting zangu...Kwamba Ballali kafa ama kupotea lakini kesi bado iko...Hapa haendi mtu mahali hata iweje!Usiniite mtoto maana hujawahi ninyonyesha!

kukunyonyesha nimekunyonyesha utajuaje na wewe ulikuwa mdogo?muulize mama yako mzazi atakueleza kila kitu, unaweza mtukana mama yako wa ubatizo, haya wee endelea. Nakuambia tena compose your self and get focused, your statements are so fuzzy.
 
Mkuu JMushi naona nawewe unacheza KIchenge Chenge sasa maana wenzako tumelala wewe unavuta page.

Huu ukurasa ulikuwa wa Dodoma lakini sasa nimeshindwa kama tunazungumzia either Kenya?, au EPA? au Balali na Kifo? nimeshindwa kabisa. Hapa tulikuwa tunazungumza jinsi Mweshimiwa alivyoendesha kikao usiku(Ki-Chenge Chenge) na mambo yaliyojiri Dodoma(NEC).

Nimeanzia mahala nilipo achia lakini nimekuta umebadili mwelekeo. Mkuu tunajua jinsi unavyojitahidi kukata Issue na huko nyuma tulisha sema wakati unarusha Mkuki hakikisha unamtambua adui yako usirushe tu Mkuu.

Hatuwezi kujadili mambo yote kwenye ukarasa mmoja mkuu.
 
Pls punguzeni mabishano,unajua mtu mgeni anapoingia hapa anategemea kuona watu wakimkoma nyani hasa ukitegemea JF ni jina kubwa sana.sasa anapokutana na vitu tofauti hachelewi kutuona sisi ni waropokaji tu.
With all due respect lets continue..........................
 
Jamani nilifungua hapa nikitegemea kukuta watu wanajadili yale yaliyojiri Dodoma na yanayoendelea kutokea na si ubishi usio na kichwa wala miguu kama huu.

Nina uhakika ya kwamba yale yote ambayo hayaendani na yaliyojiri Dodoma mkayaleta humu yana Thread zake ambazo hazijafungwa, kwa nini msiende huko mkaendelea kubishana maana hata huko tutakuja na kuwajibu. Nimekaa toka Asubuhi nikipitia hizo page toka 27 mpaka 58 na hakuna kitu ambacho naelewa kama ni husiana na Vika o vya Dodoma.

Mara Kenya, Obama, Kunyonyeshana....Jamani tuweni na Mwelekeo!
 
Mkuu wa heshima mbele waachie hii thread wabishanao!!!

Mku sikiliza heshima mbele, kuna wananchi wengi sana hapa JF wanaonufaika na habari nzito tunazoleta za taifa lao, sasa kuacha kukata ishu kwa sababu eti mtu mmoja hataki tunavyoandika ila ni lazima tuandike anavyotaka yeye hiyo sio spirit ya JF, huwa hatuogopani hapa wala hatutishani hapa, tena hata viongozi wetu wakuu huwa htuwaogopi ila tunaheshimu,

Hii thread itaendelea bila ya wasi, haiwezi kuzuiwa na mtu asiyeeelewa anachosema wala kuchangia ishu ambayo haipo hapa, kweli ni aibu jinsi hiii thread ilikotoka, lakini ndio demokrasia hii kila mtu lazima asikilizwe kwanza, lakini uzuri anapewa dawa safi na bakora zinazomfaaa!

Mjadala utaendelea bila wasi wasi, tena kama nilivyosema kuwa nimepata nafasi this weekend kukutana na mmoja wa watuhumiwa wa Richimnduli, ambaye ni samaki mdogo sana, ila he/she was smart enough kuandika ripoti yake mwenyewe pembeni yenye ukweli knowing kuwa siku moja angekuja pata matatizo, soon nitaijdaili hiyo kwa kirefu, lakini huu mjadala wa Dodoma yaliyojiri bado sana maana kuna mengi sana bado yanakuja!

Ahsante Mkuu Kwa Ushauri Wako!
 
Back
Top Bottom