ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 59
- 52
SERIKALI KUJENGA UWANJA WA KIMATAIFA MWANZA
▪︎ Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa
▪︎ Asema Mwanza itaendelea kuwa kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa.
Amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akitoa kauli ya Serikali kuhusu hoja ya maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza iliyowasilishwa na Mbunge wa Magu, Mhe. Boniventura Kiswaga, katika mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwenye Kikao cha 28 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13, leo Mei 13, 2026.