Asante kwa wosia!Sasa hivi CCM ina kazi ya kushughulikia mafisadi ndani ya chama!
Kumbe una acknowledge kuna mafisadi ndani ya chama? First right step. Now go a step further and acknowledge that those fisadis have hijacked the party.
Asante kwa wosia!Sasa hivi CCM ina kazi ya kushughulikia mafisadi ndani ya chama!
Hiyo iliyoko kwenye sticky ni ni ile ya EPA?haya nenda kwenye jukwaa la siasa utaikuta named-stictly confidential- iko sticky
Hiyo iliyoko kwenye sticky ni ni ile ya EPA?
NAOMBA KUTOA MAREKEBISHO HAPO...MZEE OBAMA ..ambaye alikwenda marekani kwa scholarship ya serikali ya marekani na akabahatika kupendana na binti mrembo wa kimarekani aliyekuja kuwa mama yake BARRACK..aliiingia kwenye wimbi la ULEVI...na baada ya kutalikiana na mama yake barrack aliamua kurudi kenya akiwa moja ya engeneers wa kwanza kenya wazalendo..aliporudi kenya hakuweza kutumika ipasavyo kwani aliendelea kuwa mlevi sana...hadi bahati mbaya akaja kugongwa na gari...inasadikiwa aligongwa akiwa amelewa....." soma kitabu cha BARRACK OBAMA kinaitwa MEMORIES OF MY FATHER.
Mkuu FEMS Hishma mbele kama unavyopendelea kusema!
Kwasasa KIKWETE NA YEYE NI FISADI Hivyo tunaomba uache kuzungusha maneno
ONA NA MANENO YA CHILIGATI, ANASEMA JAMBO HILO HALIKUFANYIKA KWA SIRI KWANI KUNAWABUNGE WAWILI WALIONA
...Hawa waliona kila kitu
2008-06-16 18:12:54
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Wakati sakata la ushirikiana lililotinga bungeni likiendelea kuvuma, kuna habari kuwa wabunge wawili wanadaiwa kushuhudia `live` tukio hilo ambalo limekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari.
Kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kapteni John Chiligati, ni kwamba walioshuhudia tukio hilo ni Mbunge wa Longido (CCM), Mhe. Lekule Laizer na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Anna Abdallah.
Kapten Chiligati amenukuliwa na vyombo vya habari leo asubuhi kuwa waheshimiwa Anna Abdallah na Lekule Leizer, walikuwepo na hawakuona kitu kinachohusishwa na imani ya ushirikina kikifanyika ndani ya Bunge.
Amekaririwa akitoa ufafanuzi huo wakati akizungumza na waandishi kuhusiana na yale yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na kuulizwa swali linalohusiana na sakata hilo.
Akasema wabunge hao, walisema mbunge mmoja alikuwa ameongozana na ofisa wa Bunge kwa ajili ya kuonyeshwa kiti cha kukaa.
Akaeleza zaidi Kapteni Chiligati kuwa mbunge huyo aliyeonekana akizunguka kwenye viti amefanya hivyo kwa sababu awali alikuwa akikaa kiti cha mbele.
Hata hivyo, Kapteni Chiligati amekaririwa akisema kuwa tukio hilo hivi sasa linachunguzwa zaidi na vyombo vya dola.
``Tukio la mtu kunyunyuzia vitu ndani ya Bunge linachuzungumzwa...bado linachunguzwa, Spika (Samuel Sitta) alitoa taarifa. Hivyo tunasubiri matokeo ya uchunguzi ,`` akasema Chiligati.
* SOURCE: Alasiri
Masikini Tanzania! Inaudhiiiiiiiiiiiiiiiiimbunge huyo aliyeonekana akizunguka kwenye viti amefanya hivyo kwa sababu awali alikuwa akikaa kiti cha mbele"
inasikitisha kuliko.
Mkuu Mushi,
Heshima yako bro, unaposema niache kuzungusha maneno, exactly una maana gani unaweza kunisaidia kuelewa hapa, ili niweze kukujibu ipasavyo?
Ahsante Mkuu!
Mlikuwa mikjadili hapa na yeye Kikwete kutetewa na kina Zitto na MKJJ na MWK na sasa wewe!
Hayo mambo ya CCM myajadili wenyewe humo ndani ya chama chenu.
Na kama hamtaki kuwashughulikia mafisadi wote hii ikiwa ni pamoja na Kikwete,Mkapa,Chenge,Mramba,Ballali,Karamagi,Rosta m Aziz,Makamba na CCM yote top ambayo sasa wanataka ATTENTION kabla hata hawajawakamata mafisadi...Zaidi ya kuwapa muda na kuendelea na conspirations za kimafioso na kichawi.
Mkuu huu ujumbe wako hapa unaelekea kumpa favor Muungwana wakti sisi tushamuweka kwenye kundi la MFISADI!
Originally Posted by Field Marshall ES![]()
Wakuu heshima mbele, ndio kwanza tumepata the dataz lakini bado tuko kwenye kujaribu kuzi-verify, then tutazimwaga ila kwa haraka tu ni kwamba jana moto mzito uliwaka ndani ya kikao,
na kwa mara ya kwanza toka awe rais wa jamhuri, muungwana made it very clear kwa mafisadi mbele ya wajumbe wote wa kikao hicho kuwa hatawakinga tena na kwamba hakuna sheria yoyote inayowalinda wasifikishwe kwenye mkondo wa sheria kama ambavyo amekuwa akisikia sana kwenye media, narudia alisema kuwa hakuna aliye juu ya sheria, kwamba mafisadi wote watakaobainika kuwa wamevunja sheria kwa kuwa mafisadi, wajitayarishe kusimama mbele ya sheria za jamhuri, kwamba hatamtetea yoyote yule hata awe nani?
Na muungwana amekubali kama mwenyekiti, mafisadi wote kuchukuliwa hatua za kichama kama ilivyotakiwa na wabunge, lakini amehimiza wajumbe kusubiri matokeo ya kamati ya Waziri Mkuu, ile ya miezi mitatu na kwamba watakaohukumiwa na CCM, lazima wapatikane na makosa kweli.
Ahsante Wakuu, Baaadaye itakapowezekana tena, na samahani kwamba hatuwezi kutoa zote unajua ni mpaka tuzithibitishe kwanza kwa wajumbe zaidi ya wanne ndio tuzibandike ili kuheshimu ukweli wake, kama hatuamini kuwa zina ukweli basi ni kuzitupa tu kwenye garbage cane, na pia samahani sana kwa kuchukua muda mrefu kama nilivyosema jana tuko safarini!
Unajua mkuu naona unataka kuwa kama huyo jamaa aliyetuvamia hii forum hivi karibuni, nilipokusikia kwenye Radio ulionekana kuwa na akili sana, lakini ukija kwenye kuandika inakuwaje mkuu?
Aliyoyafanya Rais kwenye mkutano wa chama chake yaani CCM, ameyafanya na aliyosema amesema, sasa tukizipata ni lazima zisemwe wazi kama zilivyopatikana, and then yanakuja maoni yetu wananchi hapa, hapo sasa ndipo wewe au mtu yoyote hapa anaweza kumshambulia mwingine kutokana na mchango alioutoa katika kujadili kilicholetwa hapa, kutoka kwenye mkutano,
Mbona unakuwa kama mtoto wa shule ya vidudu bro, wakati ulipoongea kwenye Radio ulionekana kama mtu mzima? Toka awe rais muuungwana kuna mazuri na mabaya aliyoyafanya, sasa kama unataka kuwa fair naye ni lazima basi ukuseme na mazuri aliyoyafanya, ingawa siko hapa kumtetea!
Usitafute umaarufu kwa nguvu kwa vile tulikupa angalua sifa kidogo kuwa ulikuwa na hoja nyingi muhimu kwa taifa kwenye ishu ya kifo cha Balali, lakini hapa uko off kabisa ya topic, kwa sababu kama yote unayorusha ni kweli then ilikuwaje Lowassa akatolewa u-PM? Halafu ilikuwaje Mama Meghji ambaye ni hawara wa Rostam, akatolewa uwaziri? Mramba mbona yuko nje?
Mkuu jaribu kufikiri kidogo nje ya box lako, kwa sababu ukifanya hivyo then utaweka taifa mbele na kusahau maneno ya vyama, na ndipo utagundua kuwa toka Mheshimiwa Zitto, aanzishe moto wakati wa ile ishu ya Mkataba wa Buzwagi, mpaka leo mafisadi hawajawa na raha kama waliyokuwa nayo kabla, na since then moto haujazimika bado unaendelea kuwaka, ukisoma vitu vipya jaribu kutafakari kwanza mkuu kabla ya kukurupuka, kuna mabao tunajua kuwa yanayofanyika sasa sio speed ambayo tungependa yafanyike, lakini sio madogo pia, bongo sio ulaya mkuu jaribu kutenganisha hilo,
Tunapohangaika kutafuta dataz tunajaribu kuangalia what is there kwenye huo mkutano kwa ajili ya taifa letu, na sio maneno ya vyama kila wakati kwenye ishus zilizotokea kwenye mkutano huu maneno ya uchama yanaisha, period kama una akili timamu, na naomba nikueleze kuwa sisi tunaripoti exactly kilichotokea bila kujali nani atafurahi au nani atachukia, ila wewe kama unataka kunishambulia mimi basi nishambulie kwa maoni yangu binafsi on the ishu, lakini sio kwa ripoti niliyoileta hapa kama ilivyo toka kwenye mkutano,
Jaribu kuwa mtu mzima kidogo mkuu, kabla hujarisha tu maneno na ijaribu kufikiri kwanza!
Ahsante Bro!
Mtu mzima hatishiwi paka!Ole wenu mliochangi hii topic, yatakayowakuta heri mimi sijasema

Mkuu Mushi umejifunza siasa lini? Unaposema "sisi" ni wewe na nani hasa? I mean kama wewe na wenzako mlishamuweka kwenye kundi la mfisadi mbona hamkututangazia hapa rasmi kuwa haitakiwi tena kumjadili kwa mazuri, ni lazima kumjadili kwa ubaya tu?
Mbona unakuwa na akili za box, yaani yale yale wewe unafikiria kwenye box lako na kuamua kuwa ni lazima dunia nzima inafikiria kama wewe! Mkuu naomba nikuambie kuwa kuna wananchi kama mimi ambao hatujakata tamaa, kwa sababu tumetoka mbali sana na serikali yetu na tunajua kuwa pamoja na michezo mingi ya kisiasa inayochezwa sasa, kuna tunaoamini kuwa mchezo unakaribia mwisho, the time is up lakini bina-adam sikuz ote ni mgumu kukubali mabadiliko, siku zote hupenda mabadiliko ya nguvu kuliko ya hiari,
Binafsi I am siya-overestimate haya maneno ya rais, lakini at the same token siya-underestimate pia, kwa sababu mimi niijuavyo siasa kama za kwetu, kinachotakiwa ni msimamo wa rais ili ku-badili anything, sasa kutokana na dataz za kutoka huko ndani ya mkutano, inaonekana kuwa rais alibanwa sana tena kwa mara ya kwanza, sidhani kama alishawahi kubanwa namna hii, na wabunge wamekuwa very serious wakaweka uozo wote mezani, alipozidiwa nguvu akanawa mikono, sasa hiyo ni one step tu lakini mambo yote ninaamini kuwa bado yanakuja, lakini pole pole,
Kwangu mimi ni kwamba sasa tunaanza kushika kidole, kesho tutashika miguu, na hata siku moja mimi siwezi kusema anything hapa cha kuwakatisha tamaa au nguvu kina Mwakyembe, Ole Sendeka, Anna Komu, Zitto, Mama Kilango, Ndesamburo, Seleli na wengineo, mimi sijali wametoka vyama gani lakini ninaaamini kuwa wabunge wako kwenye the right track, na I am proud of them kujua kwamba finally bungeni kuna wabunge wanaoweza kufikiri kama mimi, hilo halikuwepo huko nyuma Mushi!
Wakati unarusha haya maneno yasiyokuwa na anything ndani yake katika kujenga au kupongeza, ninaomba usome haya maneno hapa chini kwa makini:-
Baaada ya ripoti ya Mwakyembe, kuisha na kina spika kupewa nakala, Mwakyembe na wabunge wenziwe wachache walificha zingine na kubaki na copy zao, kule kwa Spika, zilichukuliwa kwa siri na mafisadi, wakatengeneza ripoti mpya tofauti na ile ya original ya kutoka kwa Mwakyembe, na kuisambaza kwa wabunge wakidhani kuwa wamefanikiwa, lakini wakahisi kuwa Mwakyembe lazima atakuwa na angalau original copy, kwa hiyo wakwa wanamuwinda kwa siri, mkuu wangu ilibidi mkuu atembee nayo mwilini na kulala nayo kitandani, na asitoke ndani ya nyumba yake mpaka kukiwa kumekucha na kwenda moja kwa moja bungeni bila kupitia mahali poipote ndipo alipoweza kuisoma ile iliyomtoa Lowassa kazi, ndio maana kama umeona video utaona lowassa na wenziwe wote wanaonekana wamechoka sana na wenye mshangao mkubwa Mwakyembe anaposoma ile ripoti, kwa sababu walifikiri hatakuwa nayo ile original,
Mushi kuna viongozi walioamua kupindisha sheria kwa makusudi na huku rais akijua, ili kuwaondoa Lowassa, Msabaha, na Karamagi na bado wako kazini mkuu, ile ripoti kisheria ninaambiwa haikutakiwa kusomwa pale yote kama ilivyo, lakini haya yote yalipindishwa kwa makusudi, sasa huwezi kuzi-underestimate hizi juhudi zote za baadhi ya viongozi wetu ambao huwezi sema wanafanya haya yote kwa sababu ya matumbo yao!
Kama wewe umeamua kuwa siasa kwako imeisha kwa sababu ulizozisema huko nyuma, sasa sielewi then unakuja hapa kufanya nini mkuu? Kwa hiyo kwa sababu wewe na wenzako mmeamua kuwa siasa zimeisha basi mmetuamulia wote sisi wananchi? Mkuu jaribu kuanza kufikiri nje ya hilo box lako!
Ahsante Mkuu!
Nakupata..Lakini this is just another roller coaster ride...
Huko kwenye huo mkutano kwa ajili ya Taifa letu kumeshaonyesha wasiwasi mkubwa sana tu! Mnataka hizi issue za Taifa ziamuliwe uko kwenye vikao vya CCM? Nyie ndio mna mpango wa kuirudishia CCM umaarufu?
Nasema hivi Mkuu....I will never back off the core of all these issues....KIKWETE NI FISADI!
Na kwahiyo wewe kussugest kuwa atajikamata yeye mwenyewe ama atakiangusha chama chake kilichoiba hizo pesa za EPA na kuzitumia kwenye ushindi wake wa TSUNAMI...Then una lako jambo na i swear to GOD ALUTA CONTINUA!