Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

Hii topic ya nini hapa ktk tarehe hizi au ni kwa vile kilango amelazwa hospital wakuu?
Kweli tumetoka mbali sana
 
Hii topic ya nini hapa ktk tarehe hizi au ni kwa vile kilango amelazwa hospital wakuu?
Kweli tumetoka mbali sana

Anasumbuliwa na maradhi gani da Anne, au ni pressure baada ya da Shamsa kumpangua ile hoja?
 
Alikuwa na katatizo ktk mgongo, amefanyiwa operesheni ndogo mgongoni; i happened to like the timing of operaton and mwangunga's kibano!!!!! Terrific

umaarufu una gharama wakuu
 
Mzee mwenzangu.. siyo usangoma....na kilichohusishwa siyo ulozi wa kiafrika mzee.. hakuna uchawi wa kiafrika hapo isipokuwa wa kizungu. Tangu nimeandika na kusema futeni ushirikina... na jaribu kuweka ushirikina wa kisayansi.... mtaelewa jambo hili na uzito wake. Kuna mtu atavuliwa uanachama muda si mrefu.....!
Hakuna aliyevuliwa uanachama. CCM ni ileile, tutarajie makubwa zaidi ya hayo ya kina chenge mwska huu na mwakani.
 
Back
Top Bottom