Kumbe mimi na wewe hatupo?

Tofahtisha kati ya visibility na traveling. Mimi nilisema to see light you need a medium. Not that light doesn't exist in a medium

Unacho ongelea wewe ni traveling, light is matter too, because it's a wave form(particle).

About other dimensions, that's physics, I only talked about the 3D self we think we are.

It is no where to be found.
 
we gusa kama litashikika na ukahisi limeshikwa basi fahamu hiyo ni sehemu ya wewe na umetambua wewe umejishika tako lako.....
Sehem ya mimi, kwa hiyo mimi ni nani hasa?
Tako langu? Je mimi ni kifungo? Au wazo kuwa kiungo ni mimi?
 
Kwahiyo leo mtu akipoteza uwezo wa kuona akawa kipofu maana yake kila kitu alichokuwa anakiona maana yake kimepotea, havipo! ! ! !

3D ni kwamba we think we are or ni explanation of the reality that we're in!
Nikisema mtoto kazaliwa, mmea umechipua, moto umezimika etc

ni mimi I'm just thinking au ni process halisi nailezea?

You seem to be struggling accepting reality.

Aisee bro. Kwaheri.

Ndomana nilisema not debating.
 

No bro, you're just getting me wrong. Let's get back to the point, tuliongelea visibility wewe umeikimbia, saiz umekuja na kipofu, sasa hapo kwenye kipofu, si atabaki na kumbukumbu? Mwanga utaendeleaa kuwepo ila sensation kwake ndo itapotea!


Hapo, ukisema hivyo kutokana na hii nadharia ya no self... Itakuwa unaleta kazi ya memory, mtoto(kiumbe) kazaliwa na wewe(kiumbe) yes, ni process, iliyo tokea. Uhalisia wa kitu kutokea ni real.. Ila uhalisia wa individual self, ambayo ni independent ya kiumbe(mkusanyiko wa mwili, akili na nafsi) ambavyo vyoote ni perishable entities haipo.

OK can you explain what reality is if am struggling. No debate too, just trying to learn
 
I'm even doubting about my own existence. Am I really existing? Where didi I come from. I know my life started at the time of fertilisation. Where did the life come from? Nobody knows the answer.
 
I'm even doubting about my own existence. Am I really existing? Where didi I come from. I know my life started at the time of fertilisation. Where did the life come from? Nobody knows the answer.
Let's get back to defining life..

Life might not be an entity, just a process like walking. I feel like maybe just the very act of existence itself is a culmination of processes and when the variables causing the process are done existence shifts its form or perishes
 

unamtazamo flan mzuri ila umedanganya.

mtu akikata roho ikimaanisha ubongo umekufa. Hua anachomoka yaan anachomoka mtu na ufaham wake ila hawez kushikika anakua ni kama umeme hadi apate mwili ndipo aonekane.

ila ikitokea mtu amefikia dismeshen flan za juu huko ndipo umimi hupotena na kuwa nishati isiyo na nafsi ambapo inakua nguvu tu ambayo nisawa na nguvu kuu iliyo fanya kila kitu kiwepo.

watu wa dini wanamwita muumba au Mungu mkuu. { ni Mungu mkuu kwasababu kila kiumbe kina uungu. na ili uwe na sifa ya nguvu kuu au Mungu mkuu ni hadi ufikie level ya kutokua na nafsi yaan kukosa umimi . }>

nafsi ni sawa na window ya compyta tu .. kwamba bila windo hata pawe na umeme haiwez kuwaka.

ila roho ni sawa na umeme kisha mwili ni kwaajili ya mtu ashikike inamaana akifa atakuwepo ila kumwona kikawaida itakua ni ngumu ni hadi auvaemwili.
 
Mimi ndiye ninaye shika tako na kutambua kama hili ni tako. Mimi ni ufahamu na akili
Ok,
Imagine hilo tako ni kiungo?
Ubongo umetumia (UFAHAMU) kitu ambacho ni decision, decision ni wewe? Au ni wazo? Je wazo ni wewe? Maana hapo Kuna causation kwamba umesikia mtu kasema ulishikie so ume respond.

Je kilicho respond hapo ni wewe? Au ubongo? Reaction to memory? Ukisema wewe ndo umejishika tako, Hapana maana kilicho sababjsha ulishikie sio wewe ni ubongo ulio kuwa triggered because of memory.
 
Hata sikuelewi.

Kwahiyo mtu akiwa kipofu mwanga unageuka kuwa memory? ? ?
 
Ufahamu ndio umetambua kama nimejishika tako la kushoto au la kulia. Kwanini muda mwingine ubongo unajenga hisia kama kuna MIMI.
 
Sidhani kama nimedanganya na mimi na wewe wote tunaweza kuwa Sawa kimtazamo..

Unacho kieleza hapo ni consciousness na sio self(ego) uko sahihi kabisa kimtazamo.

Labda hatukuelewana tu, unavyo Sema "mimi" means ego, yaani lazima kuwe na vessel (body and mind) inavyo chomoka inarudi kwenye source, so hapo wewe ni nishati kama ulivyo sema na sio wewe.

Nahisi umenielewa na hio analogy ya kompyuta iko so on point💯

Je kwa muktadha huo sisi tupo? Basically tutasema tupo kwa sababu ego (self) ita attach u mimi kwenye nishati pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…