Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Kawaida yenu BAK kila siku unakana misimamo ya chama kwa kujisafisha sijawahi fanya hiki sijawahi fanya kile
Sijawahi hata siku moja kutamka popote au kuandika hata humu kama Babu Seya kaonewa.
 
Lissu anapendwa jamani acheni nyie.
 
Rukeni Sarakasi za kila aina, pigeni kelele za kila aina, lakini October 28 kipigo cha mbwa koko kipo pale pale.
JPM ushindi 95%.
 
Lissu aendelee na Kampeni akiwa na Sheikh huyu Jasiri anaemuogopa Mungu Leo amenisisimua mno wakati wa kile kiapo

Polepole ni mtumishi wa Shetani
 
Mwili umenisisimka kwa furaha kubwa na isiyoweza kuelezeka,ccm wameshindwa kumnunua Shekh Ponda. Hakika huyu ni Shekh anayesimamia miiko na maadili ya Uislam na kuyaishi!

Kura zote kwa Lissu!
Noma sana🤣🤣
 
ahahaaaa mlifikiri mtaachwa hivi hivi kama mlivyozoeaeeee? Siyo safari hii mazee, safari hii ni jino kwa jino hakuna kupeana tena shavu la kulia baada ya kututandika la kushoto, mapema sana mlitahadharishwa kabisa kuwa safari hii mnyama atachinjwa kutokana na uelekeo aliojielekeza hata kama uelekeo siyo kiblah atachinjwa tu hivo hivo.
ujinga wenu wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha bakini nao huko huko lumumba...safari hii tutawanyoosha ndani na hata ikibidi nje ya nchi. mkibandua tunabandika mkibandika tunabandua mpaka kieleweke.
nchi hii si ya kwenu peke yenu eti muachiwe tu ninyi mfanye kila mnachotaka noo way.
 
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
Kura huwa zinaibwaje??????
 
Sheikh Ponda kweli amesema kama Lissu hakuchaguliwa, basi Mungu hatapokea Dua za watanzania? Kama ni kweli basi Sheikh amekufuru sana, Shekh Ponda hana uwezo wa kumsemea Mungu, na hajui uamuzi wa Mungu utakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…