Arusha: Baba anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka 3 atiwa mbaroni na Polisi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari.

Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi.
Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force.

Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus.

---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.
9fdedc66-bb28-4d9d-b5ee-1b6cc2ab1abe.jpeg
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema kuwa mtuhumiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Januari 23,2024 muda wa saa 12:00 jioni mtaa wa Murieti Tarafa ya Elerai katika Manispaa ya Jiji la Arusha.

Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Aidha, ameeleza kuwa baada ya taarifa hizo kufika Jeshi la Polisi mara moja Jeshi hilo lilianza uchunguzi na kumtafuta mthumiwa huyo kwa kushirikiana na wananchi ambapo walifanikiwa kumkamata muda mchache baadae.

ACP Masejo amesema baada ya uchunguzi Jalada litapelekwa ofisi ya taifa ya mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria.
 
Jazia nyama habari
Certainly habari ina nyama;
Babu wa Amani na Bibi wanaishi katila hiyo nyumba na huyo mtoto wa,dereva wa boda boda aliyemuua Amani.
Kwa hiyo huyu anamuuliza Amideus,"Mtoto yuko wapi?"
Amideus anasema,"Mimi pia namtafuta,simuoni"
Anamwambia,"Mtafute mtoto,nenda huko na huko,mtafute"
Yule babu amebaki nyumbani. Anasikia harufu toka jikoni,chakula kinaungua.
Anawaza,"Bora niongeze maji hapa kwenye chakula."
Anafunua mfuniko wa ndoo,anakuta kichwa cha mtoto. Anafunua ndoo ya pili,anakuta kiwiliwili cha mtoto. Ndio hapo polisi wanatafutwa. In fact,anatoka tu nje,na accidentally anakutana na polisi. Polisi ana take over. Polisi anapiga simu kuita gari.
 
Hii habari inahuzunisha Ila haieleweki kabisa, tafuta mtu aiandike upya
Certainly habari ina nyama;
Babu wa Amani na Bibi wanaishi katila hiyo nyumba na huyo mtoto wa,dereva wa boda boda aliyemuua Amani.
Kwa hiyo huyu anamuuliza Amideus,"Mtoto yuko wapi?"
Amideus anasema,"Mimi pia namtafuta,simuoni"
Anamwambia,"Mtafute mtoto,nenda huko na huko,mtafute"
Yule babu amebaki nyumbani. Anasikia harufu toka jikoni,chakula kinaungua.
Anawaza,"Bora niongeze maji hapa kwenye chakula."
Anafunua mfuniko wa ndoo,anakuta kichwa cha mtoto. Anafunua ndoo ya pili,anakuta kiwiliwili cha mtoto. Ndio hapo polisi wanatafutwa. In fact,anatoka tu nje,na accidentally anakutana na polisi. Polisi ana take over. Polisi anapiga simu kuita gari.
 
Ndiyo nilikuwa nasema yule jamaa muuaji jina lake linafanana Sana na Asmodeus,ambalo ni jina la shetani mmojawapo.
Nakumbuka nilikuwa nimelazwa hospitali siku moja. Nilikuwa natazama internet,natazama habari za Asmodeus.
Nikawaza,"Hii balaa tupu. Ngoja nitazame kitu kingine"
Asmodeus akaniambia,"Hapana,we,sali kwangu,niombe Mimi,utapona!"
Najua sasa unavyotaka kuniuliza,"So you expect us to believe this yarn?"
 
Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari.

Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi.
Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force.

Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus.
Khaaa mbona hueleweki? Embu andika taratibu hakuna ruzuku ya kuwa wa kwanza kupost tuliza akili andika vzuf
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.
9fdedc66-bb28-4d9d-b5ee-1b6cc2ab1abe.jpeg
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema kuwa mtuhumiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Januari 23,2024 muda wa saa 12:00 jioni mtaa wa Murieti Tarafa ya Elerai katika Manispaa ya Jiji la Arusha.

Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Aidha, ameeleza kuwa baada ya taarifa hizo kufika Jeshi la Polisi mara moja Jeshi hilo lilianza uchunguzi na kumtafuta mthumiwa huyo kwa kushirikiana na wananchi ambapo walifanikiwa kumkamata muda mchache baadae.

ACP Masejo amesema baada ya uchunguzi Jalada litapelekwa ofisi ya taifa ya mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria.
 
Tunasubiria watuambie sababu ya huyo baba kumuua huyo mtoto

Ova
 
Certainly habari ina nyama;
Babu wa Amani na Bibi wanaishi katila hiyo nyumba na huyo mtoto wa,dereva wa boda boda aliyemuua Amani.
Kwa hiyo huyu anamuuliza Amideus,"Mtoto yuko wapi?"
Amideus anasema,"Mimi pia namtafuta,simuoni"
Anamwambia,"Mtafute mtoto,nenda huko na huko,mtafute"
Yule babu amebaki nyumbani. Anasikia harufu toka jikoni,chakula kinaungua.
Anawaza,"Bora niongeze maji hapa kwenye chakula."
Anafunua mfuniko wa ndoo,anakuta kichwa cha mtoto. Anafunua ndoo ya pili,anakuta kiwiliwili cha mtoto. Ndio hapo polisi wanatafutwa. In fact,anatoka tu nje,na accidentally anakutana na polisi. Polisi ana take over. Polisi anapiga simu kuita gari.
Duuh
 
Tunasubiria watuambie sababu ya huyo baba kumuua huyo mtoto

Ova
Sababu kubwa ni kwamba baba wa mtoto ana matatizo ya akili, alishawahi kuugua ukichaa,
Wazazi wake( kijana) walijaribu kumtibu wakadhani amepona kumbe la.

Mama wa mtoto waliachana na baba wa mtoto mwaka jana, mama akabaki na mtoto, baad ya miez kadhaa mama akampeleka mtoto kwa bibi yake (mama wa kijana) akamwacha hapo akidai baba hatoi matunzo, hvyo mtoto akaanza kulelewa na babu na bibi, wakiishi nyumba moja na baba wa mtoto (muuaji)

Siku ya tukio waliamka wote wakapata kifungua kinywa km kawaida,
Bibi alikuwa na safari ya kwenda moshi kuzika, babu naye kwa kuwa ni balozi akaenda kwenye vikao vyake vya usuluhishi, hvyo mtoto alibaki nyumbani na baba yake.

Mtoto mchana kutwa ameshinda anacheza na wenzie kibarazan,kufika jioni kikaingia ndani sijui ndo kulala maskini, ndipo baba akapata mwanya wa kutekeleza unyama huo. alimchinjia mtoto kitandani na baada ya hapo akafanya usafi kila mahali, isipokuwa damu iliyovujia kwenye godoro mpk chini.
Babu amerudi jioni anamtafta mjukuu hamuoni, kuuliza kwa majirani anaambiwa mbona alikuwa hapa dk chache zilizopita.
akamtuma kijana nenda kamtafte mtoto, kijana anaenda kijiweni then anarudi anasema sijamuona, bas nenda polisi katoe taarifa....anatoka tena ,kidogo anarudi,
babu alikuwa amebandika makande ndo kwenda kuchota maji kwenye ndoo ili aongeze kwenye (makande) anakutana na kichwa cha mtoto, ndoo ya pili kiwiliwili na mikono ikiwa imetenganishwa kwenye makwapa.

Ishort alimkata kata mtoto km tunavyokata kuku.
Bado hakajazikwa, uchunguzi haujakamilika, leo ndiyo ndugu waliitwa tena polisi
 
Back
Top Bottom