Songwe: Aua Mke na Mtoto kwa madai amegundua mtoto sio wake

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,044
49,727
Mambo ya wivu wa kimapenzi.

Wanawake ogopa sana kutolewa na wanaume wanaojifanya wanawapenda sana au Wana wivu sama mtakuwa mnakatwa vichwa.

Olewa na watu sampuli ya Mimi hata nikikuta Watoto sio wangu na move on maisha yaendelee na Leo hao hao na Wala sijihangaishi kuwakagua.

R.I.P mama na mtoto uliolewa na jitu punguani.

=====

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanamume mkazi wa Kijiji cha Kaloleni, wilayani Songwe (jina linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) kwa tuhuma za mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel.

Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa ni wivu wa mapenzi baada ya mtuhumiwa huyo kumtuhumu mkewe huyo kuzaa mtoto nje ya ndoa.

Mtuhumiwa huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mwambani, wilayani Songwe baada ya kujeruhiwa na wananchi, anadaiwa kumvizia mkewe akiwa amelala usiku na mtoto wake huyo wa miezi sita na kuwanyonga kabla ya kuuburuta mwili wa mkewe huyo na kwenda kuuficha katika kibanda nje ya nyumba yao.

Akithibitisha kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, alisema jana kuwa kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa Septemba 24 mwaka huu.

Alisema mtuhumiwa alikamatwa baada ya kuokolewa na viongozi wa kijiji chini ya Mwenyekiti Laiton Waya kutoka katika kundi la wananchi wenye hasira kali waliomkamata baada ya kufanya tukio hilo la mauaji ya kinyama na kuanza kumshushia kipigo.

“Mtuhumiwa huyo kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mwambani akiwa chini ya ulinzi, na uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonesha mtuhumiwa kabla ya kutekeleza mauaji hayo walikuwa na mgogoro na mkewe kwa kumtuhumu kuzaa nje ya ndoa,” alisema Kaimu Kamanda Ngonyani.

Alisema kuwa jeshi hilo linaendelea na uchunguzi na pindi utakapokamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
 
Jeshi la polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mwanamume mmoja mkazi wa kijiji cha Kaloleni wilayani Songwe kwa tuhuma za mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita Esther Emanueli .

Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa ni wivu wa kimapenzi baada ya mtuhumiwa huyo kumtuhumu mkewe huyo kuzaa mtoto nje ya ndoa
 
Mambo ya wivu wa kimapenzi.

Wanawake ogopa sana kutolewa na wanaume wanaojifanya wanawapenda sana au Wana wivu sama mtakuwa mnakatwa vichwa.

Olewa na watu sampuli ya Mimi hata nikikuta Watoto sio wangu na move on maisha yaendelee na Leo hao hao na Wala sijihangaishi kuwakagua.

R.I.P mama na mtoto uliolewa na jitu punguani.

=====

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanamume mkazi wa Kijiji cha Kaloleni, wilayani Songwe (jina linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi) kwa tuhuma za mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel.

Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa ni wivu wa mapenzi baada ya mtuhumiwa huyo kumtuhumu mkewe huyo kuzaa mtoto nje ya ndoa.

Mtuhumiwa huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mwambani, wilayani Songwe baada ya kujeruhiwa na wananchi, anadaiwa kumvizia mkewe akiwa amelala usiku na mtoto wake huyo wa miezi sita na kuwanyonga kabla ya kuuburuta mwili wa mkewe huyo na kwenda kuuficha katika kibanda nje ya nyumba yao.

Akithibitisha kushikiliwa kwa mtuhumiwa huyo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, alisema jana kuwa kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa Septemba 24 mwaka huu.

Alisema mtuhumiwa alikamatwa baada ya kuokolewa na viongozi wa kijiji chini ya Mwenyekiti Laiton Waya kutoka katika kundi la wananchi wenye hasira kali waliomkamata baada ya kufanya tukio hilo la mauaji ya kinyama na kuanza kumshushia kipigo.

“Mtuhumiwa huyo kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mwambani akiwa chini ya ulinzi, na uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonesha mtuhumiwa kabla ya kutekeleza mauaji hayo walikuwa na mgogoro na mkewe kwa kumtuhumu kuzaa nje ya ndoa,” alisema Kaimu Kamanda Ngonyani.

Alisema kuwa jeshi hilo linaendelea na uchunguzi na pindi utakapokamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Kumbafu kabisa polisi.

Kamanda anaelezea mkasa kwa usahihi namna ulivyotokea halafu anasema bado uchubvuzi unaenddlea.

SIwaelewagi hawa viumbe
 
Alfu mtu anasema mwanamke akichepuka Msamehe!!! Nyie unajua uchungu wa Kulea familia ambayo siyo yako, Yani wale Raha huko kitandani Alfu ww ndo unakuja kulea lilomzalisha linazurura tu aiseee.... Kwa kweli Mungu aniepushe na hili

Mwanamke ampunzishwe anapo stahili.
Mtoto umekufa bila hatia kwa sabab ya Ujinga wa Mama na Baba yako pumzika mahali pema peponi.
 
Kila siku nawaambia humu NDOA ni VITA Ndoa ni UTAPELI.

Ndoa ni MAUAJI hamnisikii. Mtaisha.
Ndoa hata kama ni utapeli, utapeli upo kila sehemu, kununua viwanja, kupata kazi, nk, kwani ukitapeliwa Kiwanja, unajiua au unaenda kuua aliyekutapeli? Acheni ujinga vijana, sasa umegundua mtoto sio wako, sasa hapo mtoto anakosa gani, kwanini uue,? Wanawake wapo kibao kila Kona, wewe nenda nje, piga Bao, upate anaekufanana!
Ukiona unaogopa ndoa, wewe akili zako ni ndogo, mental capacity ni ndogo, hauwezi kushindana na matatizo, mi hata nigundue watoto sio wangu, nasomesha, nawapa urithi, nitawalipia hata mahari mpaka waoe,na Mali zangu zote nawaachia! After all wote tutakufa, so what the heck!
Una watoto wa Dada zako, wa kaka zako! Jike linakupa wasio, wako, si uachane nalo?
 
Skia mzee..

Wewe unapiga hesabu zako na yeye anapiga hesabu zake.

Ishu sio KUUA au ishu sio WATOTO.

Ishu ni SHERIA KANDAMIZI za NDOA na misingi yake.

Utapeli wa kiwanja ni wa mara moja tu. Ila UTAPELI WA NDOA ni wa milele mpaka UFEEEEE.

Umenielewa? Wenye Akili ndogo ndio wanabisha kuwa NDOA ni Utapeli. Ila wenye AKILI kubwa wanakubaliana kuwa ni UTAPELI ila wanapambana na UTAPELI bila kuukataaa UTAPELI.

sisi wengine wenye AKILI kubwa zaidi tunakataa UTAPELI hatuutaki kuisikia wala kuusogelea.
 
Endeleeni kuchepuka nyie wanawake mjisahau na kubeba mimba...mtakwisha ...vijana sasa hawataki kubebebshwa mitoto isiyo damu yao.

R.i.p mtoto inaumiza sana
 
Songwe ni Mkoa wenye matukio ya kikatili sana aisee hawana taarifa nzuri zaidi ya mauaji tuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom