Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!
Kwani kudefine Akili kazi?
 
Hivi kuna neno lenye tafsiri moja?
Kila neno lina tafsiri nyingi.

Wewe unaijua ipi?

Twambie hizo tafsiri nyingi za akili ili tujue tunayo maanisha.
Mana Mshana yeye anajua tafsiri moja, ukitaja tafsiri tofauti na anayoielewa yeye atakueleza hapa na sisi pia tupo hapa.
Ningekuwa Kiranga ningeelezea akili tofauti kabisa na maana yake halisi ili muuliza swali aweze kufafanua Akili.
 
Kumcha Mungu kunaweza kuwa chanzo cha hekima.

Tatizo wewe umeishia kwenye chanzo cha hekima tu, hujatafuta hekima zaidi.

Wewe bado unabaki kwenye "kumcha mungu ni chanzo cha hekima" tu!

Hicho ndicho unachokiamini kuhusu mimi kwamba nimeishia kwenye chanzo cha hekima tu, "...kwenye chanzo cha hekima tu, haujatafuta hekima zaidi.."

Ukarudia tena

"...Wewe bado unabaki kwenye kumcha mungu ni chanzo cha hekima..."

Unatoa wapi hitimisho la aina hiyo kwa mtu unaefaham ID yake tu?

Unaamini kwenye hichi ulichokiandika au una fact?
 
Kiranga ndio anapaswa kueleza kwanza alivyoielewa akili.
Kwani mpk sasa hajasema hajui maana ya akili.
Kasema ina tafsiri nyingi.

Hajatoa hata mbili tuone kweli zina maana nyingi.

Vinginenvyo tutaona ni kusingizia singizia tu ili kukwepa kujibu swali.

Kama ni neno Pana, atoe huo upana wake tuone na tumweleze tunayomaanisha sisi.

Lzm ujue mwanafunzi wako anapokosea ndipo msahihishe
Kwanini tumtake Kiranga Atoe majibu ambayo huenda badaye itabidi tena tuanze kusema siyo hiyo iliyomaanishwa wakati uwezo wa kuelezea Akili upo? Ili asieleze ambayo hayahusiki ni kudefine tu
 
Kwani kudefine Akili kazi?
Huyo Mshana hata hajui anachotaka kuuliza.

Ni mfa maji anayetapatapa.

Hajui wapi kusi wala kaskazi.

Kaona unywele anataka kuushikilia, sasa kagundua unywele aliotaka kuushikilia hauwezi kumzuia asizame.

Ndiyo maana anakataa kujibu.

Amechagua kusema bora aibu kuliko fedheha.
 
Ndio AKILI ni AKILI na ufafanuzi wake ni maarifa na ufahamu..
Basi mimi nina akili.

Kwa sababu nina maarifa na ufahamu. Nimeuliza contradiction katika dhana ya kuwepo Mungu kwa namna ambayo ambao mnaosema Mungu yupo hamjaweza kuijibu.

Nimeweza kubishana nawe mpaka ukafafanua akili ni nini.

Sasa kilichokuchukua muda wote huo ni nini?

Nishakupa unywele uliong'ang'ania.

Tuone sasa kama utakusaidia usizame.
 
Basi mimi nina akili.

Kwa sababu nina maarifa na ufahamu. Nimeuliza contradiction katika dhana ya kuwepo Mungu kwa namna ambayo ambao mnaosema Mungu yupo hamjaweza kuijibu.

Nimeweza kubishana nawe mpaka ukafafanua akili ni nini.

Sasa kilichokuchukua muda wote huo ni nini?

Nishakupa unywele uliong'ang'ania.

Tuone sasa kama utakusaidia usizame.
At last.... Unaweza kunionyesha akili zako zilipo? Na zikoje?
 
At last.... Unaweza kunionyesha akili zako zilipo? Na zikoje?
Si kila kilichopo kinaonekana kwa macho (ndiyo maana sijaomba kuthibitishiwa Mungu yupo kwa picha), ila kwa tafsiri yako ya akili, nimeshakuonesha akili zangu kwa kuuliza swali linaloonesha contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu, swali ambalo halijajibiwa.

Zaidi, wanasayansi wanawea kusoma mawazo/ akili yako kwa brain scan

Scientists Can Now Read Your Thoughts With a Brain Scan

gallery-1498583815-gettyimages-493216409.jpg



Your innermost thoughts might not be so secret after all. At least, if you're thinking them inside an MRI machine.


Researchers at Carnegie Mellon University developed an algorithm that can decode a person's thoughts using data from a brain scan. The researchers used this algorithm to gain insights into how our brains work and form complex topics.

Our thoughts can range from simple to highly complex. A simple thought might just consist of a single concept, like "store," or a more complex group of concepts, like "I went to the store last Saturday in the rain." Research shows that the brain breaks down these complex thoughts into smaller pieces, each corresponding to a different aspect of the thought.



MORE BRAIN SCANNING



Essentially, the brain uses an alphabet of around 42 different elements, each referring to a specific concept like size, color, or location. The brain combines those together to form complex thoughts.

Each of the "letters" in the brain's alphabet is handled by a different part of the brain, so by studying brain activity with an MRI machine it's possible to determine what a person is thinking about.

The researchers developed an algorithm to do exactly that, though they didn't put it to work literally reading minds. Instead, they gave it MRI scans and their corresponding thoughts, and the algorithm would then predict what a completely different thought would look like in the MRI. In the study, it managed to do this with an 87 percent accuracy. And while this tech was not used to attempt to read actual minds, it seems likely that it could.

Nobody is going to use this tech to secretly read your mind anytime soon. But neuroscientists should be excited about this glimpse into the inner workings of our own brains. This study goes a long way toward figuring out how we think, which helps to solve one of the many mysteries of our own minds.

Source: Carnegie Mellon University
 
Back
Top Bottom