mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,186
Kiranga kuna thread moja nilimgonga swali anipe uthibitisho wa Mungu kutokuwepo mpaka sasa naona hajajibu nadhani kama Mshana jr ulivyosema jamaa ni mweupe kichwani
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.Kiranga kuna thread moja nilimgonga swali anipe uthibitisho wa Mungu kutokuwepo mpaka sasa naona hajajibu nadhani kama Mshana jr ulivyosema jamaa ni mweupe kichwani
@kiranga asante kwa kuja... Umeitendea haki hii post naomba unijibu bila kupepesa hili swali langu.. Natambua wewe ni mjuvi na huogopi maswali.. JE UNA AKILI? AU JE HUNA AKILI?Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.
Kwa msingi huu, polisi wakisema kwamba nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao wanaosema zkuna madawa a, ku sachi nyumba mpaka wapate hayo madawa.
Kamwe hawakupi kazi ya kuthibitisha wewe unayejitetea kwamba nyumba yako haina madawa eti uthibitishe nyumba yakohaina madawa, kwa sababu hata ukifagia vipi kuonesha nyumba yako haina madawa, kuna uwezekano unaweza kuwa umeyaficha pasipofikika.
Kwa hiyo, mzigo wa kuthibitisha ni wa yule anayesema kitu kipo,si anayekanusha. Anayekanusha anaulizatu kuthibitishiwa.
Nimeongelea "nje ya dhana".
Ukija kwenye dhana, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa "proof by contradiction".
Mungu huyo angekuwepo, asingetaka mabaya yaweze kutokea duniani kwa viumbe wake.
Mabaya yanatokea dunianikwa viumbe wake.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Mshana we endelea kutafuta tonge kwa kwa wafuasi wako, lkn huna hoja au uwezo wa kuthibitisha uwepo wa mungu.Ana maneno mingi na yuko full defensive
Akili ni nini?@kiranga asante kwa kuja... Umeitendea haki hii post naomba unijibu bila kupepesa hili swali langu.. Natambua wewe ni mjuvi na huogopi maswali.. JE UNA AKILI? AU JE HUNA AKILI?
Sijalikwepa, wewe umeuliza kama nina akili au sina akili, nataka kukujibu.Jibu swali usilikwepe
Sina wafuasi wa kunipa tonge.... Niko vizuri na ni mmojawapo wa walipa kodi wa kati mzuri.... Ishu za Kimungu ambazo actually ni za kiroho hazina ithibati za kidunia kwa mitazano ya kibinadamuMshana we endelea kutafuta tonge kwa kwa wafuasi wako, lkn huna hoja au uwezo wa kuthibitisha uwepo wa mungu.
Kama katika maarifa yako yote na elimu yako yote na uzoefu pia hujui akili ninini... This is pathetic!Sijalikwepa, wewe umeuliza kama nina akili au sina akili, nataka kukujibu.
Lakinikabla sijakujibu, nataka kujua kwamba nalielewa swali lako, najibu unachouliza,si ninachofikirimimiunauliza ambachokinaweza kuwa tofauti.
Unaposemaakili unamaanisha nini? Akili ni nini.
Nijibu swaliili niweze kukujibu swali.
Mshana jibu swali, "akili " ni nini?Sina wafuasi wa kunipa tonge.... Niko vizuri na ni mmojawapo wa walipa kodi wa kati mzuri.... Ishu za Kimungu ambazo actually ni za kiroho hazina ithibati za kidunia kwa mitazano ya kibinadamu
Wapi nimesema sijui akili ni nini?Kama katika maarifa yako yote na elimu yako yote na uzoefu pia hujui akili ninini... This is pathetic!
Lakini kwakuwa nafahamu wewe ni mahiri wa kukwepa maswali sishangazwi na hili....
Naomba kwa weledi mkuu nikuulize tena kama wewe Kiranga kwa ID yako hii una AKILI!?
Wewe umeuliza kama nina akili, hujauliza akili ni nini.Mimi ndio nimeuliza iweje tena utake jibu toka kwangu?
Achana na mengine yote jibu swali la asili. . je una AKILI? Ukishalijibu hilo ndio tutakuja sasa kwenye tafsiri ya akiliWapi nimesema sijui akili ni nini?
Unafahamu "Socratic Method" ni kitu gani?
Akili ni nini?
Hujajibu swali.
wazee huku kwetu wanamuita kiranga komoAtakuja hapa na kasi ya 6G Mara "unakubali Mungu ni muweza wa yote ,ujuzi wa vyote,upendo wa yote kama Mungu yupo asingekubali watoto wachanga wafe"
Bhasi tu kututoa kwenye reli tuamini kile anachoamini..ila huyu kiranga itakuwa ana kiranga sana
Mkuu kama anaamini UCHAWI kwanini umuite NON-BELIEVER?Kisirisiri kimoyomoyo kimya kimya
Na miminakwambiahivi, ili nikujibu, inabidi ufafanue swali lako, swali lako hujalifafanua.Achana na mengine yote jibu swali la asili. . je una AKILI? Ukishalijibu hilo ndio tutakuja sasa kwenye tafsiri ya akili
Kumbuka swali halijibiwi kwa swali kama unajiamini