Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mshana nimekujibu swali lako, maswali yangu utanijibu sasa?

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu wenye mabaya mengi, kifo, magonjwa njaa, vita etc, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao yote hayo hayapo?

Hujajibu swali hilo.
 
Nakwendakwa hoja.

Moja ya kanuni za msingi kabisa za insha, mijadala, utafiti etc ni ku define vitu mwanzo kabisa.

Umeuliza swali, umetumia neno, neno tata, swali halipo clear.

Umeulizwa kufafanua swali lako.

Wewe unayeuliza swali huwezikufafanua swali lako, huwezi kuniambia akili ni nini.

Unategemeaje mimi niweze kukujibu?

Unaniambia nikutafsirie ndoto.

Nakwambia sawa, niambie hiyo ndoto, unaniambia ndoto yenyewe nayo sikwambii, wewe niambie ndoto yangu niliyoota kisha itafsiri.

Kama Nebuchadnezzer.

Sawawa hiyoo?

Hataaaaa.

Hiyo si sawa Mshana, acha vituko!
Ha haaaa nimependa hapo mwisho
 
Wala siujui,hebu niimbie
Nilijua huujui. Huo wahenga waliofunga mkanda wa Baaba Kabwela baada ya Vita Vya Kagera tu ndio wataujua.

Nitakuimbia faraghani kwetu wakati nakuelewesha maana ya jina "Mwinamila".
 
Si kila kilichopo kinaonekana kwa macho ([color=redndiyo maana sijaomba kuthibitishiwa Mungu yupo kwa picha[/color]), ila kwa tafsiri yako ya akili, nimeshakuonesha akili zangu kwa kuuliza swali linaloonesha contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu, swali ambalo halijajibiwa.

Zaidi, wanasayansi wanawea kusoma mawazo/ akili yako kwa brain scan

Scientists Can Now Read Your Thoughts With a Brain Scan

gallery-1498583815-gettyimages-493216409.jpg

Your innermost thoughts might not be so secret after all. At least, if you're thinking them inside an MRI machine.

Researchers at Carnegie Mellon University developed an algorithm that can decode a person's thoughts using data from a brain scan. The researchers used this algorithm to gain insights into how our brains work and form complex topics.

Our thoughts can range from simple to highly complex. A simple thought might just consist of a single concept, like "store," or a more complex group of concepts, like "I went to the store last Saturday in the rain." Research shows that the brain breaks down these complex thoughts into smaller pieces, each corresponding to a different aspect of the thought.

MORE BRAIN SCANNING

Essentially, the brain uses an alphabet of around 42 different elements, each referring to a specific concept like size, color, or location. The brain combines those together to form complex thoughts.

Each of the "letters" in the brain's alphabet is handled by a different part of the brain, so by studying brain activity with an MRI machine it's possible to determine what a person is thinking about.

The researchers developed an algorithm to do exactly that, though they didn't put it to work literally reading minds. Instead, they gave it MRI scans and their corresponding thoughts, and the algorithm would then predict what a completely different thought would look like in the MRI. In the study, it managed to do this with an 87 percent accuracy. And while this tech was not used to attempt to read actual minds, it seems likely that it could.

Nobody is going to use this tech to secretly read your mind anytime soon. But neuroscientists should be excited about this glimpse into the inner workings of our own brains. This study goes a long way toward figuring out how we think, which helps to solve one of the many mysteries of our own minds.

Source: Carnegie Mellon University
Kwani hata ungetaka picha na ukaoneshwa ndiyo ingekuwa uthibitisho? maana hata Beyonce anaonekana kabisa lakini hiyo haifanyi wengine tukubali kuwa Beyonce ni Mungu kisa tunamuona.

Sasa wewe unaimba tu "uthibitisho.. uthibitisho" ila huna hata idea huo uthibitisho utakuaje wa kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Umeeleza ni jinsi gani unayo akili ila wewe hautaki kuelezwa jinsi gani Mungu yupo ila unataka uthibitisho tu na ndiyo maana unaonekana unaposema uthibitisho unakuwa unakusudia mtu akuoneshe Mungu.
 
Nilijua huujui. Huo wahenga waliofunga mkanda wa Baaba Kabwela baada ya Vita Vya Kagera tu ndio wataujua.

Nitakuimbia faraghani kwetu wakati nakuelewesha maana ya jina "Mwinamila".
Can't wait mwenzio,usichelewe sasa[emoji39] [emoji39]
 
Kwani hata ungetaka picha na ukaoneshwa ndiyo ingekuwa uthibitisho? maana hata Beyonce anaonekana kabisa lakini hiyo haifanyi wengine tukubali kuwa Beyonce ni Mungu kisa tunamuona.

Sasa wewe unaimba tu "uthibitisho.. uthibitisho" ila huna hata idea huo uthibitisho utakuaje wa kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Umeeleza ni jinsi gani unayo akili ila wewe hautaki kuelezwa jinsi gani Mungu yupo ila unataka uthibitisho tu na ndiyo maana unaonekana unaposema uthibitisho unakuwa unakusudia mtu akuoneshe Mungu.
Nimeeleza kwamba nataka uthibitisho kwamba Mungu yupo. Uthibitisho uwe logically cinsistent na ulimwengu na pia uwe non contradictable.

Kwa nininunaandika kama sina idea na uthibitisho ninaoutaka?

Unaelewa nilichoandika hapo juu?

Unaweza kuthibitisha Mungubwako yupo?
 
Mshana nimekujibu swali lako, maswali yangu utanijibu sasa?

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu wenye mabaya mengi, kifo, magonjwa njaa, vita etc, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao yote hayo hayapo?

Hujajibu swali hilo.
Kaufanya ulimwengu ue hivyo kwasababu ya sisi wanadamu tupate kumkumbuka na kumuabudu. Kama duniani kungekuwa kuna raha tu, basi hakuna mtu angewaza au kumkumbuka mungu.
 
Hicho ndicho unachokiamini kuhusu mimi kwamba nimeishia kwenye chanzo cha hekima tu, "...kwenye chanzo cha hekima tu, haujatafuta hekima zaidi.."

Ukarudia tena

"...Wewe bado unabaki kwenye kumcha mungu ni chanzo cha hekima..."

Unatoa wapi hitimisho la aina hiyo kwa mtu unaefaham ID yake tu?

Unaamini kwenye hichi ulichokiandika au una fact?
Unaamini Mungu ambaye huwezi kumuelezea, na wala huna hata hekima ya kukubali kwamba humuelewi huyo Mungu.

Kwa sababu unaona kwamba kukubali humuelewi utakua unakubali kwamba inawezekana unaamini kitu ambacho hakipo.
 
Alishindwa kuumba ulimwengu wenye raha tu ambao watu wanamkumbuka pia?
Binadamu ana/tuna udhaifu mkubwa sana. Mf tukitoka makabulini kuzika mtu (ndugu, jamaa, rfk nk) ambaye tulikuwa nae bega kwa bega huwa tunajawa sana na imani na majuto ma wengi wao huanza kufanya ibaba. Ila mda mfupi tu baada ya kusahau lile tukio huwa runarudi ktk hali yetu ya mwanzo ya maovu.
Kwamfano huo tu, we chukulia kuwa dunian hakuna matatizo yeyote, na raha kwa kwenda mbele, hata wewe usingepata mda wa kujadili uwepo/kutowepo kwa mungu kwakuwa kungekuwa hakuna anaeabudu mungu.
 
Si kila kilichopo kinaonekana kwa macho (ndiyo maana sijaomba kuthibitishiwa Mungu yupo kwa picha), ila kwa tafsiri yako ya akili, nimeshakuonesha akili zangu kwa kuuliza swali linaloonesha contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu, swali ambalo halijajibiwa.

Zaidi, wanasayansi wanawea kusoma mawazo/ akili yako kwa brain scan

Scientists Can Now Read Your Thoughts With a Brain Scan

gallery-1498583815-gettyimages-493216409.jpg

Your innermost thoughts might not be so secret after all. At least, if you're thinking them inside an MRI machine.

Researchers at Carnegie Mellon University developed an algorithm that can decode a person's thoughts using data from a brain scan. The researchers used this algorithm to gain insights into how our brains work and form complex topics.

Our thoughts can range from simple to highly complex. A simple thought might just consist of a single concept, like "store," or a more complex group of concepts, like "I went to the store last Saturday in the rain." Research shows that the brain breaks down these complex thoughts into smaller pieces, each corresponding to a different aspect of the thought.

MORE BRAIN SCANNING

Essentially, the brain uses an alphabet of around 42 different elements, each referring to a specific concept like size, color, or location. The brain combines those together to form complex thoughts.

Each of the "letters" in the brain's alphabet is handled by a different part of the brain, so by studying brain activity with an MRI machine it's possible to determine what a person is thinking about.

The researchers developed an algorithm to do exactly that, though they didn't put it to work literally reading minds. Instead, they gave it MRI scans and their corresponding thoughts, and the algorithm would then predict what a completely different thought would look like in the MRI. In the study, it managed to do this with an 87 percent accuracy. And while this tech was not used to attempt to read actual minds, it seems likely that it could.

Nobody is going to use this tech to secretly read your mind anytime soon. But neuroscientists should be excited about this glimpse into the inner workings of our own brains. This study goes a long way toward figuring out how we think, which helps to solve one of the many mysteries of our own minds.

Source: Carnegie Mellon University
Hukujibu bali umeruki kwingine.... Jibu kwa kifupi kwa uelewa wako usiwe mtumwa wa links za wazungu....
 
Mshana nimekujibu swali lako, maswali yangu utanijibu sasa?

Kama Mungu yupo, ni mjuzi wa yote, ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu wenye mabaya mengi, kifo, magonjwa njaa, vita etc, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao yote hayo hayapo?

Hujajibu swali hilo.
Rejea tafsiri ya AKILI.... Ufahamu na maarifa... Naona umeshikilia kifungu hicho kama ndio kila kitu kwenye dhana nzima ya uungu.... Kwa hili kiranga unafeli vibaya.... Kwakuwa unapenda kukariri kitu kimoja na kushikilia hicho hicho
Katika ufahamu na maarifa (tafsiri ya akili) swali uliloshindwa kujibu unapungukiwa na kimoja kama si ufahamu basi ni maarifa na kama si maarifa basi ni ufahamu ama la tafsiri ya AKILI bado hujaijua vema
 
Kwani hata ungetaka picha na ukaoneshwa ndiyo ingekuwa uthibitisho? maana hata Beyonce anaonekana kabisa lakini hiyo haifanyi wengine tukubali kuwa Beyonce ni Mungu kisa tunamuona.

Sasa wewe unaimba tu "uthibitisho.. uthibitisho" ila huna hata idea huo uthibitisho utakuaje wa kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Umeeleza ni jinsi gani unayo akili ila wewe hautaki kuelezwa jinsi gani Mungu yupo ila unataka uthibitisho tu na ndiyo maana unaonekana unaposema uthibitisho unakuwa unakusudia mtu akuoneshe Mungu.
Nimegudua hata yeye mwenyewe kiranga hajui anachojaribu kutetea.. Anaweka link ya at last scientists can read thoughts through scanning na akaweka na picha lakini isiyoonyesha scanner ikisoma mawazo ya mtu
 
Mshana huna hoja za kubishana na kiranga unachokifanya hapa ni ubishani tu!
 
Sasa sijui nikusaidieje hapa!
. Sina hoja za kubishana...
.. Ninachofanya ni ubishani tu.... Nikikuuliza kama una akili unaweza kukasirika... Na nikikuuliza tena huna akili bado utaona nimekutusi.... Ila ukiwa mwerevu utanijibu....
Angalia usije kuwa wewe ndio huna hoja na unajichanganya!
 
Binadamu ana/tuna udhaifu mkubwa sana. Mf tukitoka makabulini kuzika mtu (ndugu, jamaa, rfk nk) ambaye tulikuwa nae bega kwa bega huwa tunajawa sana na imani na majuto ma wengi wao huanza kufanya ibaba. Ila mda mfupi tu baada ya kusahau lile tukio huwa runarudi ktk hali yetu ya mwanzo ya maovu.
Kwamfano huo tu, we chukulia kuwa dunian hakuna matatizo yeyote, na raha kwa kwenda mbele, hata wewe usingepata mda wa kujadili uwepo/kutowepo kwa mungu kwakuwa kungekuwa hakuna anaeabudu mungu.
Hujajibu swali.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu wenye raha tu ambao watu wanamkumbuka pia?
 
Rejea tafsiri ya AKILI.... Ufahamu na maarifa... Naona umeshikilia kifungu hicho kama ndio kila kitu kwenye dhana nzima ya uungu.... Kwa hili kiranga unafeli vibaya.... Kwakuwa unapenda kukariri kitu kimoja na kushikilia hicho hicho
Katika ufahamu na maarifa (tafsiri ya akili) swali uliloshindwa kujibu unapungukiwa na kimoja kama si ufahamu basi ni maarifa na kama si maarifa basi ni ufahamu ama la tafsiri ya AKILI bado hujaijua vema
Wewe hujathibitisha Mungu yupo kwa njia yoyote.
 
Back
Top Bottom