The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,015
- 48,402
Unaamini Mungu ambaye huwezi kumuelezea, na wala huna hata hekima ya kukubali kwamba humuelewi huyo Mungu.
Kwa sababu unaona kwamba kukubali humuelewi utakua unakubali kwamba inawezekana unaamini kitu ambacho hakipo.
Bado haujajibu swali langu nililokuuliza nilipokunukuu. Unaamini hivyo au unajua kwa facts?
Naongezea tena, haya uliyoandika hapa kuhusu mimi unaamini au unajua?