Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Wewe hata basic definition ya atheist huijui.

Una force mambo.

Original post yako inapotosha na watu kadhaa wamesema hilo.

Mpaka sasa nilikuwa hata sijataka kukuchana kuhusu hilo.

Kwa sababu umeshundwa hata kujibu akili ni nini kwa muktadha wako.
Acha kujidhalilisha Kiranga nimekujibu AKILI ni AKILI... Ila wewe mpaka sasa umeshindwa kabisa kujibu kama una AKILI ama huna AKILI
 
Acha kujidhalilisha Kiranga nimekujibu AKILI ni AKILI... Ila wewe mpaka sasa umeshindwa kabisa kujibu kama una AKILI ama huna AKILI
Akili ni akili si jibubla akili ni nini.

Ni kurudia swali, na hivyo si jibu.

Kwebye logic tunaita tautology.
 
Hapana, kumpangia ni hivi.

Mungu: Mimi ni Mungu mbaya, naua watu, nawapa magonjwa, sijali wakiwa na njaa.

Kiranga: Wewe Mungu ni mbaya, ungekuwa mzuri usingeua watu, usingewapa magonjwa, ungejali wakiwa na njaa.

Hapo utasema Kiranga anampangia Mungu.

Lakini hili si lililopo.Tunachoambiwa ni hiki.

Mungu: Mimi ni Mtakatifu sana, nina upendo wote, ujuzi wote, uwezo wote. Kisha, nina ghadhabu kali, nahukumu wana kwa makosa ya baba na babu zao, naua wanyama kwa makosa ya watu. Naruhusu mabaya duniani hata kama naweza kuyazuia na niliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Naua mpaka vitoto vichanga kwa kuvifukia kwa matetemeko ya ardhi.

Kiranga: Mungu, mimi sikupangii, najua unafanya unachotaka kufanya, lakini mbona hueleweki? Mbona unasema wewe una uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu unaachia mabaya? Kwa nini hukuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hapo sijampangia, nimehoji mbona yeye mwenyewe anajipinga ?
kooooohhh koooooooohhhh "" Mungu ana ndimi mbili"" ...Mungu wanaotueleza Hawa kama angekuwa duniani"" wallahi muda huu angekuwa jela "" haiwezekani ujinasibu kuwa una upendo kwa wote " una uweza wa yote "" halafu uiumbe dunia yenye mabalaa kama matetemeko ya ardhi yanayo hatarisha maisha ya watu...."" haiwezekani uache binaadamu wengine watengeneze mabomu na kuwauwa wenzao..huku bado unataka watu watambue kuwa unauweza wa yote"" .......haiwezekani " useme binaadamu ni dhaifu sana halafu bila hata haya unawapa vitabu binaadamu hao hao wakusaidie kuhubiria watu wengine kuhusu wewe """.....yaani huoni kuwa udhaifu wao "" unaweza pelekea wao kuingiza uongo wao katika hivyo vitabu " kutokana na sifa yao ya udhaifu
 
Akili ni akili si jibubla akili ni nini.

Ni kurudia swali, na hivyo si jibu.

Kwebye logic tunaita tautology.
Kama akili sio akili nipe jibu sahihi... Halafu achana na terminology za lugha za kuazima.. Huo ni ukoloni mambo leo na dalili za kuwa brainwashed kiakili... Usiwe mtumwa wa mawazo..
 
Tafsiri.

Ukitakakujua chanzo cha ulimwengu kwa kusoma Quran na Biblia na kutafuta uchawi wa mizimu, bila kujua solution ya ku reconcile hesabu za relativity na quantum physics, kwa mujibu wa sayansi tunayoijua sasa, ni sawa na kutafuta square root ya 2 nje ya range ya 1 mpaka 2.

You will be looking for answers in the wrong place.
Jifunze kuwa Mnyenyekevu Acha ubishi.

Unapapasa ulimwengu kwa Dhana za hesabu.! Tena zilizojaa mafikirio ya kibinadamu.!?

Na kumsikitikia mwenye kutafuta uradhi wa nafsi yake kupitia vyanzo vile.!?

Hakika wewe ni mwenye kusikitikiwa kwingi na Bado hujalijua Hilo.

Uwe na Akili
 
Nimekujibu kwamba conclusion haina uhusiano na ulichouliza.

Umeulizakama naweza kutoa ushahidi maandishi ya kwenye kitabu yapo.

Nikakujibu ushahidi mbona mwingi, naweza kukuonesha, tunaweza kuscan picha.

Unakuja kuniuliza, nikikupa kitabu kimeandikwa Ki Swede utaweza kunisomea na kuniambia maana yake? Mbona hapa wamesema mtu asiyejua ki Swede kujua maandishi yaliyoandikwa Ki Swede ni muhali.

Hujauliza swali hilo hapo mwanzo na wala mimi sijawahi kusema najua kusoma ki Swede.

You are changing the goalpost as you go along.

Hatimaye nakufunga goli, unasema ule upande ambao ulikuwa goli lako actually ni goli langu, kwa hiyo nilivyokufunga pale, nimejifunga mwenyewe.

Kwa mjadala wa hivyo, hatuwezikubadilishana kitu.

You are asking vague questions, you get general answers, you change your questions to something I had no claimon and that is outside the domain of the premise of my original statement.

Sijawahi kusema sayansiinaweza kutafsiri kila ndoto.

Wapi nimesema hilo?

Nimesema ndoto ni kitu tangible, kinaweza kuwa tested, kinaweza kupimwa, hakina logical incosistency na sayansi.

Unaelewa tofauti?

Unazungumzia ndoto wakati tulishamia kwenye interpretation ya ndoto

Na kukumbusha tuu nlikuuliza kanuni 3 za kujua kitu/vitu zinalandana na tukio la kutafsiri ndoto?

Tafsiri ya ndoto unaweza kuwa cosistent logical? Tested? Evidence based?

Nsharudia kitu hiki mara kibao lakini unakwepa hoja na kuanza kuangalia hadi typo error kwenye maandishi yangu ili uanze kujenga hoja
 
Kama akili sio akili nipe jibu sahihi... Halafu achana na terminology za lugha za kuazima.. Huo ni ukoloni mambo leo na dalili za kuwa brainwashed kiakili... Usiwe mtumwa wa mawazo..
Your inferiority complex is as palpable as your ignorance is choking.
 
Jifunze kuwa Mnyenyekevu Acha ubishi.

Unapapasa ulimwengu kwa Dhana za hesabu.! Tena zilizojaa mafikirio ya kibinadamu.!?

Na kumsikitikia mwenye kutafuta uradhi wa nafsi yake kupitia vyanzo vile.!?

Hakika wewe ni mwenye kusikitikiwa kwingi na Bado hujalijua Hilo.

Uwe na Akili
Akili ni nini?
 
By convergence, the mathematics needed to resolve the nature and beginning of the universe in the singularity at the big bang, according to the best known current theories, can be narrowed down to reconciling Einstein's Relativity, which dealst with the science of the very big/heavy and quantum theory, which deals with the very small.

This is because, at the singularity, allthe matter of the universe is condensed into an infinitesimally small space -the primordial beginning of our spacetime, necessitating a conundrum of the very dense/ large mass (Einstein's Relativity)in an infinitesimally small space (Quantum Physics).

Without coming up with the mathematics of reconciling Relativity and Quantum Physics, which has not been done todate, the beginning of the universe will remain unknown.

Nataka tafsiri ya maneno haya hapa.
Useme tena sijaandika post namba wakati nili quote comment yako then nimewatag wewe Kiranga pamoja na Mshana Jr

Niliomba msaada wa tafsiri ya maneno hayo
Ambayo ndani yake mimi sikuona neno quran wala biblia.

Ulilalamika ninahamisha magoli
Sasa sijui hapa wewe unahimisha nini?
 
Unazungumzia ndoto wakati tulishamia kwenye interpretation ya ndoto

Na kukumbusha tuu nlikuuliza kanuni 3 za kujua kitu/vitu zinalandana na tukio la kutafsiri ndoto?

Tafsiri ya ndoto unaweza kuwa cosistent logical? Tested? Evidence based?

Nsharudia kitu hiki mara kibao lakini unakwepa hoja na kuanza kuangalia hadi typo error kwenye maandishi yangu ili uanze kujenga hoja
Hakuna sehemu yoyote uliyoandika kuhusu kutafsiri ndoto katika bandiko lako la kwanza.

Hii ni habari ukiyoichemekea baadaye.

Ulianza ukifikiri ndoto haiwezi kupimwa (testable) haiwezi kuwa na ushahidi (evidence based) na haina logical consistency kisayansi.

Nikakuonesha kwamba ndoto inaweza kupimwa, ina ishahidi, na ipo logically consistent na sayansi.

Ukaona umeshindwa katika hilo. Huwezi kubisha.

Ukaleta habari tofauti kabisa za kutaka kutafsiri ndoto.

Nikisema sayansi haijajua kutafsiri ndoto kikamilifu hilo lina maana gani?

Hilo lina maana hatuna ushahidi ndoto zipo? Hapana.

Hilo lina maana ndoto haziwezi kupimwa? Hapana.

Hilo lina maana nsoto hazina logical consistency na sayansi? Hapana.

Una argue kitu pointless.

Hata nikisema sayansi haijajua kitafsiri ndoto(kama kuna maana yoyote katika dhana ya jutafsiri ndoto, hili jambo halijajadikiwa vilivyo hapa bado, mdoto zinaweza juwa playback ya nawazo tu na si lazima ziwe na tafsiri ya maana zaidi ya kusema hivi ni vitu ulikuwa unavifikiria kwenye usingizi).

Sasa kwa nini unalazimisha kwamba kuna contradiction kati ya habari za ndoto na premise yangu kwamba ziko testable, evidenve based na logically consistent na sayansi?

Cibtradiction iko wapi hapo?
 
Kwa nini umekatisha nukuu?

Nimeandika "siwezi kwenda Kariakoo mpaka nipate nauli ya daladala"

Wewe unaninukuu kwamba nimesema "siwezi kwenda Kariakoo".

Nikisema hujaandika kama mtu aliyenielewa nitakuwa nimekosea?

Ndio maana nlikuandikia kabisa uelewe alama za ....... baada ya quote.

Onyesha hiyo post niliyokulisha maneno haya

"siwezi kwenda Kariakoo".
Badala ya
"siwezi kwenda Kariakoo mpaka nipate nauli ya daladala"

Be specific kama unavyosema wewe.
Taja na namba ya post nliyokulisha maneno

Mshana Jr Kiranga
 
Hata nikisema sayansi haijajua kitafsiri ndoto(kama kuna maana yoyote katika dhana ya jutafsiri ndoto, hili jambo halijajadikiwa vilivyo hapa bado, mdoto zinaweza juwa playback ya nawazo tu na si lazima ziwe na tafsiri ya maana zaidi ya kusema hivi ni vitu ulikuwa unavifikiria kwenye usingizi).

Ndo kazi uliyobaki nayo kurudia rudia maneno.

Aliekwambia kwamba sijui ndoto nyingine hazina maana na ni kumbukumbu ya fikra/matukio ya nyuma au mbele kama ni fikra zilizogandamizwa ni nani??
 
Ndo kazi uliyobaki nayo kurudia rudia maneno.

Aliekwambia kwamba sijui ndoto nyingine hazina maana na ni kumbukumbu ya fikra/matukio ya nyuma au mbele kama ni fikra zilizogandamizwa ni nani??
Kwa hiyounajua ndoto nyingine hazina maana, halafu unalazimisha nitafsiri ndoto?
 
Nataka tafsiri ya maneno haya hapa.
Useme tena sijaandika post namba wakati nili quote comment yako then nimewatag wewe Kiranga pamoja na Mshana Jr

Niliomba msaada wa tafsiri ya maneno hayo
Ambayo ndani yake mimi sikuona neno quran wala biblia.

Ulilalamika ninahamisha magoli
Sasa sijui hapa wewe unahimisha nini?
Unalalamika hujaona neno Quran wala Biblia wakati nishakwambia tusitafute chanzo cha ulimwengu kwenye Quran, Biblia wala uchawi wa mizimu? Tukitafute kwenye muungano wa Relativity na Quantum Physics?

Sasa katika muungano huo wa Relativity na Quantum Physics ninapouelezea unashangaa sijataja Biblia?

Nakwambia usitafute square root ya mbili katika namba iliyo kubwa kuliko mbili wala ndogo kuliko moja, uitafute katika namba zilizo katikati ya 1 na 2.

Halafu unaniuliza, mbona katika hizo namba ninazoziongelea katiya 1 na 2, 10 sijaitaja?

Wakati nishakwambia namba zote zaidi ya 2 ni batili, haziwezi kuwa square root ya 2, wewe unanitajia 10, unalalamika mbona sijaitaja?

Unaelewa ninavyokujibu au unalazimisha kujibizana vitu ambavyo huelewi mwanzo wake wala mwisho?
 
Ndio maana nlikuandikia kabisa uelewe alama za ....... baada ya quote.

Onyesha hiyo post niliyokulisha maneno haya

"siwezi kwenda Kariakoo".
Badala ya
"siwezi kwenda Kariakoo mpaka nipate nauli ya daladala"

Be specific kama unavyosema wewe.
Taja na namba ya post nliyokulisha maneno

Mshana Jr Kiranga
Sasa kwa nini ulikatisha nukuu na kuharibu muktadha?
 
kooooohhh koooooooohhhh "" Mungu ana ndimi mbili"" ...Mungu wanaotueleza Hawa kama angekuwa duniani"" wallahi muda huu angekuwa jela "" haiwezekani ujinasibu kuwa una upendo kwa wote " una uweza wa yote "" halafu uiumbe dunia yenye mabalaa kama matetemeko ya ardhi yanayo hatarisha maisha ya watu...."" haiwezekani uache binaadamu wengine watengeneze mabomu na kuwauwa wenzao..huku bado unataka watu watambue kuwa unauweza wa yote"" .......haiwezekani " useme binaadamu ni dhaifu sana halafu bila hata haya unawapa vitabu binaadamu hao hao wakusaidie kuhubiria watu wengine kuhusu wewe """.....yaani huoni kuwa udhaifu wao "" unaweza pelekea wao kuingiza uongo wao katika hivyo vitabu " kutokana na sifa yao ya udhaifu
Huyo Mungu ICC wangemchukua zamani sana.

Yani haiwezekani Uhuru Kenyatta ambaye hana uwezo wote,ujuzi wote wala upendo wote apewe kashkash kwa sababu Wakenya wameuana kisiasa tu huko, ICC watake kumfunga.

Halafu huyu Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendowote aliyeachiamabaya yote yawezekane aachiwe tu.

Lazima wangemdaka.
 
Back
Top Bottom