Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Sijalikwepa, wewe umeuliza kama nina akili au sina akili, nataka kukujibu.

Lakinikabla sijakujibu, nataka kujua kwamba nalielewa swali lako, najibu unachouliza,si ninachofikirimimiunauliza ambachokinaweza kuwa tofauti.

Unaposemaakili unamaanisha nini? Akili ni nini.

Nijibu swaliili niweze kukujibu swali.
Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!
 
Hii ligi tushaimaliza Na kumkabithi kombe kiranga. sasa ngoja amalize shift yake ya kubeba box aje awatoe mbio.
Hakuna MTU ambae amewahi kujibu hoja za kiranga kikamilifu hapa jf kuhusu imani na dini.
sijawahi kuona mtu Mwenye hoja zilizo shiba pia "" ambazo zimewahi kushinda hoja za kiranga...Mara nyingi tu "" amekuwa akizikusanya hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu na kuzifinyanga finyanga kwa majibu Yke yenye hoja zenye fact "" ....." huwenda ikawa watu wanaoamini uwepo wa Mungu wakawa wanasimamia ukweli "" lakini wamekosa hoja zenye nguvu ambazo zinaweza Ku improve wrong kiranga ..."lakini mpaka sasa huwa nahesabu kuwa kiranga ndiye mshindi wa hizi debate""
 
Haya masuala ukichuguza vizuri utagundua kwamba hii misimamo na imani tulizonazo ni zaidi ya hoja tunazodhani ndiyo sababu ya hii misimamo/imani zetu,suala kubwa kama hili hadi leo hii watu kuendelea kubishana ni dhahiri inaonesha kuwa sio hoja pekee ndiyo zilizotufanya tuwe na hii misimamo/imani.

Hakuna ambacho kimebakishwa kuelezwa kwenye huu ubishani,lakini bado kila mmoja huona msimamo aliyonao ndiyo sahihi kutokana na sababu ama hoja alizonazo.
umeongea vyema ""
 
Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!
Hapana, hiyoni Socratic Methodkuhakikisha tuna kwenda pamoja,tunachambua mambokwakina.

Nimetoamfanowa swalila "Wewe ni Mkristo" hapo juu.

Neno hilo Mkristo lina tafsiri tofauti.

Nneo akili lina tafsiri tofauti.

Naomba anijibu tu anaposema "akili" ana maana gani, kisha na mimi nitamjibu kama nina akiliamasina.

Asiponijibu, swali halijafafanuliwa vya kutosha na kwa hiyo sitaweza kulijibu.
 
Wewe umeniuliza kama nina akili, hukuniuliza akili ni nini.

Mimi ili nikujibu vizuri, nataka unipe definition yako ya akili ili nisikujibu kitu tofauti na unachotaka wewe.

Kumbe, wewe unayeniuliza hujui unauliza nini.

Sasa mimi nitakujibu vipi ikiwa wewe unayeuliza hujui unauliza nini?
Yeye kakuuliza una akili?
Wewe wapaswa kumjibu, ndio, hapana au hata sijui.

Usijibu jibu ambalo analotaka yeye, jibu jinsi unavyojua ww.
 
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.

Kwa msingi huu, polisi wakisema kwamba nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao wanaosema zkuna madawa a, ku sachi nyumba mpaka wapate hayo madawa.

Kamwe hawakupi kazi ya kuthibitisha wewe unayejitetea kwamba nyumba yako haina madawa eti uthibitishe nyumba yakohaina madawa, kwa sababu hata ukifagia vipi kuonesha nyumba yako haina madawa, kuna uwezekano unaweza kuwa umeyaficha pasipofikika.

Kwa hiyo, mzigo wa kuthibitisha ni wa yule anayesema kitu kipo,si anayekanusha. Anayekanusha anaulizatu kuthibitishiwa.

Nimeongelea "nje ya dhana".

Ukija kwenye dhana, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa "proof by contradiction".

Mungu huyo angekuwepo, asingetaka mabaya yaweze kutokea duniani kwa viumbe wake.

Mabaya yanatokea dunianikwa viumbe wake.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
hahaaa.... hii hoja huwa unaijibu Mara kibao ten kwa jibu hili hili ""lakini nashangaa huwa tunashindwa kuelewa sijui kwanini"" JAMANI EEEEEHH KWA MUJIBU WA KIRANGA ANASEMA KUWA KITU AMBACHO HAKIPO HUWA HAKIITAJI UTHIBITISHO ILI KIONEKANE KUWA HAKIPO "" ......
 
Kuna njia kadhaa za kujibu swali mkuu
Swali kwa swali
Swali kwa jibu
Swali kwa maelezo
Mpakasasa sijaelewakwa niniMshana anaona ugumu kujibu swali langu.

Kuna watu wanafikiri akijibu swali languanakuwa kashajijibu swali lake mwenyewe kwangu.

Fikra hizi ni potofu.

Swali la Mshana kwangu ni kama nina akili. Swali langu kwake ni akili ninini.

Akinipa maelezo ya akili ni nini, bado nitakuwa na swali la kujibu kama ninayo hiyo akili au sina.

Hata sioni kwa nini anaona ugumu kunijibu.
 
Back
Top Bottom