Kwanini tuepushe kuandikwa nyingi?Anajua ipi hiyo moja ili tuepushe kuandikwa nyingi?
mimi nikiwapo pia..."" Akili kubwa huyuwe jamaa umevutia wengi kujiunga jf..mm ni mmoja wapo.
Ugumu upo wap kujibu kama ana akili au hana?Mkuu kwani ugumu uko wapi kutoa maana ya AKILI?
Ni kweliHuoni mjadala umeisha hapa
Ni wazi hujamsoma Socrates na hujui Socratic method ni nini.Ulimaanisha nini? Mbona maswali haya rahisi unashindwa kuyajibu?
Kwa sababu swali halieleweki, sielewi anaposema"akili" anamaanisha nini.Ugumu upo wap kujibu kama ana akili au hana?
Swali lilikuwa "..una akili?Kwanini tuepushe kuandikwa nyingi?
Tutajuaje mbajifichwa kwa kisingizio cha kuwa zipo nyingi?
Tuthibitishieni kwanza hizo nyingi ili tujidhihirishe kweli zipo nyingi.
Hii mbinu yako ya kuhamisha mjadala haitakusaidia kitu kwenye kujibu swali... Huyo mtu ni mfu wa karne lukuki hana msaada hapa... Jibu kama weweNi wazi hujamsoma Socrates na hujui Socratic method ni nini.
Somo la bure, anzia hapa Socratic method - Wikipedia
hapana na muachia mwenyew muuliza swali mkuu"" Niko hapa kwaajili ya kujifunza zaidi toka kwao ""Hapo BOLDED.
Unaweza kumsaidia Jamaa kufafanua hilo neno?
Ni wewe ndio maana mhusika anataka ufafanuzi wa kile ulichouliza ili aweze kukujibu katika mtazamo wako juu ya AKILIKwanini mimi tena!
Maana nimeona kuwa akili ina afya kabisa.hapana na muachia mwenyew muuliza swali mkuu"" Niko hapa kwaajili ya kujifunza zaidi toka kwao ""
Mkuu ukiulizwa swali kama hili huwezi tu kukurupuka from no where ukajibu ndio au hapana pasipo kujua mhusika alilenga mbuzi ganikwakweli sijutii kukaa hapa..muda huu"" maana msamiati " Mbuzi unamaana nyingi pia...yaweza kuwa mbuzi mnyama" ama kibao cha kukalia ambacho kina Chuma mbele kinacho weza kumsaidia mpishi kukuna Nazi "" ........WATU MNAHOJA NZITO SANA
Naam nisahihi""Mkuu ukiulizwa swali kama hili huwezi tu kukurupuka from no where ukajibu ndio au hapana pasipo kujua mhusika alilenga mbuzi gani
Akili zipi?, za darasani au za maisha? Maana wale waliokuwa wanafaulu darasani halafu hawajafanikiwa maishani wanaambiwa walikuwa na akili za darasani tu, sio za kwenye maisha, wewe na Mshana Jr mnazungumzia zipi?Ugumu upo wap kujibu kama ana akili au hana?
Umesema akili ina maana nyingi.Kwa sababu swali halieleweki, sielewi anaposema"akili" anamaanisha nini.
Siwezi kujibu ndio au hapana pasipo kujua unamanisha nini, hivyo nalazimika kuomba ufafanuzi wa kile ulichoulizaUgumu upo wap kujibu kama ana akili au hana?
Afya imetumika kama msamiati tu "" mkuu najua unajua hilo ...naomba tuelekeze fikira zetu kwenye mjadala tafadhali""Maana nimeona kuwa akili ina afya kabisa.