Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

target ya swali lake nimeielewa vizur,ukisema ndio una akili atakuuliza uthibitishe akili ilivyo hahahaha ukisema aionekan ilo jibu litaamia kwa mungu kua nae aonekan umewezaje kuamini akili unayo wakati aionekan,,,,,, picha tamu ili nisiharibu mitego[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
......hahaha hii ndo J4 .....Imerudi
 
target ya swali lake nimeielewa vizur,ukisema ndio una akili atakuuliza uthibitishe akili ilivyo hahahaha ukisema aionekan ilo jibu litaamia kwa mungu kua nae aonekan umewezaje kuamini akili unayo wakati aionekan,,,,,, picha tamu ili nisiharibu mitego[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa kwa nini asinipe definition ya akili ili anibane vizuri?

Anaogopa nini?
 
Hpana, post namba 100, nimeeleza vizuri sana umuhimu wa ku define terms ili nisije kujibu swali ambalo sijaulizwa na kuacha kujibu swali nililoulizwa.

Kwani Mshana kunipadefinition yake tuendeleena mjadala anaona ugumu gani? Kamakweli anaelewa anachoulizani nini?
Wewe neno akili ni msamiati mpya?
Kama unasema may be akili ina maana nyingi pasipo kuweka hata mbili tujue kweli inamaana nyingi ni kuzidi kutuzungusha.

Tutajuaje ina maana nyingi kama sio kujificha ktk kichaka hiki cha kisingizio ili kukwepa swali la mshana?
 
Kiranga anapaswa kwanza kukiri hajui nini maana ya akili.
Akisha kiri ndio apewe maana, ili aweze kujibu swali labda kwa kutoelewa.

Lkn hii kusema akili ina maana nyingi pasipo kutupa hata maana mbili tukaona contradiction bado anaukwepa mjadala.
Kimsingi ninapo kuuliza swali kwamba wewe unayo akili au hauna mimi tayari ninakuwa najua ya kwamba unijibu vipi Ili nikuweke kwenye kundi la walio na akili na wasio na akili.
 
Wewe neno akili ni msamiati mpya?
Kama unasema may be akili ina maana nyingi pasipo kuweka hata mbili tujue kweli inamaana nyingi ni kuzidi kutuzungusha.

Tutajuaje ina maana nyingi kama sio kujificha ktk kichaka hiki cha kisingizio ili kukwepa swali la mshana?
Soma post namba 100.

Neno Mkristo si msamiati mpya, lakini lina tafsiri nyingi.

Vivyo hivyo akili.

Kwanini anaona ugumu kuniambia maana ya akili tuendelee na mjadala?

Anaogopa nini?
 
Wewe hujafafanua ulichouliza, umeulizakama nina akili.

Mimi ili nikujibu, inabidi nielewe vizuri unachouliza ni nini.

Nikakuuliza.

Akili ni nini?

Hujanijibu.
nimekuuliza... Tofautisha kuulizwa na kufafanumiwa
 
Soma post namba 100.

Neno Mkristo si msamiati mpya, lakini lina tafsiri nyingi.

Vivyo hivyo akili.

Kwanini anaona ugumu kuniambia maana ya akili tuendelee na mjadala?

Anaogopa nini?
Hivi kuna neno lenye tafsiri moja?
Kila neno lina tafsiri nyingi.

Wewe unaijua ipi?

Twambie hizo tafsiri nyingi za akili ili tujue tunayo maanisha.
Mana Mshana yeye anajua tafsiri moja, ukitaja tafsiri tofauti na anayoielewa yeye atakueleza hapa na sisi pia tupo hapa.
 
Back
Top Bottom