Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hivi kuna neno lenye tafsiri moja?
Kila neno lina tafsiri nyingi.

Wewe unaijua ipi?

Twambie hizo tafsiri nyingi za akili ili tujue tunayo maanisha.
Mana Mshana yeye anajua tafsiri moja, ukitaja tafsiri tofauti na anayoielewa yeye atakueleza hapa na sisi pia tupo hapa.
Kwa nini Mshana anaona ugumu sana kuniambia akili ni ...., halafu tuendelee na mjadala?
 
Wewe hujafafanua ulichouliza, umeulizakama nina akili.

Mimi ili nikujibu, inabidi nielewe vizuri unachouliza ni nini.

Nikakuuliza.

Akili ni nini?

Hujanijibu.
@kiranga nauliza tena... Kumbuka hili ni swali na ulishakiri kuwa huogopi maswali JE UNA AKILI!?
Una ufahamu fika wa hili neno kwakuwa katika moja ya majibu yako kwangu kwenye mada nyingine uliwahi kuniambia hivi.... Wewe huna AKILI kabisa
 
Hivi kuna neno lenye tafsiri moja?
Kila neno lina tafsiri nyingi.

Wewe unaijua ipi?

Twambie hizo tafsiri nyingi za akili ili tujue tunayo maanisha.
Mana Mshana yeye anajua tafsiri moja, ukitaja tafsiri tofauti na anayoielewa yeye atakueleza hapa na sisi pia tupo hapa.
Anajua ipi hiyo moja ili tuepushe kuandikwa nyingi?
 
@kiranga nauliza tena... Kumbuka hili ni swali na ulishakiri kuwa huogopi maswali JE UNA AKILI!?
Una ufahamu fika wa hili neno kwakuwa katika moja ya majibu yako kwangu kwenye mada nyingine uliwahi kuniambia hivi.... Wewe huna AKILI kabisa
Akili gani unayozungumzia? Akili ni nini?
 
Hii ni sawa na kuulizwa una "mbuzi" pasipo kujua ni mnyama au kifaa unaamua tu kujibi ndio au hapana. Hivyo basi mshana unatakiwa utoe maana ya AKILI
kwakweli sijutii kukaa hapa..muda huu"" maana msamiati " Mbuzi unamaana nyingi pia...yaweza kuwa mbuzi mnyama" ama kibao cha kukalia ambacho kina Chuma mbele kinacho weza kumsaidia mpishi kukuna Nazi "" ........WATU MNAHOJA NZITO SANA
 
Back
Top Bottom