Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Neno akili lina maana pana. Ange elezea akili ni nini kwa mtizamo wake. Hapo ndipo anapo watoa knokout kiranga
Mtu anauliza swali, akubane, unamtaka afafanue ili umjibu akubane vizuri, anashindwa kufafanua.

Yeye mwenyewe swali lake hawezikulifafanua, sasa wewe unayetakiwa kujibu utajibu vipi swali ambalo halijafafanuliwa?
 
Wapi nimesema umeuliza hivyo?

Nimekupa mfano juu ya swali lako linavyoendana na mfano huo.

Kama haujaelezea unachouliza linakuwa swali tata na unayetegemea akujibu anakuwa haelewi nini unamaanisha.

Hata haujauliza akili ni nini?

Umeuliza ana akili?

Unajipinga mbona

Akili ni nini?
Punguza maneno mingi... Una AKILI ama huna? Jibu in a very simple way
 
Neno akili lina maana pana. Ange elezea akili ni nini kwa mtizamo wake. Hapo ndipo anapo watoa knokout kiranga
Kiranga ndio anapaswa kueleza kwanza alivyoielewa akili.
Kwani mpk sasa hajasema hajui maana ya akili.
Kasema ina tafsiri nyingi.

Hajatoa hata mbili tuone kweli zina maana nyingi.

Vinginenvyo tutaona ni kusingizia singizia tu ili kukwepa kujibu swali.

Kama ni neno Pana, atoe huo upana wake tuone na tumweleze tunayomaanisha sisi.

Lzm ujue mwanafunzi wako anapokosea ndipo msahihishe
 
Kwa niniswali hili mnaliogopa sana?
 
Back
Top Bottom