Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,715
- 105,322
Leo nilikuwa kwenye bus muda mfupi baada ya safari kuanza kama ilivyo utaratibu wa bus nyingi kama sio zote za kisasa mhudumu wa gari akaanza matangazo mbalimbali lakini kabla ya yote akawataka abiria wasali kwa ajili ya safari.
Huyo mhudumu akasema anajua kwenye gari wapo watu wa aina mbalimbali ila WOTE tunamuamini Mungu akafanya mahubiri kama ya dakika tatu kuhusu mambo ya kiroho yasiyoonekana njiani katika safari na mwisho akatutaka wote tusali kwa imani zetu kwa dakika kama mbili!
Kinachoshanga ni kwamba mtandaoni kuna atheists wengi sana ila mtaani huo ni msamiati mgeni kabisa!