Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,809
- 152,949
Kwa nini Dr. Bilal hakugundua bomu la nuclear la Tanzania?Sasa kwanini wafungwa hawapenyi kwenye kuta za magereza wakatoroka?
Nani ambae alishawahi kupenya kwenye ukuta bila kutumia uchawi?
Uchawini nini? Mtu akipenya kwenye ukuta utajuaje huyu katumia uchawi na hajatumia quantum physics tu?
Hususan kwa sababu tushaona zaidi ya 99% ya ukuta ni empty space na zaidi ya 99% ya mwiliwamtu ni empty space?