peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,818
- 21,425
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.