Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,923
2,000
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.

Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.

Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
 

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
686
1,000
We jamaa ni wa ovyo sana, no wonder wakenya wanatuzarau ni sababu ya watu kama nyie. Unajua kuna uhusiano gani kati ya mafuta na dollar?

Unajua anayeendesha biashara ya mafuta duniani? Unapompa mama lawama hatukuelewi nia yako punguza siasa kwenye maisha.
 

hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
3,233
2,000
Mafuta lita 1.73 Ni 5k juzi nimeingia kujaza nimedata

Bado hii gas ya KUPIKIA Sasa nanua kwa bei ya jumla kwenye magari Hadi tuheshimiane
 

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
6,464
2,000
Hizi ni bei za leo EWURA mikoa yote
 

Attachments

  • File size
    461.4 KB
    Views
    33

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,645
2,000
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi . Serikali isipo angali Jambo hili tunaelekea kusiko julikana.
Jamani vitu vingine sio kuwa ni raisin wenu wanapanga ama nani jamani. Just ask why this or that. In your life please learn to begin with why.

Wakati wa korona mafuta yalishuka mpka minus, yaani ulitakiwa yauzwe chini ya buku kwa hapa kwetu.

Mana price per barrel kwa crude oil ilienda mpaka 1$ even 5$ Ila baadaye yalipanda Sana ,Mana yalipotoka minus yalifunguka yakiwa 18$ opening price katika soko la dunia.

Tokea kipindi icho price imekuwa ikipaa tu yaani ni kupaa tu mpaka saivi ppb unacheza 68.++$ .

Cheki graph uone jamani sio kuongea tu. Ila Africa kila mtu ni mtalaamu wa Kika kitu Mana diwani ama mbunge wa STD 7 anamkagua Engineer ama daktari. No professionalism in Africa.

Screenshot_20210602-195820.png
Screenshot_20210602-195820.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom