Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Ni sisi tu tusio na mitaji tunahangaika, nimeuliza mtu anaefanya kazi pale na haya ndio majibu .. Tani 3.5 hadi 6 kwa heka..na kuna boss mpya (mzungu) anadai wanaweza sogea hadi 8View attachment 1326717

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama huyu na fedha zake zooote anapiga kwa hekari 1 gunia 35-50
Tena hapo akiwa amefuata taratibu zote za wataalamu na makorokoro kibao.
Je mimi msukuma natumia mbolea ya kupandia tu kwa hekari 1 napiga 20 yani hizo za kufikia tu msimu ukiwa vizuri nagusa hadi 30-35na gharama ya ulimaji wangu ya kichina sumri si wanamtia hasara tu
 
Hahahah.mwaka huu nataka nione je yaliyomo yamo kwenye kilimo?maana maneno yamekua meng sana
Umeshakosea. Waliolima na kupanda toka mvua za mwanzoni za vuli yaani novemba wanavuna sasa au mwezi ujao. Gunia ya mahindi ya kilo 100 haipungui laki moja huko huko shamba. Unajua kilimo ni kamari? halafu ama jirani zako na wenyeji hawalimi watavuna kwako mfano wa nyani. N wanavizia na kuvuna yale makubwa hahaha. Hao hao unaowachukua kupalilia kupanda nkcwatavuna. Niamini
 
Utapata wastani wa gunia 15 hadi 20 kwa Ekari moja kwa kilimo cha kisasa. Hii ni kulingana na uzoefu wangu kwa Mkoa wa Mara, Wilaya ya Butiama.
 
Back
Top Bottom