Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Habari,

Wadau wa kilimo nataka kufahamu je ni mbegu gani bora kwa mahindi ya kisasa wengi wamenishauri nipande d1 je ini bora nisaidieni?
 
Kuna seedco,Pannar n.k Cha msingi angalia hali ya hewa na udongo wa mkoa unaopanda mahindi. Ni vizuri zaidi ukamuona Bibi/bwana shamba wa eneo husika akupe ushauri mzuri.
 
Kuna seedco,Pannar n.k Cha msingi angalia hali ya hewa na udongo wa mkoa unaopanda mahindi. Ni vizuri zaidi ukamuona Bibi/bwana shamba wa eneo husika akupe ushauri mzuri.
ASANTE SANA MKUU NGOJA NIWAONE HAO BIBI/BWANA SHAMBA SI WANAPATIKANA KTK HALMASHAUIRI
 
Upo mkoa gani Mkuu maana mbegu hutofautiana kutokana na hali ya hewa. Nitajie mkoa wako alafu nikushauri Mkuu
 
Upo mkoa gani Mkuu maana mbegu hutofautiana kutokana na hali ya hewa. Nitajie mkoa wako alafu nikushauri Mkuu
morogoro mkuu nasubiria mvua ianze ndo nianze kupanda ila bado sijapata mbegu ndo nataka mnifahamishe iliyo bora
 
morogoro mkuu nasubiria mvua ianze ndo nianze kupanda ila bado sijapata mbegu ndo nataka mnifahamishe iliyo bora
Tumia mbegu ya DKC 80-33 Mkuu inafanya vizuli kwenye ukanda wa joto pia inavumilia ukame, inakomaa badaa ya siku 100 endepo ikitunzwa vizuri
 
Wakuu kwema? Naomba msaada kwa wenye kufahamu kuhusu kilimo cha zao la mahindi ni mikoa gani ambayo mvua haisumbui sana na zao hili hustawi vizuri ???
 
Back
Top Bottom