Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Wabongo wanawaambia wenzao wanawapiga ila ukiwakuta sector zao wanakukamua mpaka unatoa upepo.
In short sote sisi ni watu wa kuviziana kupigana ndo mana ukienda hospital utabatuliwa,kwenye usafiri utabatuliwa na wasafirishaji,service nako utapigwa sound ili ujae upigwe bei,kwenye mazao utadanganywa Michele swaaafi kisha unabutuliwa kumbe Kuna chuya,marage nako utachanganyiwa mawe/mabovu ili zitimie kilo,Mafuta watu wanakuchanganyia humo humo feki,matunda unachanganyiwa mabovu/machanga,ndizi zinaivishwa kwa dawa ule ukapate magonjwa mbele,wafanyakazi wa serikali/private nao wanakutengenezea mazingira ya rushwa wakupige na bado hawafanyi kazi Zaid ya ujanja ujanja ili siku ziende Huku visemina uchwara na vi-per Diem vya kihuni vikitengenezwa ili pesa ipigwe,bado mashuleni Nako ada inawekwa kubwa private na elimu haiendani na pesa inayotoka,ukirudi govt siku hizi mtoto darasa la kwanza ana mitihani Kwa week mi3 na kila mtihani ni Hela plus michango mingi tu.
WABONGO SISI NI NYANI AONI KUNDULE😄
 
Kwahiyo hayo makato yote ya usafiri mchina halipi, haya umeshindwa kusafirisha chukua mzigo kwa mchina hapa hapa bongo ongeza cha juu kidogo siyo mara 10 ya thamani.
 
Kwahiyo hayo makato yote ya usafiri mchina halipi, haya umeshindwa kusafirisha chukua mzigo kwa mchina hapa hapa bongo ongeza cha juu kidogo siyo mara 10 ya thamani.
Mnapiga hesabu za mawinga sana,hapo kkoo wachina wanauza bei nyingi sawa na waTZ ambao ni wafanya biashara wakubwa.Labda wanatofautiana kidogo tu ktk price,Tatzo ni kudanganywa na mawinga na maduka madogo kua TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA kisha mtu anakwambia anaenda kuchukua store na kuja kukusokomola bei.

Hao Weapon muda mrefu kkoo,Hata na bei zao hazinatofauti sana na waswahili/wahindi/warabu. Tena waswahili na wahindi/warabu wanachagua quality sometimes wakati wachina wengi wanakupa ronyazi na wakiona we unauliza uliza sana,next time hawakuuzii.

All in all soko ni kubwa sana hata wakija wachina million ,bado biashara zitaenda na sana sana DEMAND NA SUPPYLY CHAIN itaharibika.

Tahadhari tu kwa Hawa wachina ni wajanja wajanja sana,na akitokea Rais aliyenyooka na kuwataka wafate sera za uwekezaji effective,Wana desturi ya kufunga biashara na kukimbia nchi like before
 
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS
PM AIR CARGO

广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781

WhatsApp /call +255 755 18 48 73View attachment 3305739
Maswali:
1. Mnapokea mzigo MINIMUM kuanzia Kg ngapi ?
2. Malipo yenu ni mzigo ukifika Dar au mkishupokea nyie huko China kutoka kwa Supplier wangu?
3. Mizigo mepesi ya kuja kwa ndege wastani ni siku ngapi inanifikia mkononi? Na kama ikifika Dar siye tusioweza kuja mjini mna deliver mpaka tulipo?.
4. Ishu ya Kodi inakuaje?
 
Sema wabongo inatakiwa tuwe tunajiongeza, akitokea mtu mjanja akatarget faida ndogo sana kutoboa ni rahisi sana. Kuna wachina wameanza kuvamia sekta yetu ya madini, wasije anza kutulaza njaa.

KAMA RAHISI HEBU JARIBU WEWE MKUU
 
Kuna vitu vingi kweli wabongo hupandisha sana bei ila kwenye nguo tutakuwa tunawaonea. Biashara ya nguo ina ushindani sio wa kitoto. Huwa wanaongeza Tsh 500 hadi 3000 kama faida. Hakuna kadet ya 3000 China huku ikauzwa 20000. Hakuna. Viatu ndo bado vina upigaji. Kiatu cha 9800 China huku vinauzwa hadi 70k.

wabongo wanahisi biahsara ni rahisi sana, huyo anaewaza hivyo yeye mwenyewe hajawahi ata kufanya biashara yoyote
 
Kuna vitu vingi kweli wabongo hupandisha sana bei ila kwenye nguo tutakuwa tunawaonea. Biashara ya nguo ina ushindani sio wa kitoto. Huwa wanaongeza Tsh 500 hadi 3000 kama faida. Hakuna kadet ya 3000 China huku ikauzwa 20000. Hakuna. Viatu ndo bado vina upigaji. Kiatu cha 9800 China huku vinauzwa hadi 70k.

kwingi ni hivyo hivyo mkuu, cosmetics faida haizidi hata 25% kwa kuuza jumla, tena hiyo ni gross profit huja includin tax yoyote.
 
Sio kweli .. China ni taifa linaloinukia kwa sasa .. na kumbuka mchina miaka ya 60 alikua chini mno ilhali hata kuifahamu China yenyewe haikua rahisi .. muarabu .. mzungu na mhindi ndo watu walikua wametoka na kuonekana huku kwetu ilhali hadi leo wahindi wanatamba kwenye maghorofa ya kila halmashauri hapa Tz .. sasa kusema mchina atatuamulia hasi kwenye mamlaka ya utawala si kweli hii ni China rising Acha nao watoke na wafurahie rising yao .. unaeza shangaa miaka 30 ijayo linaibuka taifa lingine nalo linakuja kwa style hii .. hivyo kwa sasa ni kukubaliana na hali tu hamna namna ..

hujawaelewa wachina mkuu, wapo kimkakati sana.
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Mchina anaeuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei nafuu Kariakoo halipii hizo gharama ulizoweka?
Msililie wafukuzwe wachina sasa ni free trade, globalization ...
Siyo enzi za Ujamaa.
 
Ndo kiatu alichonunua china elfu 5k atuuzie sisi elfu 50k ? Shida wizi umetawala.
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Upo sahihi jamaa yangu jeans inauzwa buku kule huku tunapigwa 18000
 
China vitu vingi fake quality ya hicho kiatu ni ya chin na wachina ni watu wa kukopi sana
 
Mchina anaeuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei nafuu Kariakoo halipii hizo gharama ulizoweka?
Msililie wafukuzwe wachina sasa ni free trade, globalization ...
Siyo enzi za Ujamaa.
Hao wanauza wabongo wengi ni rejareja mm nilizungumzia zaidi supplier

Lakini wale wa kwenye meza na maduka ndo wanauza bei kubwa, lkn supplier wa hapo kariakoo akiwa mbongo au mchina hamuuzi ghali hivyo,
 
Back
Top Bottom