Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

hakuna kazi ngumu yoyote...Hawa silent ocean wanacharge mzigo kwa CBM moja 350-450 USD na hapo imecover kilakitu kuanzia usafiri,kodi,kushusha ,warehousing n.k na faida kibao wanapata... Ndio itakuwa hao wanaofunga wenyewe container la 20ft/40ft
Tusibishane nipe total cost zote ukiagiza na hao silent ocean inaweza fika shngp mkuu ?
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Kuna vitu vingi kweli wabongo hupandisha sana bei ila kwenye nguo tutakuwa tunawaonea. Biashara ya nguo ina ushindani sio wa kitoto. Huwa wanaongeza Tsh 500 hadi 3000 kama faida. Hakuna kadet ya 3000 China huku ikauzwa 20000. Hakuna. Viatu ndo bado vina upigaji. Kiatu cha 9800 China huku vinauzwa hadi 70k.
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Anayesafirisha container ana unafuu sana kuliko wa loose cargo.
 
Tunaona hao,wananunua bei za tv china,haya bisheni sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20250415-203856.png
    Screenshot_20250415-203856.png
    846 KB · Views: 21
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Bado hii hai justify 10x ya bei mnazo weka kwa bidhaa hapa nchini
 
Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.

Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.

Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.

Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING

Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.

Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Watakuwa wamefanya jambo jema maana Waafrika inabidi tutawaliwe tena.
 
Wanaongea tuu mfano kariakoo we ndo supplier umeagiza sisi tutachukua kwako,

Wanafikiri zile fremu ni elfu kumi au hamsini, Kodi za Tra hawaoni usumbufu, naona wanajizima data Hawa

Mfn mrahisi wanashangaa

Tulikuwa tukinunua paracetamol mchina anatengeneza kwa USD 0.44 wakati mwingine 0.56 kidonge kimoja sasa yeye atatengeneza kwenye Tablet then box lijae

Uki convert unakuta hela ishakuwa nyingi,

Box la paracetamol lilifika mpk laki tano kasoro 2023 lenye tablet 200

Watu huwa wanaongea Ila ukiwa kwenye field ndo unaelewa vzr
Rudini tu vijijini kwenu mkalime, Hapigwi mtu tena dingi.
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Hicho kiatu au jeans ya elfu Tatu umenunua soko gan china mkuu?
 
Bongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..

Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..

Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!

To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!

Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Balaa bluuu
 
Bado hii hai justify 10x ya bei mnazo weka kwa bidhaa hapa nchini
Kwa bei km nguo sjui Ila za madawa najua ukishatafuta percent flani ukipata unakadiria niongeze buku au mia tano na isizd sana isipungue sana iwe standard

Bidhaa za nguo viatu naona hamna price maalumu km madawa hivi au baadhi ya nguo ili nilijaribu kuwasemelea tuu
 
Back
Top Bottom